freeman mbowe

Freeman Aikaeli Mbowe (born 9 December 1961) is a [[Tanzanian] politician and the current nominated chairman of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA – Political Party for Democracy and Development). He was elected to continue as a National Assembly member representing the Hai District in the Kilimanjaro Region as per the 2015 general election.Mbowe was elected to the National Assembly in 2000 representing Hai Constituency (Kilimanjaro Region). He won 64.5% of the vote, which was the highest percentage of votes won among constituencies with opposition MP's.In preparation for the 2005 elections, Mbowe was nominated to represent CHADEMA as their presidential candidate for the 2005 presidential elections. Jumbe Rajab Jumbe, a Zanzibari was chosen as his vice-presidential candidate. The election was originally scheduled for 30 October 2005, but was postponed until 14 December due to the death of Jumbe.
Mbowe constructively criticized the lengthy postponement, saying a week's delay would have sufficed and that his political party cannot afford to finance extra campaigns. Chadema eventually settled on Ms. Anna Maulidah Komu to be the running political party executive.
He placed third out of ten candidates in the presidential election of 14 December 2005, winning 5.88% of the vote. Although there are rumours that many of the votes in that election were stolen by the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) going to their presidential candidate, Jakaya Kikwete.
In the 2010 general elections, he was elected as a member of parliament for The united republic of Tanzania parliament after winning against the experienced candidate the incumbent from Mapinduzi, fuya kimbita taking 51.63% of the vote. Currently, he is the leader of the opposition in parliament after his party the chama cha demokrasia na maendeleo won a significant majority in the opposition camp in parliament.].One of the founders of CHADEMA in 1992, Mbowe is a good strategist which makes him currently one of the main strategists of the CHADEMA political party and a main executive board member in the political party to ensure the political growth of his party, of which he has steadily led as chairman since 2004, in a healthy politically competitive environment that has witnessed a steady collapse of major opposition parties since 1990s at the hands of the CCM government, the country's highly politicized police force, and intelligence.

View More On Wikipedia.org
  1. Pre GE2025 Tundu Lissu: Uhusiano wa Mbowe na Serikali ya Rais Samia umetugharimu

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameweka wazi sababu za kuwania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho ngazi ya taifa na kutoa maoni yake kuhusu changamoto za kisiasa nchini. Lissu ameyasema hayo wakati wa mahojiano ya hivi karibuni na kituo cha habari cha...
  2. Mbowe anaungwa mkono na Wajumbe wapiga kura wengi ndani ya CHADEMA, Lissu anaungwa mkono na umati mkubwa wa wapiga kelele

    Friends, ladies and gentlemen. Kwa kifupi kabisa, ukipima kwa jicho la rohoni kabisa, numbers of votes zinamfavor chairman Mbowe, huku useless mass popularity ikimfavor vice chairman Lisu, ikiwa uchaguzi wa ndani wa chadema utafanyika mwaka huu 2024 au 2025. There is no way Lissu can beat...
  3. Ni wazi mchuano wa Freeman Mbowe na Tundu Lissu umeipasua CHADEMA, na kuibua mgawanyiko wa kikanda, kikabila, na kimikoa

    Hata hivyo, sura zaidi ya sekeseke hili zinatarajiwa kujitokeza ikiwa ni pamoja na sura ya kizalendo na ile ya ukibaraka, nazo zitachukua mkondo wake kwa wakati muafaka. Mpaka sasa, tayari kuna kanda, makabila na mikoa yao imeonyesha wazi wazi kumuunga mkono mwenyekiti wa wa sasa wa Chadema, na...
  4. Pre GE2025 Mwenyekiti CHADEMA Mbeya: Tutamlazimisha Mbowe agombee Uenyekiti

    Wakuu, Tunaendelea kumywa mtori tukifiatilia hili kwa karibu. Bado ni mbinu ya kuichanganya CCM?? ==== Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Mbeya Masaga Kaloli, amesema anaamini bado Mwenyekiti wa sasa wa chama hicho Taifa Freeman Mbowe ana nguvu za kukitumikia chama hicho. Akizungumza na...
  5. Pre GE2025 BAWACHA Mbeya wamuunga mkono Lissu

    Wakuu, Mambo yanazidi kunoga wakati tunaelekea 2025. === Siku moja tangu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tanzania Bara Tundu Lissu atangaze nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho Taifa katika mchakato wa ndani wa uchaguzi unaoendelea leo, Ijumaa...
  6. Nani amesema kuwa Freeman Mbowe atagombea tena uenyekiti CHADEMA?

