form four

  1. ommytk

    Kwa tuliopata ziro(0) form four hebu tukutane hapa

    Ebu tukutane hapa wale tulipata ziro na tumetoboa kimaisha angalau Maisha yetu yanaenda vizuri ebu tuje tuje
  2. ngotho

    A friend of mine forgot to attach his form four certificate

    Moja kwa moja kwenye mada ... Wakuu kuna rafiki yangu amefanya maombi ya mkopo.. kila kitu kafanya sawa .. vyeti vyote ameweka safi tu.. na form aliipereka posta kuituma. Baada ya siku mbili amegundua kuwa alisahau kuattach cheti cha form four kwenye ile form iliyoenda posta. anauliza eti...
  3. Isaya mwakyoma8

    Natafuta kazi, elimu yangu ni Form Four

    Naitwa Isaya Joseph Natafuta kazi yoyote ukuweza kujikimu kimaisha. Elimu yangu ni Form Four Kazi nilizowahi kuzifanya awali ni kama ifuatavyo-: Stationary miezi 6 Mashine za kusaga nafaka miaka 2 Afisa mikopo kwa wajasiliamali wadogo wadogo mwaka 1 Uwakala wa m-pesa, tigopesa mwaka mmoja...
  4. ngotho

    A Level iondolewe ili wanafunzi watoke Form Four moja kwa moja na kusoma kozi husika

    Bila shaka natumaini mpo salama wakuu. Moja kwa moja kwenye mada. imegundulika dhahiri shahiri kwamba wanafunzi wanaosoma advance na kujiunga na chuo kikuu wanakuw shallow sana ukicompare na wale waliotoka o levo na kujiunga na diploma. Kwanini hii levo ya advance isiondolewe ili wanafunzi...
  5. Ushimen

    7 New Form Four And Above Government Jobs At TANROADS (NJOMBE), June 2021- (Various Posts)

    JOB VACANCIES Click below to download PDF FILE:
  6. Political stability

    Tuliofeli kidato cha 4 tukutane hapa

    Tulio pata division 4 na Zero (0) kidato cha NNE, na tumetoboa kimaisha , tukutane hapa.. Aiseee, Mimi kidato cha NNE nilikula Zero nzuri tu, nikaingia mtaani kupambana, sahiv mambo super . Walio nicheka, wananiangalia kwa aibu sahivi.
  7. Mqqqqqm

    Naomba ushauri kuhusu matokeo haya ya Form Four

    Wapendwa! Naomben ushauri wenu Nina mdogo wangu amemaliza form four na amepata four ya 26 Kiswa B, English C, Lit Engl D Bios, Civics, Geog---- D Hist F and Math F Je, anaweza kwenda kusoma advance au njia gani nyingine ya ziada ifanye ili asonge mbele kielimu?
Back
Top Bottom