Habarini wanaJF, nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana na ameomba tumtafutie chuo bora cha VETA akasomee kozi ndefu ya umeme, ana pass ya C 2 na D 4 maana anapenda sana umeme so nilikuwa naomba kwa mwenye uzoefu anisaidie kimawazo ni chuo gani cha veta bora ARUSHA. Au hata sehemu...
Habari zenu humu ndani,
Nauliza mfano mtu kamaliza form four 2018 na akaend diploma akamaliza 2022, je anaweza apply mwaka 2025 kusoma diploma ya afya mfano MUHAS na kupata au achague tu private ingawa qualifications anazo.
Kusema ukweli kuna kitu hakipo sawa kwa sasa!
Miaka 20 iliyopita division 3 kuipata ilikuwa kipengele sana,
Hata waliopata walikuwa nauwezo flani hivi kiakili!
Sasa hivi siyo ajabu mtu ambae hata hajui what is biology anapata. Division 3,
Mtoto ambae hata simultaneously equation hajui lakini...
Habari ya uzima.
Yupo binti anatafuta kazi , Elimu yake kidato cha nne, Ila anajua kutumia computer vizuri.
Kazi yoyote anaweza kufanya mfano dukani , kwenye taasisi Kama office attendant, n.k
Angependa alipwe 200-250K
Sifa zake.
Umri 24
Mchapaka Kazi
Anafundishika.
Mtu wa kujituma na kutoa...
Kichwa cha habari chahusika,
Nina kaka angu alimaliza form four miaka ya nyuma na hakuweza kufaulu kuendelea na form five, sasa hivi anawaza kuingia chuo asome sheria ila matokeo yake ana C ya Historia na C ya Civic, Masomo mengine alipata yote D.
Je, anaweza kuingia Chuo matokeo hayo?
Idadi ya watahiniwa wanaotarajiwa kufanya mtihani wa kuhitimu kidato cha nne mwaka 2024 kuanzia kesho Novemba 11, 2024 imepungua kutoka 572, 338 mwaka 2023 hadi kufikia 557, 731 mwaka huu.
Akitoa taarifa ya maandalizi ya mtihani huo, Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA)...
Serikali inawapangia wanaomaliza form four kwenda kusoma diploma either ya nursing, clinical officer, pharmaceutical science, tena wanahitaji Mwanafunzi awe na D 4 tu.
Mdogo wangu form four kapata division 1 , akaenda advance PCB pia kufaulu kwa division 1 point 9, CCC, lakini ka-apply MD...
Poleni na majukumu ndagu zangu. Nime-aplly kazi katika taasisi ya taliri ambayo inajihusisha na utafiti wa rasilimali za mifugo na mamlaka ya viwanja vya ndege TAA kupitia sekretarieti ya ajira sasa ninaomba kupta tips ya maswali yake ya interview hasa kwenye usaili wa kuandika.
Nini natakiwa...
========
Kauli hii ilitolewa na naibu waziri wa elimu wakati huo Joseph Kakunda na ilileta mjadala kwa watu wengi. Hata hivyo Novemba 10, 2017 Kakunda alikuja kutolea ufafanuzi bungeni kwamba alimaanisha sera mpya miaka ijayo itakuwa lazima mtoto kusoma kuanzia chekechea mpaka kidato cha nne...
Naombeni msaada katika hili wadau mtu aliyehitimu kidato cha nne anaweza kupewa mkopo na bodi ya mkopo kwa ajili ya kusoma diploma?
====
Pia soma: Bodi ya Mikopo (HESLB) pamoja na kutoa mwongozo Kidato cha Nne kuomba mkopo wa Diploma, mfumo wao hauruhusu
Ni watu wachache ambao imewabidi kazi yao wanayofanya Kwa sasa waikubali tu Kwa sababu walijikuta wamesema vyuoni na inawapa Hela na ukizingatia uchache wa ajira ila wengi Kiukweli baada ya kumaliza form 4 hawakuwa na akili kama waliyonayo Kwa sasa.
Binafsi ungenirudisha Tena form four 2012...
Matokeo yapo kama hivi
Civ C
Bio C
Chem B
English B
Phy D
Math D
History B
Kisw B
Nitumie njia ipi ili nitimize ndoto yangu ya MD kupitia Diploma ya clinical medicine
Wakuu,
Naombeni ushauri. Nina dogo amemaliza form four, je nimpeleke shule/kozi gani kwa ajili ya future yenye uhakika?
Ana division 1 ya 10
NB: uwezo wa kumsomesha chochote popote upo.
Basi enzi zile kuna mitihani ya darasa la saba ikijumuisha shule za Maanga, Sinde, Mwenge, Nzovwe, Ilemi, Muungano na Ruanda nzovwe kulikuwa na wakali wao mwaka 2001.
Stephen Swetala, Ibrahim David, Daudi Mwala, Goodluck Mlwilo, Diligent Mmbaga, Wilson Ngole, Mbawala (wa muungano) na yule jamaa...
Kwa masikitiko makubwa nawasilisha malalamiko yangu dhidi ya msemaji wa Simba. Amekuwa akitukandia sana Form Four Failure Kwenye spichi sake. Sasa Sisi mashabiki wa kolowizard tuliofeli Form Four Tuhamie Yanga?
Nafikiri sasa wakati umefika kurekebisha mitaala iweze kum equip kijana na maarifa mbali mbali ya sasa....ili akiingia mtaani aweze moja Kwa moja kuchangia maendeleo na sio kugeuka mzigo wa na kuanza tena kupewa "training" ili aweze Ku fit in...
Hizi trainings vijana wapewe kabla hawajamaliza...
Mimi ni mwanafunzi nilie maliza kidato cha nne naomba kuulza ni kozi ipi nzuri ya ajira naweza kusomea na ikawa rahisi kuajiriwa au kujiajiri yani ambayo bado ina fursa nzuri za ajiraa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.