Itakuwa aibu bwana Mwenyekiti Mbowe kukimbia vinyago alivyocuonga mwenyewe na kukabidhi chama kwa vibaraka wa Mabeberu.
Wazee wanagombea huko Ivory Coast mara ya 4 sembuse wewe Mbowe kijana una Nguvu halafu mbichi kabisa 😂😂😂
Twende kazi Mwamba Mbowe...
Kwenye mahojiano na BBC namsikia Lissu anasema kuwa Mbowe aliyeenda jela sie yule aliyetoka. N watu wawili tofauti. Kwamba baada ya Mbowe kupewa alivyopewa amekuwa mkimya, mpole, Mdiplomasia, n.k. Kwamba wale wananchi waliokuwa tayari kuwafia, kuwafuata, kuwasikiliza na kukifuata chama, leo hii...
Aiseeh!
Team ya Mbowe Mpaka dakika hii wametepeta. Sijui kama wanajua kama wapo kwenye Kampeni za uchaguzi. Fikiria Mpaka Muda huu hawajaeleza Mbowe Akiwa Mwenyekiti atafanya Jambo gani. Pengine nao hawajui wakipewa nafasi nini watafanya.
Watu wengi waliposikia Mwenyekiti Mbowe anahojiwa...
Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kesho Ijumaa tarehe 10/01/25 anatarajiwa kuzungumza na Taifa kupitia Clouds Media kuanzia saa 12 asubuhi katika kipindi cha Power Breakfast.
Freeman Mbowe mwanasiasa mwenye mvuto zaidi kwa sasa hapa nchini anatetea nafasi yake ya uenyekiti katika...
Taarifa za ndani kabisa zinasema mbowe anashinikiza Mhe. Tundu Lissu aenguliwe kwenye kinyanga'nyiro cha ugombea uenyekiti ili abaki peke yake.
John Mnyika asijaribu kushiriki dhambi hiyo itamtafuna na kizazi chake. Mbowe must go, amechoka na amechokwa!
Mpo salama!
Tumeona kinachotokea Korea ya Kusini. Rais wa Korea Kusini alivyowajibishwa.
Mbowe asidhani kuwa kwa vile yeye ni mwenyekiti hawezi kuchukuliwa hatua zozote ikiwa itabainika anachukua Rushwa au kutoa Rushwa
CHADEMA kama cha cha Demokrasia lazima kifikie hatua na kuwa na watu wenye...
Lissu ameendelea kumkalia kooni Freeman Mbowe, safari hii ameiambia BBC anataka kumuokoa Mbowe asitoke kwenye chama kwa aibu kama Mugabe.
---
Chama hakiwezi kuokolewa na mtu aliyekiongoza kwa miaka 21"
Mgombea nafasi ya Uenyekiti Chadema Tundu Lissu amesema hatua yake ya kutaka uongozi wa...
Hoja za Freeman Mbowe na Wenje nilizozisikia mpaka sasa 👇👇👇
1. Lissu hakuwa na dola 10,000 tukamsaidia ili apelekwe hospital Nairobi aliposhambuliwa.
2. Kuna pesa zetu tunamdai tulimsaidia kwenye matibabu.
3. Nilimlipia tiketi za ndege kipindi anafanya harakati za kusaidia watu migodini.
4...
Kwanini wanapotosha, kwanini hakuna anayeweka uthibitisho wa video habari hii ya madai kuwa Tundu Lissu amethibitisha Padre Dkt. Charles Kitima kushiriki vikao vya siri vya CHADEMA?
Katika video ya mahojiano na Waandishi wa Habari pale Uwanja wa Ndege hakuna mahali Lissu amemtaja Kitima lakini...
ajenda
baraza
freemanmbowe
kanisa
kanisa katoliki
katibu
kitima
kufanikisha
lissu
maana
msimbazi
mungu
padre
padri kitima
tundu antipas lissu
uchaguzi 2025
uchaguzi chadema 2024/2025
uongozi
Tundu Lissu mwanaharakati na mtetezi mkubwa wa haki za binadamu anapambana kukalia kiti cha Mwenyekiti Chadema Taifa
Molemo Media imefanya utafiti maeneo mbalimbali nchini kwa wajumbe wa mkutano mkuu kutaka kufahamu mwelekeo na mtazamo wao kuelekea mkutano Mkuu wa uchaguzi Januari 21
Tundu...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Kibiti, mkoani Pwani Mohammedi Seif amejitokeza hadharani na kueleza msimamo wake kuwa anamuunga mkono Freeman Mbowe katika kinyang'anyiro cha kumtafuta Mwenyekiti wa chama hicho Taifa kwenye mchakato wa uchaguzi wa ndani...
Mimi sio mwana CHADEMA ila kwa watu naowajua wenye ukaribu na Lissu husema kwamba Lissu hua ni muongo zaidi in person pia katika kuskiliza baadhi ya interview za Mbowe za karibuni kuna namna pia amegusia Lissu ni Muongo, kwa wanaomfaham Lissu kwa ukaribu wanafiki pia kwamba jamaa sio mkweli sana...
Habarini wana jukwaa wa JF.
Ni wiki chache sasa Zimebaki CHADEMA waingie katika UCHAGUZI wa viongozi wao wakuu wa chama.Hii ndio tafakuri yangu.
1)Lissu anaungwa mkono na idadi kubwa ya wanachama pamoja na wengine wasio wanachama,je hii inaweza kumfanya apate ushindi katika UCHAGUZI?
2)Mbowe...
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA @chadematzofficial Freeman Mbowe amesema kuna makundi yanayoratibu kufanyika mapinduzi ndani ya chama hicho na makundi hayo ndiyo yanayomsukuma Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Bara, Tundu Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti.
“Kuna kundi...
Kuna kila dalili na ishara kwamba minyukano inayoendelea ndani ya CHADEMA imeratibiwa na kupenyezwa kwa mbinu za siri ili kukivuruga chama hiki ambacho kimsingi ndicho chama kikuu cha upinzani. Baada ya hali ya chama tawala kuonekana tete kuelekea uchaguzi mkuu 2025 hususan baada ya dalili zote...
Ndiyo. Hatumtaki Lissu CHADEMA sababu Lissu atakiua chama.na Lissu ataleta migogoro CHADEMA. Sisi CCM Tukifikiria hilo tunaona si sawa. Si jambo jema.
Kama nasi tutaruhusiwa kupiga kura basi tutamchagua Mbowe. Na tumeshaelekezana kuwa KAMANDA ANATOSHA. TUNAENDA NA MWAMBA.
Lissu ni mtu asiyefaa...
Mudhihir alisema majoka Yana Tabia za ajabu sana
Akatoa mfano wa Joka la Mdimu ambalo linazuia Watu wasichume ndimu wakati lenyewe halili ndimu
Mbowe mbele ya Viongozi wa dini alikataa kugombea Uenyekiti wa chadema wala Urais wa JMT lakini hataki Tundu Lisu agombee hizo nafasi
RIP Mudhihir...
Kwenye Uchaguzi huu wa CHADEMA Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kuhusu Hawa wagombea wa uenyekiti.
Freeman Mbowe
STRENGTH
1. Hekima zake,mikakati,kujitoa kwake hata kiuchumi bado zinahitajika kwa CHADEMA na siasa za nchi hii
2. Uhakika wa kuto kununulika kwake kunafanya awe muhimu kuendelea...
Kwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake!
Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea.
TULIPOFIKIA SASA YOU ARE THE LAST LINE OF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.