CCM inatumia Akili kubwa, inajua Mwenyekiti wake ni Rais wa JMT mwenye majukumu chungu nzima ya kiserikali hivyo ni Busara Yeye mwenyewe ateue Msaidizi wake kisha Mkutano mkuu umfanyie usahili
Hii inaepusha watu kuvunjiana Heshima kama huko Chadema yule mbobezi Wenje alivyowavuruga hadi...
FREEMAN AIKAEL MBOWE
(Borntown)
Ana huruma kiasi,anasikiliza shida za wanachama wake,ila hapendi mtu mwerevu kupita kiasi,yaani usivuke mipaka.mtaji wake ni wanachama Waandamizi yaani aliowasaidia shida mbalimbali hawa anaamini watamvusha na wao wamemuhakikishia hilo
Anajisikia vibaya kuiacha...
Salamu kwako Mzee wangu Freeman Mbowe a.k.a FAM.
Ni Matumaini yangu u heri wa Afya.
Dhumuni la Waraka huu ni kukuelezea Yafuatayo / bucketed
1. Inawezekana kabisa una Ushawishi Mkubwa ndani ya Kamati Kuu ya CHADEMA hence wakakupigia Kura nyingi na kuwa Mwenyekiti.
2. CHADEMA kilishavuka stage...
Wafuasi na Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoani Mbeya wamewataka wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho watakaoshiriki uchaguzi wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho ngazi ya Taifa kumchagua Tundu Lissu ili aweze kushika wadhifa huo.
Wakizugumza katika mkutano na...
Mtangazaji wa kipindi cha Jana na Leo kutoka Wasafi Fm, Edo Kumwembe amesema angekuwa mshauri wa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe angemshauri kujiondoa katika kinyang'anyiro cha Uenyekiti kisha atangaze kumuunga mkono mpinzani wake Tundu Lissu
Edo amesema “ningekuwa...
Habari Wakuu!
Kama kichwa cha habari kinavyosema, hicho ndio kitu kinachoweza kutokea wakati wowote kuanzia sasa, ila uwezekano ni kujitoa dakika za jioni.
Ataongea mengi na atakuja na ngonjera za kuwa pia kuna watu wengine maarufu ambao nao wamemtaka apumzike halafu atamalizia na hotuba ya...
Ukisikia mambo yamezidi kunoga ndiyo hii sasa.
Tunasubiri final nani kuwa bingwa wa mchezo huu mkubwa na wa kihistoria hapa Tanzania.
=========================
Mwenyekiti alifanya kikao na Watu wake (Sengerema) kuwa siwezi kuwa Makamu Mwenyekiti taarifa zikanifikia, nikaamua sasa wacha...
Hii hoja ingekuwa na nguvu Sana kama Mbowe asingejitangaza hadharani kwamba amechangia Chama hivyo anaona astahili kuwa Mkiti
Anataka kutuaminisha kwamba uongozi wa CHADEMA Huwa unanuliwa
Mtu yeyote mwenye hela hata za mihadarati au kibaraka wa watu waovu wanaweza wakapewa Kwa sababu ya kuwa...
Ni wamba wawili wenye tabia za mfanano ulio bayana.
Wamba hao ni wazi waliingia kwenye Madaraka na kuwa vipenzi wa dhati kwa waliowaongoza katika Vipindi.
Tatizo waliamua kubishana na muda!
Ukweli ni kwamba, hayupo yeyote awaye aliyeshindana na muda na alifaulu. Muda wakati wote huwa...
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Mbeya wanaomuunga mkono Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu wamewataka wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA Taifa kuhakikisha wanamchagua Lissu kuwa Mwenyekiti wa chama hicho.
Wamedai kuwa Mwenyekiti wa sasa...
Sijui katiba inasemaje imenshtuaa
Leo wakati Odemba WA Star tv anahoji aliuliza swali WAKILI na baadhi ya wanachama kwenye mdahalo
Vipi Mbowe MH akishindwa Itakuwaje?
MMOJA akajibu atabaki kuwa MJUMBE WA kamati kuu
Alipoulizwa vipi kuhusu Tundu Lissu akishindwa akajibiwa atabaki kuwa...
Godbless Lema amesema kuwa Mwenyekiti Freeman Mbowe alimwambia mara kadhaa kwamba amechoka na anataka kuachia uongozi wa chama.
Soma: Godbless Lema: Namuomba Mbowe apumzike, amuachie Lissu afanye kazi ya Uenyekiti CHADEMA
"Mwenyekiti Mbowe mimi amenambia zaidi ya zaidi ya mara tano mwaka jana...
Kuhusu kuendeea kusalia ndani ya Chama endapo atashndwa Uchaguzi Januari 21, 2025
"Nitakua Mwanachama, nitaendelea na mapambano kama Mwanachama (kwanini atabaki Chadema)...kwasababu najua mamilioni ya Wanachama na Wafuasi wa CHADEMA wanataka mabadiliko kwahiyo nitaendelea mapambano ndani ya...
1. Uzoefu wa Uongozi
Ufafanuzi: Mbowe ana uzoefu wa muda mrefu katika siasa na uongozi wa CHADEMA, akiliongoza chama kupitia changamoto mbalimbali za kisiasa na kuhakikisha kinaendelea kuwa chama kikuu cha upinzani Tanzania. Uzoefu huu unamuwezesha kushughulikia masuala magumu kwa ufanisi...
Sababu zetu ni zile zile.
1. Hatujui kwanini unagombea awamu hii. Huna ilani wala vipaumbele! Tutakupima vipi?
2. Umeishiwa mbinu na hilo linaonekana waziwazi kwenye muelekeo wa wanachama.
3. Huna tena ushawishi ukilinganisha na wengine.
4. Una harufu ya kuhongwa na CCM. Unaonekana pasipo...
My friends, ladies and gentleman,
Na huu ndio ukweli mnapaswa kufahamu na kuuelewa vyema kwamba,
Tundu Antipas Mughwai Lisu, hawezi kumshinda Freeman Aikali Mbowe kwa namna yoyote ile, hususan chadema inapoelekea kwenye uchaguzi wa ngazi ya taifa Jan.21.2025.
Hawezi kumshinda kwa kura za...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema ni kweli kwenye uchaguzi huu watanyukana lakini baada ya kunyukana, watakutana kwenye boksi la kura kisha baada ya hapo watapeana mikono.
Mbowe ameyasema hayo wakati akihutubia Baraza la Baraza la Vijana wa Chadema...
BAVICHA wamelipuka kwa shangwe kubwa baada ya Tundu Lissu ambaye ni Mgombea wa Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakati akiingia kwenye ukumbi wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa BAVICHA leo, ambapo vijana wa CHADEMA kutoka sehemu mbalimbali wamekutana kuamua viongozi...
Wakuu,
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akiwa kwenye mahojiano na BBC amesema;
"Leo Mbowe wa 2025 nina uwezo mkubwa wa kiakili, uzoefu wa kunitosha, nguvu, lakini zaidi nina adhma, dhamira, nina ndoto, nina ndoto ninayotaka kuifikia, kuna kitu nataka nikisukume. Utafika tu wakati ambako...
20+ Years Freeman Mbowe ameshindwa kuitoa CCM madarakani.
Ameshindwa kulinda kura za Watanzania.
Ameshindwa kuweka mashinikizo chanya juu ya chaguzi huru na haki.
Ameshindwa kuwatengenezea viti maalum kwa wajimbo na kupisha wengine.
Ameshindwa kutengeneza vyanzo vya mapato ili achangie yeye na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.