"Bila shaka hii ni kwa sasa, vinginevyo labda kwa siku za usoni."
Hoja hupingwa kwa hoja. Anaandika msomi, tukisubiria za kina Sugu:
"Ubunifu wa Mbowe miaka ya nyuma ulikuwa asset kubwa kwa chama. Hata hivyo miaka ya hivi karibuni UBUNIFU huu umeonekana kufikia plateau, jambo linalokigharimu...
Wakuu
Inaelezwa kuwa baadhi ya Maaskofu wa Kanisa Katoliki hapa nchini wamemvaa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) Padre Dkt. Charles Kitima, na kumtaka kujitokeza kufafanua ni kwanini amekua akiendesha vikao vya siri vya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bila kuutarifu...
Wakuu,
Nafatilia hizi press zinazofanywa kila mara na Mbowe, pamoja na press anazofanya Lissu. Tumeshamsikia Lissu akisema mara nyingi kuhusu kufanya reforms CHADEMA, kupambana na rushwa pindi atakapoingia, etc.
Ila ukifika kwa Mbowe, ni malalamiko mwanzo mwisho. Mimi nimekilea CHADEMA toka...
Kwa kuangalia jinsi Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA, na Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, wanavyoishi na kushirikiana kisiasa, ni dhahiri kwamba kuna hali ya kutatanisha. Naamini maisha wanayoonyesha hadharani ni ya kinafiki, ambapo kila mmoja anamtamani mwenzake "aingie kwenye...
Wakuu
Vipi tusiamini vicheko😀?
==
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwa na Makamu mwenyekiti wake, Tundu Lissu wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kinachoendelea makao makuu ya chama hicho, Mikocheni Dar es Salaam, leo Ijumaa, Januari 10, 2025...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema atapokea matokeo ya kushindwa katika kinyang'anyiro cha uenyekiti endapo wapigakura watasema hatoshi na atarudi kwenye biashara zake.
Mbowe amesema hayo leo Ijumaa, Januari 10, 2025 alipohojiwa katika kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa na...
Tundu Lissu amewataja baadhi ya viongozi na Wanachama wa CHADEMA ambao hawajatubu kwa Mwenyekiti wa Chama, Freeman Mbowe na anawashughulikia ipasavyo ndani ya Chama.
"Tukikutana hivi kwenye vikao hatupigani ngumi, hatuko kama tulivyokuwa mwanzoni. Mwenyekiti aliyekwenda gerezani, sio Mwenyekiti...
"Tunaona watu ambao walishaondoka CHADEMA huko miaka ya nyuma kama akina Dkt Wilbroad Slaa ambao walikimbia CHADEMA wakaenda Chama cha Mapinduzi wakapewa na zawadi ya ubalozi, eti leo naye amekuwa ndiye mpiga debe mkubwa wa Makamu Mwenyekiti wangu kutaka apewe Mwenyekiti wa chama na kubeza na...
"Kwanza nizungumze kitu kinachoitwa ukomo wa madaraka, ndani ya taasisi ya Chadema na ujue Chadema ni chama cha siasa ni kundi la watu ambapo ukijunga na chama chetu kama ambavyo ungejiunga na chama kingine chochote kitu cha kwanza unakubalina na katiba ya chama,"
"chama chetu kimeweka ukomo wa...
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe alipokuwa akizungumza na clouds amesema
"Hapa Dar es Salaam kila Mtaa unaouona una uongozi wa CHADEMA wa Baraza la Chama, la viongozi wa chama.
Na katika Vijijini zaidi ya 12,000 zaidi ya 80% tuna viongozi katika vijiji nchi nzima na hatimaye sasa Vitongoji...
Ezekia Wenje, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mwalimu Julius Nyerere alihudumu madarakani kwa muda mrefu zaidi kuliko Freeman Mbowe.
Pia, Soma:
- Lissu ataka Ukomo wa Madaraka kwenye nafasi za uongozi CHADEMA. Asema itapunguza 'Uchawa'
- Wenje: Mwaka 2020 tulimpitisha Lissu kwenye Urais...
Wakuu Salam.
Bob Junior Simba Mtawala wa Serengeti hifadhi ya Serengeti ambaye ambaye alitawala kwa miaongo isiyopingua mitatu.
Bob junior alivuma kwa utawala wa kibabe ndani ya hifadhi yeye na vijana wa familia yake.
Alipendelea utawala wa kiimla, na Kujiona Serengeti ni yeye na yeye...
Japokuwa kwa watu wa majira na nyakati wameshajua nani mshindi kwenye sanduku la kura, lakini pia mambo hubadilika kama mmoja wao akiamua kumuachia mwenzake.
Ila wakiendelea kugombea wote wawili na wakaingia kwenye kupigiwa kura, basi kuna mmoja ana neema zaidi ya mwingine kupitia mwaka huu...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama kuna kitu CHADEMA wanapaswa kujifunza kutoka CCM basi ni suala zima la kusimamia maadili, nidhamu,sheria,kanuni, taratibu,miongozo na katiba ya chama.Ndani ya CCM hakuna aliye mkubwa zaidi ya chama,hakuna aliye juu ya chama,hakuna mwenye kusema pasipo yeye hakuna...
Kupitia maandishi ya mwana CCM bwana Hamis kigwangalla, napata mashaka makubwa sana. Uwenda wewe ndiye mtu ambaye unawauza viongozi wenzio kwa wenye mamlaka... !
Tumeanza kuwa ma-bro sasa, Vijana Chipukizi na watoto wanatutazama kama viigizo, wanajifunza kwetu, tuwe makini sana.
Kaka yangu...
Akizungumzia hali ya uungwaji mkono na Wananchi baada ya kuwasusia maandamano ambayo yamekuwa yakiitishwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.
"Watu wameenda wapi?, mwaka 2011 (Arusha) kulikuwa na maandamano ya CHADEMA kupinga yaliyokuwa yametokea kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2010, maandamano...
Na Suleiman Mfua
Katika siku za hivi karibuni ndani ya Siasa za Tanzania kumekuwepo na mjadala mkubwa kuhusu nani anayestahili kupewa ridhaa ya kua mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)
Mjadala huo umetokana na Vigogo wawili wa Chama hicho Wakili Tundu A. Lissu (Makamo...
Alute Munghwai, kaka yake Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ameonyesha kukerwa na kauli za Freeman Mbowe na Tundu Lissu, ambazo wamekuwa wakirushiana kwenye mahojiano. Wagombea hao wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa wanadaiwa kutoka nje ya mstari na badala yake walipaswa kueleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.