football

  1. BUSH BIN LADEN

    Jina Kilimanjaro stars kwa timu yetu ya football kwa wachezaji wa bara linachanganya.

    Habari za wakati huu ndugu zangu katika jukwaa hili? Hivi ni sahihi hii timu kuitwa Kilimanjaro stars ilhali jina kilimanjaro linawakilisha mlima na mkoa? Inaleta contradiction. Kwanini kama lengo ni kuutangaza mlima isiwe specific timu ikaitwa Mount Kilimanjaro Stars kuliko hivi sasa ambapo...
  2. SAYVILLE

    Kwanini Simba ilisitisha kuvaa nembo ya "Visit Rwanda" kwenye African Football League?

    Watanzania tuna hulka ya kupuuzia mambo ya msingi na kuna katabia kalijengwa na kameota mizizi ambapo ukihoji ukagusa maslahi ya watu fulani wanajaribu kukunyamazisha unaambiwa "acha ujuaji". Matokeo yake watu wanaogopa kuuliza maswali ya msingi na makosa yanajirudia kama siyo matatizo kuwa...
  3. OC-CID

    FT: Mamelodi Sundowns 2-0 Wydad (Agg: 3-2)AC | African Football League Final | 2nd Leg | Loftus Versfeld Stadium | 12.11.2023. Mamelodi bingwa

    Leo kunapigwa mchezo wa Fainali ya African Football League mkondo wa pili. Ni Mamelodi Sundowns Vs Wydad Athletic Club saa 10:00 jioni katika dimba la Loftus Versfeld jijini Pretoria. Katika mkondo wa kwanza Wydad alishinda 2-1. Leo kazi ni moja tu kwa Mamelodi kuibuka na ushindi na kutwaa...
  4. uran

    FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

    Haijakamilika Mpaka ikamilike. Leo 24.10.2023 Muda wa saa 11 jioni kwa saa za Africa Mashariki. Itapigwa Match ya marudiano kati ya hawa mabingwa wa Africa. Ni Al Ahly ya Misri dhidi ya Simba ya Tanzania. Ikumbukwe kwenye 1st Leg Iliyopigwa Dar es Salaam 20.10.2023. Timu hizi zilitoka sare...
  5. B

    FT: Enyimba 0-1 Wydad AC In African Football League

    22 October 2023 Enyimba Vs Wydad AC in Aftican Football League ENYIMBA 0 - 1 WAC Dakika 3' mchezo unaendelea magharib ya leo Dakika 7' Kona kuelekea Enyimba Dakika 10' hizi za mwanzo Wydad inaonesha uchu wa ushindi Dakika ya 11' Mbouma namba 15 mgongoni wa Enyimba anapata nafasi lakini apiga...
  6. SAYVILLE

    Tukiendekeza siasa na udini katika mashindano ya African Football League, hayatadumu

    Haya mashindano aina ya African Football League ni rahisi kuona kwa nini huwa yanakwama sehemu nyingine na uwezekano wa kukwama hapa Africa tayari unaonekana. Kutokana na mzozo wa kisiasa unaoendelea huko Mashariki ya Kati, mechi ya ufunguzi iligubikwa na viashiria vya kusapoti Palestina...
  7. Teko Modise

    Majirani zetu Afrika Mashariki wafurahishwa na namna sherehe za ufunguzi wa African Football League zilivyofana, washauri tupewe ufunguzi Afcon 2027

    Majirani zetu Wakenya na Waganda kupitia mitandao ya kijamii wapongeza namna Tanzania ilivyoandaa sherehe za ufunguzi wa African Football League na kushauri Tanzania ipewe sherehe za ufunguzi na mechi ya fainali katika mashindano ya Afcon 2027 ambayo kwa pamoja itaandaliwa Tanzania, Kenya na Uganda.
  8. matunduizi

    Nini maana ya watu kufurika kwenye mechi kubwa za football hapa nchini?

