Aisee kuna huyu ndugu yangu mtoto wa mjomba alimaliza form four mwaka jana sasa alipata division four.
Ila ana C mbili na D tatu, nipo naulizia kama zinaweza kumtosha kwenda form five hata ya private, nataka kujitolea niwekeze kwake hata aweze kusoma kama ataweza kwenda form five.
Kingine kama...
"....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda ku-negotiate nini? Haiwezekani"
-Kaveli-
Nimekutana na professor mmoja mbobezi katika kupractise na kufundisha sheria shule kuu ya sheria chuo kikuu Dar es salaam katika hotel Moja hapa Kariakoo.
Ghafla tulifikia mada ya ubora wa elimu Tanzania. Nikamwambia watoto wanamaliza wapo weupe na mbaya zaidi hawajui hata haki zao. Akaniambia...
Nimepoteza cheti changu cha form four, kuzaliwa na cha form six
Wana JF, naomba mnishauri nitumie njia zipi kupata vyeti vyangu tena. Nimeshaenda police kutafuta loss report
Anajuwa humu kuna wadau wa mambo yote, matokeo ya form four yalishatoka na kila muhusika anajuwa ana division gani.
Sasa nataka kujuwa ni lini serikali itatangaza selection ya shule za serikali kwa waliofanya vizuri?
NAFASI ZA KAZI
Posts: 2
-Elimu kuanzia form four
-Uwe unajua kutumia computer, nb kama hujui computer usiombe plz
-Ukiwa na certificate ya computer ni kigezo cha nyongeza
-Kama una degree au diploma hatukuhitaji usiombe plz
-Location ya kazi ni Dar es salaam
-Jinsia ya kiume tu
-Umri...
Mwanafunzi mwenye uelewa mzuri wa lugha ya kingereza hata asipoingia darasani mwaka mzima hawezi pata sifuri katika mtihani wa kidato cha nne.
Wewe mzazi ebu hakikisha Mwanao unamjenga katika msingi Bora wa kufahamu kughq ya malkia .
watu .wengi wamenifata pm ili niwape ushauri bada ya...
Ili tuone unaupiga mwingi ebu weka matokeo kwa Majina ndo tuamini upo serious na Kazi yako.
Watoto huku uswahilini wanataja taja tu namba za uongo wakati wamepata zero na mbaya wanadanganya wazazi wao.
Mwaka wa tano huu sasa, hakuna mba mba mba wala nye nye nye! Namshukuru Mungu.
Sijui ni kwanini ipo hivi, no offence pia kwa wanawake wenye degree zenu. Ila mimi nazungumzia sisi tuliooa form four na la saba, yaani kwa kweli, hata kama huyu mwanamke ana makando kando, ila life lipo poa sana...
Nlivyomaliza form four na nikachaguliwa kwenda kusoma electrical engineering pale DIT nilisoma mwaka mmoja tu na kumaliza nilivyoingia mwaka wa pili Ada ikawa changamoto kutokana na matatizo ya kifamilia kwaiyo nikashindwa kuendelea Sasa nipo home mwenye connection ANISAIDIE jamani....Amina
Nipo shule x Hapa dsm nasikitika kusema Kuna zaidi ya watoto wa kike 100 lazima wapate zero maana naandika Hapa hawa Ni watoto hawajui hata kuandika majina yao kwa ufasaha.
Sasa hawa watoto wa kike wengi wanatoka uswahilini je baada Kupata zero wanaenda kufanya shughuli gani au kuolewa na ...
Naishauri Serikali isiwatumie watu ambao sio watumishi wa umma kwenye zoezi la sensa na sababu ni hizi.
1. Wengi wanaomba maeneo ambayo hawayajui hivyo wanalipua ili wawahi kuondoka mfano mtu anakaa Dar es Salaam anaomba kazi ya sensa Matombo hapa atalipuwa ili amalize haraka aondoke.
2...
Mimi nilimaliza mwaka ambao mitihani ilifutwa tukarudia tena. Wakongwe najua watakuwa wameng'amua...
Kwa upande wako, ulimaliza mwaka gani bila kututajia mwaka?
Mwanafunzi anakaa mtaani,zaidi ya miezi saba. Hivi hii ni sahihi kweli!? Why wasianze,masomo mwezi wa pili? Sio sawa kabisa kwani,wengi hupotea hapo.. Maoni yenu.
Kuna dogo kapata matokeo yafuatayo katika mtihani wa form four- 2021 na hataki kwenda advance.
Civics- C
Geography- C
History- C
Kiswahili- B
English-C
Biology-C
Chemistry-C
Physics- F
Maths-D.
Yeye anapenda kwenda chuo kozi za sayansi. Je ni kozi gani anaweza chaguliwa.
Habari wakuu wangu wadogo marahaba wakubwa shikamooni.
Kwanza natanguliza shukurani zangu dhati kwa wote mliopitia hapa na kusoma uzi huu.
Leo napenda nitoe ushauri kwa wadogo zangu kaka zangu dada zangu mliomaliza Form four na matokeo kuja tofauti yaaani kufeli kupata four au zero kabisa...
Wakuu nina vijana wawili wa kike na wa kiume wamemaliza kidato cha nne mwaka huu 2021.
Kama mnavyofahamu kwamba matokeo yao yakitoka January wanatapaswa kujiunga kidato cha tano mwezi July.
Sasa kwa miezi yote hii sita naona kama muda ni mrefu sana kwa wao kukaa nyumbani tu.
Sasa nilitamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.