forex

  1. K

    Msaada kuikuza account yangu ya forex

    Kwa wale wadau wa Forex naombeni maujanja ya kuikuza account yangu ya forex kutoka $250 mpaka $1000 ndani ya mwezi mmoja maana naona kama mimi mwenyewe siwezi. Nina miezi mitatu sasa natrade lakini account haikui kabisa kwani naweza kupata $40 leo kesho nikapoteza $60, nimejaribu kukomaa na...
  2. Izzi

    Benki ya FNB - Tanzania imesitisha kufungua akaunti za Forex

    Habari wana jukwaa; I must declare; Mimi bado ni mwanafunzi katika tasnia ya FOREX. Sasa jana nilienda pale FNB Ohio st. ili nifungue akaunti ambayo ingekuwa mahsusi kwaajili ya FX tu. Lakini zoezi halikufanikiwa kwasababu niliambiwa kuwa hivi sasa wameamua kutofungua tena akaunti za FOREX...
  3. The Mongolian Savage

    Kijana wa Uingereza kaliza watu mamilioni ya Pauni kupitia Forex

    Mzuqa wanajamvi! Kijana mdogo 'Ontario wa Uingereza' mwenye miaka 20 Garvin Singh mwanachuo Uingereza anayesomea udaktari kaliza watu zaidi ya pauni za uingereza million 3 kwenye Forex aliyoianzisha kwenye Instagram na WhatsApp. Dogo huyo aliyeanzisha Forex yake kwenye Instagram na WhatsApp...
  4. T

    Wazee wenzangu wa kutrade Forex karibuni tufanye analysis ya pair za kutrade leo

    Kwa wale ambao wana trade forex karibuni tujadili pamoja pair za kutrade, kushare signals, kufanya analysis na kujadili kuhusu take profit and stop loss. Wazee wenzangu karibuni sana tu share experience pamoja na signals na risk pia. NB: Risk Only What You Can Afford to Lose Trade up to...
  5. scatter

    Mwaka 2019 unaisha tiririka mafanikio yako ya kufanya Forex

    Wakuu biashara ya Forex kwa Tanzania imeshamiri sana kwa kipindi cha miaka miwili au mitatu iliyopita. Wengi wameingia katika biashara hii lakini baadhi waliamua kuendelea nayo na wengine wameamua kuachana nayo. Kwa mwaka huu baada ya kufanya biashara hii nimefanikiwa kupata pesa na kuwekeza...
  6. Analogia Malenga

    Ugandans lost billions in forex trading scam

    “They were conned out of billions of shillings in just twelve months.” Hundreds of Ugandans woke up last week to a sad reality – they had been trapped in an exploitative scam by four Ugandans and four West Africans trading under the name Dunamiscoins Resources. Dunamiscoins Resources is...
  7. scatter

    Mgogoro unaodaiwa kuwepo kati ya BOT na M-Pesa utaisha lini ili Templer for Empler Forex atumie M-Pesa?

    Wakuu huu ni mwezi wa pili kwa wale wanaotumia broker wa templer forex hawawezi kudiposit pesa kwa njia ya M-Pesa Tanzania Inasemekana kuna mgogoro mkubwa wa kampuni ya M Pesa na BOT Tafadhali BOT malizeni mgogoro wenu kwani biashara za mtandao zipo nyingi tu kwann mnaleta vurugu kwa mabroker?
  8. Mbao ya chuma

    Nimsaidiaje huyu best yangu anayefilisiwa na Forex?

    Wakuu wa JF hope mko poa sana na maisha yanaenda fresh pande zenu. Ninaandika uzi huu kwa uchungu sana kuhusu rafiki yangu wa kufa na kuzikana (he Is like a brother to me), huyu jamaa alijitumbukiza kwenye FOREX yapata mwaka sasa na hakuna kitu amefaidika nacho zaidi ya kupoteza pesa. Jamaa ni...
Back
Top Bottom