habari za usiku na swali naomba wanauchumi na forex trades munijibu.
Hivi, supply na demand , ni quantity of goods or services au ni number of people?
mfano, mama lishe akipika chakula say wali na maharage kilo 20, then wateja wakaja wakanunua nusu ya kile chakula na nusu kikabaki, ni...
kiwa na bahati ya kuhandika na maandiko yako yakawakamata vizuri watu basi utawachota kweli kweli.
Huyu bwana hapa JF aliwakamata watu sana kipindi cha Forex na mpaka wengine hata umweleweshe vipi kukubali kuwa alikuwa akili yake aina 50 zake ilikuwa ngumu.
Hapa JF watu wameweza kueleza Forex...
Daaaaah
"Asie sikia la mkuu huvunjika guu" na "kusikia kwa kenge mpaka masikio yatoke damu"
"Ulafi ulimponza mzee fisi"[emoji24][emoji24]
Thread in a nutshell[emoji993]
____________________________
OK ngoja tuanze thread [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nijambo la kufurahisha sana kuona...
Habari Wakuu,
Baada ya kusoma soma sana na kujifunza Forex, na kuona mwenzangu amefanikiwa sana na Forex Trade, niliamua na mimi niingie kuyaoga haya maji kwani hamna mtu hapendi ma isha mazuri.
Nikaanza vyema na 300 USD kwa wale wanaofahamu dowjones. Nilifanikiwa kwa kweli mpaka balance ikawa...
Wakuu hii nawaletea baada ya dogo fulani kunitafuta huku amefura analalamika ameingia kwenye biashara ya kudownload pesa na kampuni fulani inaitwa 360 Capital na kushindwa kutoa pesa zake. Nikazama kwenye mitandao ya kijamii na kuitafuta kiundani maana jina lake ni kama niliwahi kulisikia...
Baada ya kupitia BOT nikaona kitu kinaitwa IFEM yaani interbank foreign exchange market, imenichanganya how it works kwamba ni mfumo unaodili globally au ndani ya nchi, nikaamua kuingia chimbo nikakutana na melezo haya,
LONDON, NEW YORK – EBS(electronic brokering service), ICAP’s...
Hili swala ni zuri sana,
Ila kuna watu wanajifanya kuwa na ushawishi wa kuhamasisha kujituma ili kupata mafanikio.
Mfano wa watu hawa:
Forex
scammer
makahaba ya grade za juu
watoto wa wakubwa na matajiri
waliopata pesa kwa njia za madawa ya kulevya na biashara za ajabu
ushirikina
shoo off za...
Najua wote muwazima
Wacha nisonge kwa mada moja kwa moja. Nimewahi kuleta maandiko mbali mbali ya forex humu kwa siku za nyuma kipindi nikiwa naifanya nk
Kwa mara ya kwanza nimeijua mwaka 2013 japo nilianza rasmi kuisoma na kuifanya mwaka 2015, kwa uhalisia siwezi sema nimewahikuliwa...
Wakuu habari zenu,
Baada ya kupigwa pesa zangu kwenye forex nimeamua na mimi nije kushare jinsi forex ilivyopelekea mpaka nime break up na gf wangu, lakini yote maisha nimejua wanawake almost wote ni lowkey gold diggers, kwa nini nasema hivyo nimepigwa $3200, $1000 zilikuwa ni za kwangu...
ONGEZA MAALIFA KIDOGO, WANAUCHUMI KARIBU KWA MAONI.
Hili game ni mfano wa kundi la watu watano( hapa namanisha banks,commercial banks, hedge funds n.k), wamekaa chini wamedesign system inayopanda na kushuka( hapa namaanisha ECN network) kutokana na transactions zinazofanyika humo.
Sasa...
Wakuu nimekuwa nikifanya hizi kitu zote mbili kwa pamoja. I mean forex na na betting na nimekuja gundua hata forex nayo ni betting tu in another system huku tunabet mechi kule tunabet currency.
Tofauti nyingine ni msamiati tu huku pips huku odds huku evaluation huku technical and fundamental...
Wadau wa Forex mimi Newbie katika FX, nimesoma vitabu viwili
1)Forex Bible
2)Candlestick Bible
Naomba recommendation ya kitabu cha 3 na cha 4 cha kusoma kitachonijenga zaidi na kuendana na mfuatano mzuri wa knowledge.
Na itakuwa vizuri ukiniambia humo nitajifunza nini zaidi.
NB: Sihitaji...
Naomba watanzania muwe makini sana na kijana anaitwa Peter Kasanga aliyeko mkoani mwanza mwenye kampuni ya fx fire, anafanya biashara ya uwekezaji yaani unawekeza pesa na mwisho wa mwezi unalipwa 60% ya kiasi cha pesa ulicho wekeza, alikuwa akifanya hii biashara ya uewekezaji tangu mwaka jana...
Copy and paste
Sunday news 👋🏽 ya kuanzia siku 😂
Serikali ya mahodari inaendelea kupaiza uchumi! Sasa kuna soko la magendo (haikuanza leo ilianza 2018 walipopora fedha na kufunga maduka ya fedha)
Sasa eti serikali inapambana na soko hili
Ila ukweli ni huu (numbers don’t lie) 👇🏽
SASA
Manunuzi...
Habari zenu wanajamii forum!
Kama kichwa cha habari kilivyo nipo hapa kuisaidia umma Wa watanzania kuhusiana na biashara hizi ambazo zimeibuka ivi karibuni kwetu huku lakini ila huko nje ni biashara za muda mrefu sana tokea huko karne ya 18.
Sie tumezipata kutokana na ujio Wa simu janja ikiwa...
Imeshapita miaka miwili sasa tangu Ontario awafundishe ku download pesa na msemo wenu wa Forex is not for everyone.... mkasema tuwaache mpige pesa vipi jamani Mnaendeleaje na Kudownload fedha?
Ontario siku hiz anapatikana wapi?
Niseme tu ukweli, upepo wa Forex ulivoingia Tanzania na mimi sikuwa nyuma. Nilijitoa na mimi kimasomaso kuisaka fursa.
Kwa takribani miaka 3 kwenye game la Forex, imekuwa ni miaka ya kujifunza zaidi. Sikuweka nia ya kupata chochote kwa mda wa short term. Niliamua kupeleleza sana hii biashara...
Habari wazee, hivi juzi nilianza biashara ya forex kwa kuweka kiasi cha usd 100 kwenye account. na hii ni history tangu nilivyoanza kutrade hadi sasa, naombeni mnipe ushauri kama naweza kuendelea au niache na kama naweza kuendelea nifanye nini ili nipate matokeo mazuri zaidi
Vipi huyu Broker kwa wale waliomtumia na wanaomtumia vipi kuhusu deposit na withdraw method zake?
Vipi spread zake zinabadilika badilika au ni muaminifu?
Naombeni moja, mbili tatu kuhusu huyu broker tafadhali nataka nifanye maamuzi hapa.
Habari,
Ndugu Watanzania, mimi nikiwa kama mdau ya Forex Trading, nimeona kuna ulazima wa kuandika Makala hii kumsaidia Mtazania yoyote uko nje atakae au anaye tamani kujiingiza kwenye hii biashara. Waweza jiuliza kwa nini nachukua jukumu hili, mafanikio katika sekta hii sio rahisi kama inavyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.