Kipindi cha miaka 20 ni kipindi kirefu sana kwa kwa maisha ya binadamu yaani mtoto akizaliwa kufikia kipindi hicho wengine huwa wanajitegemea kabisa.
Jambo hili humaanisha kwamba tuna kizazi kingine chenye mtazamo mpya kabisa wa kifikra.
Sasa kwa chadema inaonekana hali ni tofauti kabisa...
Kumbuka heshima aliyokuwa nayo Prof.Lipumba kipindi hicho CUF kikiwa Chama kikuu cha upinzani. Tazama heshima ya John Cheyo kipindi hicho akiwa ni moja ya wabunge wa upinzani wakihoji serikali.
Baadae akaja Mbowe. Akajijengea heshima kubwa. Mimi na wenzangu tulikuwa tunapuuza kumsikiliza Rais...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda Wake, atazungumza na Dunia kupitia Waandishi wa Habari muda wowote kuanzia sasa.
Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi
====================================================
Akiwa anazungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake...
Wakuuuu,
Mbowe amewaambia wanachama waliokwenda kumhimiza achukue fomu wasiwashambulie kwa kuwatukana waliomtukana na kumfitini, bali wawasamehe. Asema huo ni ushamba tu.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi
Akisema...
Wakuu!
CHADEMA ndiyo msingi mmoja wapo kwamba wanasiasa wakiteseka huko kwenye vyama vyao waje kwao waenjoy siasa safi?
Ila hii game bado ni ngumu ngoja tuone nani atashinda!
==========
(Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa) umejenga chama ambacho kinapokea kila mtu bila kujali ametoka...
Wakuu,
Naona kuna nyuzi humu zilikuwa zinasema kuwa Mbowe ndio amepanga hili tukio la wanachama kumlazimisha kugombea Uenyekiti, leo Mbowe ameamua kuwajibu.
Mbowe amesema kuwa hayo maturubai na viti mnavyoviona ni wanachama wake ndio wameandaa na kwamba yeye aliambiwa akae ndani
Wakuu,
Mambo yazidi kuwa moto! Kila CHADEMA mnavyojitahidi kutuaminisha mpo sawa mnakuja kuharibu.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi
Mbowe kasema hana haja ya kujieleza historia yake inajieleza, na kuwa chama...
Mambo yanazidi kunoga huko jamani.
BAWACHA Pwani wamesema watatoa Tsh. Milionin1.5 kumchangia Mbowe achukue fomu ya kugombea uenyekiti CHADEMA sababu wanaamini kwenye uwezo wake.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi
Mbowe...
Vyombo vya habari vinaripoti kuwa wanachama wamevamia nyumbani kwa mBOWE kumsihi achukue fomu za kugombea uenyekiti wa chama hicho ili akamkabili msanii Tundu Lissu.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Wafuasi CHADEMA wavamia nyumbani kwa Mbowe kumlazimisha achukue Fomu ya kugombea Uenyekiti
Yapo...
Kundi kubwa la vijana wamejazana Nyumbani Kwa Freeman Mbowe mikocheni
Baadhi ya majirani wamepiga Simu polisi Ili kuomba Ulinzi wa Makazi yao
Niko hapa Chato ngoja nielekee nikashuhudie kinachojiri 🐼
==
Mamia ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamefika nyumbani kwa...
Baadhi ya makada na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutoka mikoa mbalimbali, ikiwamo Dar es Salaam wamejipanga leo Desemba 18, 2024 kwenda nyumbani kwa Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, Mikocheni kumuomba agombee tena nafasi hiyo.
Hadi sasa Mbowe...
Wakuu, salaam zenu!
Moja kwa moja kwenye mawazo yangu. Nimefikiria sana, style ya Mh. Tundu Lissu, ya kuutaka Uenyekiti wa chama chao, nimeona inaweza kuleta athari fulani.
Yeye mwenyewe amesema, ameshawishiwa na wadau, agombee hiyo nafasi! Sina shaka, baada ya hao wadau kuona aliyepo HATOSHI...
Wakuu,
Ila Muliro😂😂 hapa wameshindwa tu kumuita mchochezi na mzua taharuki, si ndio haya mapuuzo yalipekea mtu akafanyiwa assassination attempt? Hii statement imenishangaza kwakweli, leo ndio anafahamu kuwa ni sehemu yao ya uhuru wa kujieleza ila wakitaka kuandamana kwa amani wabatendewa kama...
MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Kazi, Januari 6, 2025 inatarajia kuanza kusikiliza maombi ya waandishi wa habari Maregesi Paul na wenzake 9 wanaotaka Mkurugenzi wa Gazeti la Tanzania Daima, Dudley Mbowe aamuliwe kwenda gerezani kama mfungwa wa madai kwa kushindwa kulipa malimbikizo ya misharaha yao...
Mimi sio mwanachama wa Chadema na sifurahii siasa zao za kutukana tukana viongozi hivyo hasa vijana wao wanavyofanya harakati za kijinga mitandaoni jambo linalosababisha wawaudhi viongozi wa serikali na ndio maana wanakamatwa kamatwa hivyo lakini najaribu kulinganisha sifa za uongozi kati ya...
Mbowe ni kiongozi mzuri kuliko viongozi wote wa vyama vyote hapa Tanzania huo ndiyo ukweli. Hii ni kwasababu ya uzoefu wake kwenye biashara. Hivyo tusije kijidanganya kwamba CHADEMA inaweza kupata kiongozi bora mmoja. Hata Kama Lissu akipata uwenyekiti ni lazima awekewe watu makini sana wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Nikiri wazi kuwa sijawahi kufikiria wala kuwazia wala kutizamia wala kuota wala kutarajia wala kuona Eti Lissu akichukua Fomu ya Kuomba Kuongoza CHADEMA kama Mwenyekiti wake Taifa.
huu ni utani ,huu ni Mzaha anaoufanya Lissu kwa sababu hana uwezo huo wa kuongoza...
Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, amejibu juu ya Mhe. Freeman Mbowe kama atachukua fomu ya Uenyekiti wa Chama hicho, wakati alipokuwa akizungumza na wanahabari Jijini Dar es Salaam, ambapo alikuwa akiwatangazia wanachama juu ya uchaguzi wa viongozi wa Chama na Mabaraza kwa ngazi ya Taifa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Freeman Mbowe akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa ofisi ya CHADEMA wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, Jumapili Desemba 15, 2024.
Updates...
Mbowe
CHADEMA inaoutofauti na vyama vingine vya upinzani kwa sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.