    Je, ni uchumi kukua kiasi kwamba watu wanapesa za kula na za anasa na burudani? Je, ni ugumu wa maisha watu wameamua kupoteza lengo katika burudani na michezo? Je, ni kukua kwa kiwango cha ufuatiliaji wa mpira wa ndani kwa siku za karibuni? Nimelinganisha maudhurio yetu yanaendana na ya nchi...
  9. mugah di matheo

    African Football League ikifanikiwa ndio mpinzani mzuri wa UCL

    Baada ya Vilabu vikubwa vya Ulaya kufanya uasi juu ya UEFA na FIFA kwa kutaka kuanzisha Super League, FIFA chini ya Professor Wenger waliwaza ni vipi watapunguza kiburi cha Vilabu Ulaya? Wakaja na jibu hili, waboreshe Intercontinental Competition toka mabara mengine ili hawa UEFA wapate...
  10. Suley2019

    FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League

    Haya haya ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imewadia. Leo tarehe 20/10/2023 Tanzania itashuhudia mtanange wa kihistoria kati ya timu ya Simba ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri. Mechi hii ni ya ufunguzi wa michuano ya African Football League ambayo inachezwa barani Afrika kwa mara ya...
  11. KIXI

    CAF wametumia vigezo gani kupata timu katika mashindano ya Africa Football league (AFL)

    Ningependa kujua vigezo vilivyotumiwa na Caf kuanzisha haya mashindano kwa sababu kama wamechukua timu bora kila ukanda Kwa hivi sasa Rivers ni bora kuliko Enyimba
  12. Mhaya

    Saudi Arabia wadhamini wakuu African Football League

    Saudi Arabia imeingia kwenye ushirikiano wa kihistoria wa miaka mitano na soka la Afrika ukihusisha Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na Shirikisho la Soka la Saudi Arabia (SAFF). Nukuu CAF | Mkataba uliosainiwa utazingatia mipango na maendeleo ya kiufundi na soka katika klabu na taifa, soka la...
  13. Gordian Anduru

    Mafanikio ya vilabu vinavyoshiriki African football league(super league)

    Kuelekea uzinduzi wa AFL 2023 nimewaletea makala ya timu shiriki mpate kujua mafanikio yao katika mashindano ya AFRICA na DUNIA Al-Ahly Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 11, ubingwa Caf Winners Cup mara 4, Caf confederation cup mara 1 mwaka 2014 CAF super Cup mara 8 afro Asian Cup...
  14. Mhaya

    Uislamu na kabumbu, je njia hipi ni sawa?

    Mchezo wa kabumbu, ujulikanao kama Mpira wa miguu, kwa kimombo Soccer au Football. Ni miongoni mwa michezo pendwa Duniani, na ni mchezo unaoshika nafasi ya kwanza duniani kwa kutizamwa na kufatilia. Kwa hapa Tanzania mpira wa miguu umekuwa una vipindi maalumu vya uchambuzi kwenye Radio na TV...
  15. D

    Congratulations Singida Fountain Gate FC, I'm impressed

    Singida Fountain Gate FC was amazing Leo. Despite the fact that wapo economically below the top 3. I I'm very happy for them. Congratulations to them. Good luck in Egypt.
  16. SAYVILLE

    Yanga shukuruni maana ratiba ya African Football League msingeiweza

    Yanga wamekuwa na tabia ya kuomba mechi zao ziahirishwe pale wanapokuwa na mfululizo wa mechi . Ni juzi juzi tu hapa tulikuwa tunajadili ni kwa nini mechi ya Yanga vs KMC iliahirishwa ilhali Yanga walikuwa wacheze na katimu kadogo ka ASAS Djibouti kwa mechi zote zilitakiwa kuchezwa Dar es Salaam...
  17. Scars

    African Football League Draw: Simba kuanza na Al Ahly

    Leo majira ya saa 12:30 kwa saa za hapo Afrika mashariki na kati CAF watatoa draw ya makundi kwa timu zinazoshiriki michuano ya AFL. Ikumbukwe kuwa Simba ndio mwakilishi pekee wa michuano hii kwa hapa Tanzania. Simba imepangwa kukutana na mabingwa wa Afrika, Al Ahly ya Misri katika michuano...
  18. R

    Mbona sisikii shamra shamra za Women's World Cup mtaani kwangu na Tanzania nzima kwa ujumla?

    Kulikoni hakuna ushabiki wowote kenye hili dimba la wanawake, sababu? Naangalia hapa wasichana wanachea mpira safi kabisa, nadhani vitimu vyetu vya Taifa wanaweza kuvifunga magoli mengi tu hasa vya Africa.
  19. Soloma TV Online

    African Football League zamani Africa Super League kuanzia Dar es Salaam Oktoba 20, 2023

    Michuano ya African Football League ambayo mwanzo ilipewa jina la Africa Super League kuanza kutimua vumbi lake mwezi wa kumi, na Mchezo wa ufunguzi ni ndani ya Tanzania katika Jiji la Dar es Salaam. Katika Michuano hiyo Mikubwa inayoanza kwa mara ya kwanza mwaka huu nchi ya Tanzania...
Back
Top Bottom