Kwa wale wadau wa Forex naombeni maujanja ya kuikuza account yangu ya forex kutoka $250 mpaka $1000 ndani ya mwezi mmoja maana naona kama mimi mwenyewe siwezi.
Nina miezi mitatu sasa natrade lakini account haikui kabisa kwani naweza kupata $40 leo kesho nikapoteza $60, nimejaribu kukomaa na...