free

  1. R

    Kupinga bandari zetu kubinafsishwa si uhaini ni Uzalendo. Waachieni huru Manabii wetu

    Jibuni HOJA zao. Maandamano ya Amani yameruhusiwa kikatiba. Waachieni Manabii wetu tafadhali.
  2. doup

    Free Crypto Coin Mining Apps

    Bila shaka Neno crypto currency sio geni, miongoni mwetu coin maarufu ya BITCOIN ilianza mwaka 2009 ukiwa na thamani ya kutupwa lakini bada ya miaka kidogo ilifikia Hadi thamani ya $67,000. Dunia inaelekea huko hata hapa Kwetu TZ kuna fununu za miongozo kuandaliwa. Pia kuna wanadau Tayari...
  3. BARD AI

    Je wajua: Mbunge Jumanne Kishimba ndiye mmiliki wa Dar Free Market na Imalaseko Supermarket

    Licha ya elimu yake ndogo ya Darasa la 7, Mzee Kishimba alianza biashara akiwa na miaka 14 baada ya kuacha shule na kukimbilia kuchimba madini ya Dhahabu katika mikoa ya Kanda ya Ziwa. Kwa sasa amejijengea jina kubwa Bungeni kwa miongoni mwa Wabunge wanaotoa hoja za kipekee sana na michango...
  4. Jemima Mrembo

    Jipatie Japanese hand fans kwa 10'000 tu free delivery in Dar es Salaam.

    Call +255755233968 nitakufikishia ulipo
  5. Roving Journalist

    Rias Samia kununua kila goli la Yanga kwa Tsh. Milioni 20

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Uzinduzi wa Mradi wa Minara ya Kurusha Matangazo ya Televisheni Ardhini(DTT) ya Kampuni ya Azam Media Limited, Makao Makuu ya Azam Media Limited- Tabata Dares Salaam leo tarehe 18 Mei, 2023. Rais Samia Suluhu Hassan...
  6. B

    Mgahawa wa ajabu, nani yupo free nimpeleke

    Je unaweza kushiriki chakula cha jioni ukiwa mtupu bila nguo na watu 40 usiowafahamu? • Huko nchini Marekani upo mgahawa unaowapokea wateja wanaopenda kupata mlo wakiwa watupu. • "The Füde Breathwork Experience" mjini New York City ni hafla ya chakula cha jioni ambapo washiriki hula chakula huku...
  7. JituMirabaMinne

    Free Advanced engine service gari 5 tu. Wati wa

    Mod naomba futa hii thread maana nmeipost bahati mbaya kabla kuna vitu sijakamilisha kuandika.
  8. benzemah

    Kabudi: Tanzania imeweka historia, ndio nchi ya kwanza Afrika kusaini mkataba wa hisa isiyofifishwa

    Leo hii Jumatatu April 17 2023 Serikali imesaini mikataba na kampuni tatu za madini za Australi zinazohusisha uendeshaji wa uchimbaji wa Madini ya Kinywe (GRAPHITE) na madini adimu (RARE EARTH ELEMENTS) katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma na kushuhudiwa na Rais Samia Suluhu Hassan...
  9. Deejay nasmile

    Free basic inagoma kusurf bure, tatizo nini?

    Mwanzo nilikuwa hata kama sina bando nikiwa na line ya halotel naweza kuingia baadhi ya sites kama JF buree kabisa...lakini saiv inakataaa. Nimejarib kubadili line ya mtandao mwingine nako ni holaaa!! Vp huduma imesitishwa au nini shida?? Wajuvi mnisaidie.
  10. P

    Je, ni illegal kutumia free internet kupitia VPN?

    Je, ni illegal kutumia free internet kupitia VPN? Naomba kufahamishwa
  11. Programu za PC

    Je, unahitaji software ya kukusaidia kazi / biashara yako?

    Habari, Je unahitaji software yoyote katika kazi / biashara zako. Nipo hapa kukusadia kupata software yoyote unayotaka katika kukusaidia kazi / biashara yako. Software au program katika kifaa chako cha kazi kama kompyuta au simu. Nitajie sofware au kazi yako inayohitaji software maalum...
  12. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums (Imani Yangu)

    Free your mind ,you wana raise up conciousnes and ability to attain power to do anything..
  13. N

    Boomplay kusherehekea wasanii wa Afrika waliochaguliwa kwenye Tuzo za Grammy kwa kutoa ‘free subscription’

    Sekta ya muziki duniani inajitayarisha kwaajili ya usiku mkubwa wa mwaka kupitia tuzo za 65 za Grammy. Huku wasanii wa Kiafrika wakipokea teuzi za kihistoria katika kategori tofauti mwaka huu, App inayokua kwa kasi katika utoaji huduma ya kupakua na kusikiliza muziki barani Afrika, Boomplay...
  14. JanguKamaJangu

    Mgogoro wa maslahi ya Wafanyakazi wa Star TV, Radio Free Africa, Kiss FM mambo bado magumu

    Mgogoro baina ya wafanyakazi na uongozi wa Kampuni ya Sahara Media Group Limited hauoneshi dalili za kuisha hivi karibuni baada ya taarifa kuibuka kwamba kampuni hiyo imewasimamisha kazi wafanyakazi kwa madai kwamba hakutakuwa na uzalishaji wa vipindi kupisha maboresho ya kiufundi. Hata hivyo...
  15. A

    Nawezaje kupata driver booster au driver pack for free

    Okay wakuu, nimejaribu kudownload hizo setup kwenye pc maana nahitaji kufanya update ya driver kwenye pc lakini naona hizo nilizodownload zina mambo ya kulipia. Sasa nauliza je kama kuna njia nyingine ya kupata hizo driver booster na driver pack for free? Chief-Mkwawa
  16. Binadamu Mtakatifu

    Free Host + Free Subdomain

    Kwa wale wasiopenda vyakulipia baasi infinityfree.net ni host bora ya bure ukiplus na subdomain kama hii tangatalk.epizy.com na nyinginezo nyingi
  17. Mcqueenen

    Je, Binadamu tuna free will (Hiari)?

    Nasilsiniz JF üye? Naomba unisamehe maana kwa haraka haraka hata mimi najishangaa kuuliza hili swali, kwasababu it's a No-brainer right?, Namaanisha ofcourse binadamu sisi sio kama wanyama wanaotawaliwa kwa instincts, sisi tuna free will right?, Maana tokea nianze kujitambua mpaka sasa...
  18. K

    Radio Free Afrika mnamchukia Mkapa?

    RFA Kuna clip ya hotuba za maraisi wote wa Tanzania, waliotangulia na aliyepo lakini hotuba ya Mkapa hakuna. Je mnachukizwa na nini hadi kumchukia hivyo?
  19. Princ

    Kama kuna anayejua streaming software anitajie nikaitafute

    Habari wakuu kama kuna yule mwenye anajua streaming software anitajia nikaitafute maana nimehangaika sana mpka nimechoka. Mwisho wa siku nikakumbuka huku jamiiforums. Msaada wenu please kama kichwa cha habari kinavyo jieleza Mixlr/radioking/mixx/visualdj zinaleta magumashi
  20. Logikos

    Hivi TBC sio Free to Air Tena?

    Naomba kujuzwa hii TBC inayoendeshwa kwa Ruzuku zetu ni lini imebadilika kutokuwa Free to Air ? Kama ni issue za Word Cup huu ndio utapeli kwamba watu wanunue vifurushi ili waone mama anaupiga mwingi ?, Huyu Nape na hawa TCRA wameshindwa Kazi ? au watafuatilia na kuleta majibu baada ya Kombe la...
Back
Top Bottom