Lissu anasema Mbowe alivyokuwa anaongea kwenye hutuba yake inaonekana bado anataka maridhiano. Anasema toka amerudi hakukuwa na mabadiliko yoyote kisera. Yote yaliyofanywa kwa upande wake yalikuwa ni masharti ambayo CCM walitakiwa kufanya kabla ya kuingia kwenye maridhiano.
Pia soma: Pre GE2025...
Tundu Lissu Makamu akizungumza kupitia clubhouse leo Desemba 23 amesema kuwa
"Nimepewa taarifa na mtu wa heshima sana kuhusu maandalizi ya vurugu kwenye uchaguzi.
Kuna watu wanaandaliwa waje waingie ukumbini kama wanachama, kumbe wapo kwa kazi maalum ya kutorosha masanduku ya kura...
Tundu Lissu Makamu akizungumza kupitia clubhouse leo Desemba 23 amesema kuwa "Tutaweka ukomo wa Ubunge wa Viti Maalum ili wanawake wengi wanaokipigania Chama wapate fursa na isiwe kikundi cha watu wale wale miaka yote".
Pia soma
- Pre GE2025 - Tundu Lissu: Mimi sina maslahi binafsi kwenye...
XxxxxX
Twende Pamoja, kwa muda mrefu wapinzani wetu kisiasa wamekuwa wanasema udini na ukabila zaidi kwa swala la Ukabila wanalengwa watu kutoka mkoa wa Kilimanjaro anakotokea Mwenyekiti wetu wa Taifa. Naomba nikushirikishe na wewe upime Je kuna ukweli wowote?
Secretariat ambacho ni chombo cha...
Kwa mujibu wa kura za maoni zilizo fanywa na Jambo online TV matokeo yapo hiv:
Watoa maoni: 12,148
Tundu Lissu kapata kura 10,204 sawa na 84%
Freeman Mbowe kapata kura 1,944 sawa na 16%.
Haya ni maoni ya watanzania walio nje ya mfumo wa Chadema. Wajumbe wa mkutano mkuu wana nafasi ya...
Kijana Deus Soka umeipambania Chadema kwa jasho na damu. Mara kadhaa umekaa jela, umepigwa, umeumizwa umepitia madhila mengi ukiamini unapigania mabadiliko ya kweli.
Ulikuwa mstari wa mbele kuipigania katiba mpya tulikuona ukipigwa virungu na mateke ulipojitokeza na wenzio kumi maandamano ya...
Licha ya kwamba ni uhuru na haki ya kila mwana CHADEMA kuwania nafasi ya uongozi kulingana na sifa, vigezo na masharti ya kikatiba yaliyopo ndani ya chama hicho.
Je, ni nani hasa wa kulaumiwa kwa kukivuruga chama hiki cha siasa, ama kwa ubinafsi wake, uchu na tamaa zake za madaraka, kati ya...
Mbunge machachari na msomi aliyetukuka Bilionea Hamis Kigwangalla amemsihi Freeman Mbowe asikubali kushindwa na Tundu Antipas Lisu
Kigwangalla anesema Mbowe na Mkwe wake ndio wamekijenga Chadema Kwa Miaka 30 sasa hivyo akikubali kushindwa atakuwa Fala sana
=============
Mbowe asikubali...
Kwa jinsi alivyo hawezi kukataa kupokea rushwa, wala hawezi kupambana na rushwa kwa namna yoyote ile.
Kwanza ni mbinafsi na amezongwa na shida za kifamilia sana. Na, ni mtu wa tamaa na uchu kupindukia, hususani kwenye suala la fedha, vyeo na madaraka.
Ukimfuatilia kwa makini katika mazungumzo...
Hawa jamaa walitunga katiba ambayo inampa haki Mbowe agombee na amegombea, Lissu kagombea. Hakuna aliyevunja katiba. Kwa nini wanaona Mbowe kugombea ni tatizo?
Lissu anataka mteremko? Si apiganie kura kwa wajumbe?
Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea...
Hiyo ni character assassination.
Tangu Lissu atangaze nia ya kugombea sijawahi kumsikia akiwapongeza viongozi wenzake waliopo as if hakuna kitu walichofanya, yeye ni lawama tu.
Lissu angekuwa na ustaarabu hata robo, angeanza kwanza kwa kupongeza juhudi zilizofanywa na mtangulizi wake Mbowe kwa...
Ni raha iliyoje kuona kundi kubwa la watu likikulamba na kukunyenyekea? Hata Lissu mwenyewe anajua kuwa moto aliouwasha siyo wa kitoto ni ngumu sana kuuzima kimasihara. Wapo waliojaribu wapo wapi sasa?
Yaani kirahisi tu Mbowe amkabidhi kijiti Lissu? Thubutu, kuwa chairman wa chama kikuu cha...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Mheshimiwa Freeman Mbowe Mwamba na Jabali la Siasa za Upinzani katika ukanda huu wa Afrika Mashariki aliyekwepa mishale mingi kama Mbayuwayu Anapendwa na wana CHADEMA,huyu Mwamba anakubalika,anaaminika na wana CHADEMA sijapata kuona.
Huyu Mwamba Anapendwa na...
Wakuu salam, kila mmoja kwa imani yake wajf popote mlipo.
Leo ni leo vipenga kwa pande zote vimelia ,Mbowe anagombea ,lissu anagombea kazi kwenu wajumbe kutuletea mtu Mhimu kwa wakati muhim. Mbowe na lissu wote bado chama kinawahitaji ila kwa nyakati za sasa Lissu ni mtu sahii.
Leo natangaza...
Mbowe akijibu swali kuhusu tuhuma za pesa za Abdul asema hazina ushahidi wowote na kwamba mwenye ushahidi anatakiwa kuupeleka kama alivyoambiwa.
Na kuongeza kuwa Lissu kufanya hivyo ni kuwachafulia watu wengine waliojenga reputation zao kwa muda mrefu. Mbowe amemuasa Lissu.
Pia soma: Pre...
Wakuu,
Mbowe anasema wanaosema aachie madaraka wakome, hajachoka, bado ana nguvu za kutosha na kuweza kufanya mikutano 8 kwa siku bila kula, kama kuna mtu ana nguvu kama yeye ajitokeze.
Mbowe asema ukomo wa madaraka ni watu wanaokutaka au kukukataa, na huu ndio ukomo halisi wa demokrasia...
Wakati wowote kuanzia sasa Mhe Freeman Mbowe kutoa tamko rasmi la ama atagombea Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa ama laa.
Mtakumbuka Mhe Freeman Mbowe ameitumikia nafasi hii kwa zaidi ya miongo miwili sawa na miaka 21 mfululizo.
Endapo atatangaza kugombea tena atakuwa ni mgombea wa nne...
Wakuu,
Na Msigwa alianza hivi hivi, baadaye tukasikia huyoooo anazima nyingine na kuwasha kijani!
=====
Mbowe anasema serikali ya nusu mkate haijawahi kuwa ajenda ya chadema mahali popote, yeye mwenyewe anashangaa mtu amezuka huko na kusema eti Mbowe ameahidiwa kupewa uwaziri mkuu, huo ni...
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo, Mbowe amesema kuwa mojawapo ya faida ya maridhiano ni chama hicho kununua jengo lao la Bilioni 1 na laki 6 ambalo liko Mikocheni.
Mbowe amesema kuwa kupitia maridhiano na Rais Samia, CHADEMA waliweza kuanza kuchukua ruzuku ambazo ndizo zilitumika kununua jengo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.