Kweli siasa ni sayansi, anachokifanya Lissu ni sayansi ya siasa, inahitaji akili zaidi kuliko nguvu, pesa au ujanja ujanja.
Nani anaweza kuamini kuwa leo hii Mbowe tayari yuko nje wa mkondo wa siasa za upinzani? Yote hayo ni matokeo ya harakati za Tundu Lissu katika kuwania uenyekiti wa...
Watanzania siasa siyo nyepesi kama mnavyodhani, lissu hawezi kushinda uenyekiti hata mbowe akimpigia kura Lissu, ila baada ya miaka mitano mnyika atakuwa Mwenyekiti na Lissu atakuwa amesajili chama chake.
Chama cha demokrasia na maendeleo chadema kilivuka salaama mwaka 2019 na hii nikwasababu mbowe hakuwa na mpinzani wake ! Hayo tumeyaona kipindi cha CHACHA WANGWE, NA ZITTO ZUBERI KABWE , tabia hizi za UASAAD ndiyo unakirudisha nyuma chama.
Mwaka huu sasa amekutana na wajanja wameshamshitukia...
Wakuu, Tundu Lissu alipofika Uwanja wa ndege, amehoji chanzo cha fedha kwa baadhi ya watu.
Tundu Lissu amesema, "Ni muhimu tukajua, katika Mazingira ya Tanzania halisi hii, haya Mamilioni haya yanatokea wapi na ni salama kiasi gani? Kama mtu ana biashara Nchini au Nje ya Nchi, kuna biashara...
Wakuu
Tundu Lissu "Ninajua kuwa Mbowe ndiye aliyemtuma Wenje agombee nafasi ya Makamu Mwenyekiti nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma"
Pia, Soma:
Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA
Lissu: Mbowe ni muongo, tulifanya kikao cha siri kwa siku 3. Alikataa...
WanaJF,
Nafikiri Sisi ndio tumechelewa kulifahamu hili Jambo lakini kumbe ndugu Freeman Aikael Mbowe alishaanza kutekeleza Hilo muda mrefu, kwamba kwa sababu yeye ameshindwa kupambana na CCM kwa zaidi ya miaka 30 sasa yeye akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa basi ameona aungane nao wakati huu...
Fuatilia kwa umakini minyukano ya siasa za uchaguzi wa Mwenyekiti CHADEMA Taifa utakaofanyika tarehe 21/01/2025 inayoendelea ndani ya chama hiki kisha husianisha na matukio haya👇..
TUKIO #1: Tundu Lissu atangaza nia ya kugombea u - Rais wa JMT 2025 iwapo chama chake kitampa ridhaa. Asema...
Mwandishi nguli wa habari wa Kimataifa Salim KIKEKE amempiga Mbowe nyundo ya kichwa na akapatoza fahamu palepale.
******
Salim Kikeke: "Unasemaje kuhusu UKOMO wa MADARAKA"
Freeman Mbowe: "Katiba yetu haizuii that means UKOMO sio tatizo kwenye DEMOKRASIA"
Salim Kikeke: "Kuna kitu kinaitwa...
Amesikika Mbowe na kujifagilia kwingi huku akimnanga Lissu.
Kwamba alichokisema kuhusu kung'atuka bila shaka, kimsingi yeye na M7 ni baba mmoja, mama mmoja:
Kwamba kasema yeye ndiye kamfikisha Lissu hapo alipo, bila shaka kuwa yeye ni bora zaidi!
Kwamba hakuna anayeweza kujidhania ni wa...
Akijibu swali la Salim Kikeke Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe amekiri kuwa mara kadhaa amekuwa akikaa na Makamu wake, Tundu Lissu na kujadili mambo yanayohusu Chama na baadae anakuja kuzisikia taarifa hizo zimetoka nje.
Soma, Pia: Freeman Mbowe: Shutma za Lissu...
"Kama kila moja aliona kwamba anastahili kugombea hatunyimani nafasi...lakini kwamba hatukuona athari tuliona athari kwa sababu tulishakubaliana juu ya nafasi za kugombea ila ikawa ghafla sana yeye kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti ngazi ya taifa..." - Freeman Mbowe kuhusu mgombea mwenza...
Wakuu
Kwenye mahojiano na Salim Kikeke kupitia, Crown FM, Mbowe amefunguka kuwa;
"Mimi kama Mwenyekiti wa chama ni tabia yangu ni historia yangu, sijawahi kuingia kwenye siasa kwa ajili ya kutafuta sifa na mimi nilikuwa mtu wa kujenga na kulea vipaji vingi kwa miaka yote, Tundu Lissu mimi...
Kila nikitazama sioni dalili za Mbowe kuachia cheo cha uenyekiti hiyo January 21, 2025. Atapita kutokana na mipango thabiti aliyojiwekea kwa wajumbe. Nimethibitisha hilo.
Kwa maana nyingine ni kuwa Mbowe atasalia kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA taifa hadi 2029. Nimefanya uchunguzi, mwenyekiti yupo...
Ni takriban wiki 3 zimesalia pekee kushuhudia mpambano wa kukata na shoka kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu kukalia kiti cha Chama kikuu cha Upinzani Tanzania CHADEMA.
Kumekuwa na mpambano mkali kwenye mitandao ya kijamii hasa nani anafaa kuchaguliwa kuongoza chama hicho katika uchaguzi wa...
Na; Bob Chacha Wangwe
Mhe. Mbowe na Mhe. Lissu wote ni viongozi wetu. Mchango wao ni mkubwa sana na tunawapenda. Lakini tunaipenda zaidi CHADEMA. Katika kuchagua mmoja kwenye nafasi ya Uenyekiti, tukiamua kabisa kuweka upambe na uchawa pembeni na kuangalia maslahi na ustawi wa CHADEMA na...
Freeman Mbowe ndio mwanasiasa wa upinzani mahiri kuwai kutokea tangu Tanzania iumbwe, anaebisha ilo ni mjinga.
Amewaacha mbali sana wanasiasa wote wa upinzani mtu pekee aliyekuwa anamkaribia Mbowe ni Maalim Seif.
Ni mwanasiasa wa mfano na role model kwa kuwa anaweza kukusanya pesa na raslimali...
====
CCM Wana haki ya kutuchamba. Mheshimiwa Freeman Mbowe ametufedhehesha sana. Unadhani CCM watakwenda kuruhusu katiba mpya na tume huru ikiwa kama kiongozi wetu mwenyekiti wa taifa anang'ang'ani madaraka bila ukomo? Tutatoa wapi ujasiri wa kuhutubia haki ya uhuru wa demokrasia iliyo na mipaka...
Hizo ndizo habari toka mezani kwa Team Mbowe ya kwamba mtu wao huyo hatoshiriki mdahalo huo.
Chama cha watu wanaokwepa midahalo kinajulikana Je, ndugu yetu pia kasajiliwa kimya kimya?
Happy New Year 2025 in advance
Kuelekea uchaguzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, chadema ngazi ya taifa,
Yapo mambo mengi sana yametokea na yanaendelea kutukokea kwa nyakati tofauti, na mengi yakihusiana na joto la uchaguzi wa chama hicho, January 22,2025.
Kwa upande wa Freeman Aikaeli Mbowe,
hali hii itamsaidia sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.