    Tangu jana, mara baada ya Wakili Tundu A.M. Lissu kutangaza kugombea uenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, kumekuwa na 'kuwapambanisha' Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe na Lissu kwenye uchaguzi wa CHADEMA utakaofanyika mwakani. Kuna siku nilimsikia Lissu akisema kuwa mtia-nia yeyote ndani ya CHADEMA...
  7. B

    Chief Odemba: Nimeanza mazungumzo ya awali ya mdahalo baina ya Tundu Lissu na Freeman Mbowe

    Nimeanza mazungumuzo ya awali ya kutaka kuweka mdahalo baina ya wagombea wa nafasi ya mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA mazungumuzo yatakapokamilika nitatangaza siku ya mdahalo, nawatakia maandalizi mema ya mchakato wa uchaguzi. Ameandika Chief Odemba kwenye mtandao wa X.
  8. R

    Lissu na Mbowe kama vile Uhuru na Ruto: Je, CCM wanaweza wakaruhusu uchaguzi kama wa Chadema kwa Mwenyekiti?

    Nimependa na kukubali sana hatua ya Lisu kugombea uwenyekiti. Anagombea akija na siasa za akina Dr. Slaaa. Anaibuka siku moja baada ya kuwa meza moja na mwenyekiti. Natamani kumwona nani atasimama nafasi ya makamu mwenyekiti Mchuano huu unakwenda kufukua mjadala. Namwona Odemba ameanza...
  9. A

    Tatizo la Freeman Mbowe CHADEMA ni kupoteza Imani ya Wafuasi na Mashabiki wa CHADEMA Wala sio mapenzi ya wanachama au Viongozi wa CHADEMA

    CHADEMA tangu kuanzishwa kwake imekuwa ikipewa nguvu zaidi na Wafuasi na mashabiki Wala sio wanachama wa chama hicho au Viongozi ambao kimsingi ni chini ya 10% Kitu pekee CHADEMA wanapashwa kukilinda ni Mashabiki Wala sio wanachama Kwakuwa Tanzania iko kishabiki zaidi ya Uanachama na...
  10. Pre GE2025 Freeman Mbowe: Hatutaki kustaafu siasa sijachoka

    Kila siku mnazungumza mnadanganywa, ni hivi mazungumzo katika mambo ya Kijamii upende usipende ni lazima, niwape mfano, leo Mashariki ya Kati, Israel wanapiga na Palestina na Hezbollah, Watu kwa mamia wanauawa lakini wakati vita inaendelea kule Qatar kuna mazungumzo namna ya kumaliza vita...
  11. Pre GE2025 Freeman Mbowe: Mtasubiri sana tugombane, haitatokea! Masuala ya mimi kugombea chama changu kitaamua, hayawahusu

    Wakuu, Mbowe amerusha kijembe huko kuwa suala la yeye kugombea haliwahusu watu wa nje, ni kama pilipili tusiyoulia inatuwashia nini? Suala la kugombea chama kitasema agombee au lah. Asema kuna watu wanatamani sana kuona kuna mafarakano chadema, na kwamba hilo haliwezi kutokea, wabaya wao...
  12. SI KWELI Robert Amsterdam amesema huu ni wakati mwafaka kwa Tundu Lissu kuchuana na Freeman Mbowe katika kuwania nafasi ya Uenyekiti wa chama

    Wakuu Salaam Nimekutana na Taarifa kuokea Akaunti ya Mtandao wa X ukiwa na Post inayppnekana kuwa ni ya Robert Amsteram (Mwanasheria wa Tundu Lissu) akitoa maoni kuwa kwa sasa CHADEMA inatakiwa imruhusu Lissu kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa chama: je kuna kuna ukweli hapa?
  13. KURA: Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

    FREEMAN MBOWE-MTIA NIA •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• TUNDU AM LISSU-MTIA NIA •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Tanzania ni yetu sote!! Habari kuu ndani ya CHADEMA ni mchuano mkali wa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA baina ya Mwenyekiti anayemaliza muda...
  14. Pre GE2025 Wanachama, Viongozi CHADEMA wagawanyika kambi tofauti, hofu ya mpasuko yaongezeka

    Wakuu, CHADEMA itasilimika kweli mpaka 2025? ==== Uamuzi wa Tundu Lissu kukusudia kuchuana na Freeman Mbowe katika kinyang'anyiro cha uenyekiti wa Chadema, umekigawa chama hicho pande tatu huku sababu za Lissu kuamua kuchukua hatua hizo zikibainika. Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa...
  15. Freeman Mbowe, ni wakati wako sasa wa kuachia ngazi kwa heshima, siasa za kuonewa huruma hazitoifikisha mbele CHADEMA

    MBOWE SASA NI WAKATI WA KUPUMZIKA KWA HESHIMA CHAMA MUACHIE TUNDU LISSU. Ikiwa Chadema itaendelea kuwa chini ya uongozi wa Mbowe basi wana miaka michache sana kwenye siasa za Nchi hii kama chama kilichodhaniwa mbadala wa CCM. Siasa za Mbowe za kuonewa huruma kila mara Wananchi tumezichoka na...
  16. LGE2024 Freeman Mbowe: Tunalaani mauaji na kujeruhiwa kwa wagombea, viongozi na wanachama wetu kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Tunapofunga vituo vya kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Taifa limeendelea kushuhudia tena ubaradhuli wa wazi na wa aibu toka kwa mamlaka zote za Serikali kushirikiana kuipatia CCM na wagombea wake ushindi wa aibu hata kwa gharama za maisha ya Watanzania. Tunalaani mauaji na...
  17. Mchuano mkali nafasi ya uenyekiti - CHADEMA Taifa; Tundu Lissu, Freeman Mbowe, Odero C. Odero

    Haina shaka tena... Si tetesi tena bali ni uhakika kuwa Tundu Antipasy Mghway Lissu (Makamu Mwenyekiti taifa wa sasa) atapambana na wenzake wawili kuwania nafasi ya uenyekiti taifa - CHADEMA... Mwingine aliyekwishajitokeza ni mwanachama mmoja ajulikanaye kwa jina Odero C. Odero. Na wa tatu...
  18. LGE2024 Freeman Mbowe: Tuliwasusia mwaka 2019, kosa hilo haturudii tena. Safari hii tutabanana mpaka tone la mwisho la damu

    Wakuu, Akiwa kwenye kampeni siku ya leo Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema CHADEMA haitosusia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu kama ilivyosusa mwaka 2019 na kusema pamoja na changamoto za kuenguliwa kwa Wagombea wao bado wataendelea kushiriki Uchaguzi huo. 'Tuliwasusia...
  19. LGE2024 Freeman Mbowe afika Mbalizi kuwaombea Kura Wagombea wa CHADEMA

    Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba Pamoja na Mikutano kadhaa aliyohutubia leo, Mwenyekiti wa Chadema amefika Mbalizi na kuwaomba wananchi wachague Wagombea wa Chadema ili kuepuka laana ya Mungu Wakati CHADEMA ikipita huku na kule kuomba Kura Wao wanahangaika kuomba Msamaha Swali ni Je...
  20. Tetesi: Chuo Kikuu cha Nairobi kinatarajia kumtunukia Freeman Mbowe Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Siasa na demokrasia

    Katika muktadha wa siasa za Tanzania, jina la Freeman Mbowe limekuwa likijulikana sana, hususan kutokana na mchango wake katika kuendeleza demokrasia na haki za binadamu nchini. Hata hivyo, licha ya mchango huu, vyuo vikuu nchini havijachukua hatua ya kumpatia Mbowe Shahada ya Udaktari wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…