freeman mbowe

Freeman Aikaeli Mbowe (born 9 December 1961) is a [[Tanzanian] politician and the current nominated chairman of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA – Political Party for Democracy and Development). He was elected to continue as a National Assembly member representing the Hai District in the Kilimanjaro Region as per the 2015 general election.Mbowe was elected to the National Assembly in 2000 representing Hai Constituency (Kilimanjaro Region). He won 64.5% of the vote, which was the highest percentage of votes won among constituencies with opposition MP's.In preparation for the 2005 elections, Mbowe was nominated to represent CHADEMA as their presidential candidate for the 2005 presidential elections. Jumbe Rajab Jumbe, a Zanzibari was chosen as his vice-presidential candidate. The election was originally scheduled for 30 October 2005, but was postponed until 14 December due to the death of Jumbe.
Mbowe constructively criticized the lengthy postponement, saying a week's delay would have sufficed and that his political party cannot afford to finance extra campaigns. Chadema eventually settled on Ms. Anna Maulidah Komu to be the running political party executive.
He placed third out of ten candidates in the presidential election of 14 December 2005, winning 5.88% of the vote. Although there are rumours that many of the votes in that election were stolen by the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) going to their presidential candidate, Jakaya Kikwete.
In the 2010 general elections, he was elected as a member of parliament for The united republic of Tanzania parliament after winning against the experienced candidate the incumbent from Mapinduzi, fuya kimbita taking 51.63% of the vote. Currently, he is the leader of the opposition in parliament after his party the chama cha demokrasia na maendeleo won a significant majority in the opposition camp in parliament.].One of the founders of CHADEMA in 1992, Mbowe is a good strategist which makes him currently one of the main strategists of the CHADEMA political party and a main executive board member in the political party to ensure the political growth of his party, of which he has steadily led as chairman since 2004, in a healthy politically competitive environment that has witnessed a steady collapse of major opposition parties since 1990s at the hands of the CCM government, the country's highly politicized police force, and intelligence.

View More On Wikipedia.org
  1. LGE2024 Freeman Mbowe akinukisha Uyole Mbeya Serikali za Mitaa. Kumbe CHADEMA ina Watu

    Mkutano wa kwanza leo Novemba 24, 2024 kwa mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mbowe uliofanyika asubuhi leo Uyole, Mbeya. Mwenyekiti ameambatana na mwenyeji wake mwenyekiti wa Kanda Mhe. Sugu, pamoja na viongozi wengine.
  2. LGE2024 Mbeya: Freeman Mbowe atangaza Nguzo na Imani nne za CHADEMA kuelekea Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Mkutano wa asubuhi leo Novemba 23, 2024 uliofanyika katika Kijiji cha Ipinda, Kata ya Kyela, Mbeya na kuhutubiwa na mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe Mbowe amesema chadema inasimamia Haki, Uhuru, maendeleo ya watu na Demokrasia
  3. LGE2024 Freeman Mbowe afanya Mkutano Kata ya Kyela, Mbeya baada ya kutoka Korokoroni

    Mkutano wa asubuhi leo Novemba 23, 2024 uliofanyika katika Kijiji cha Ipinda, Kata ya Kyela, Mbeya na kuhutubiwa na mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe Pia, soma: LGE2024 - Songwe: Viongozi wa CHADEMA akiwemo Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, wameachiwa bila masharti Usiku
  4. J

    Mdude Nyagali bado anashikiliwa baada ya Mbowe na Sugu kuachiwa huru

    Siasa ni Sayansi Hatimaye Mdude Nyagali kaingia kwenye 18 za Chama Dola Wakati Viongozi Wote wa Chadema wakiachiliwa yeye ameendelea Kushikiliwa Uingiapo Siasani uwe na Maarifa ya kutosha πŸ˜€
  5. LGE2024 Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Njombe aeleza A-Z mkasa nzima ilivyotokea mpaka Freeman Mbowe kukamatwa na Polisi

    Wakuu, Muda mchache baada ya Freeman Mbowe kukamatwa, Mwenyekiti wa ACT Wazalendo mkoa wa Njombe amezungumza mwanzo mwisho nini hasa kimpelekea mpaka Mwenyekiti huyo kukamatwa. Soma pia: Freeman Mbowe akamatwa na Jeshi la Polisi akielekea Mbozi mkoani Songwe Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Mkoa...
  6. LGE2024 Mbowe ashikiliwa kwa kukiuka taratibu za kampeni

    Wakuu, Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kwa tuhuma za...
  7. LGE2024 Freeman Mbowe akamatwa na Jeshi la Polisi akielekea Mbozi mkoani Songwe

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi katika mapori ya HALUNGU akiwa njiani anaelekea Mbozi kwenye Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa baada ya kutoka Mlowo ambapo mkutano wale ulizuiwa na Jeshi la Polisi kwa Kutawanya Watu kwa mabomu ya machozi...
  8. LGE2024 Mchungaji Peter Msigwa aichachafya CHADEMA mchana kweupe, afunguka Ugomvi uliopo kati ya Mbowe na Lissu

    Mchungaji Msigwa, ambaye ni mbunge wa zamani wa jimbo la Iringa mjini kwa tiketi ya chama cha CHADEMA na kujiunga CCM Juni 30, 2024 amewataka wananchi wawachague wagombea wa CCM kwasababu vyama vya upinzani hazina sifa, hawana uhalali wakuikosoa Serikali ya Chama cha Mapinduzi. "Nimekaa ndani...
  9. LGE2024 Freeman Mbowe kuzindua Kampeni za CHADEMA Mkoa wa Songwe

    Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Mkoa wa Songwe umebahatika kupata Neema ya kuzinduliwa kwa kampeni za Uchaguzi wa serikali za Mitaa na Mwamba Kabisa Freeman Mbowe Taarifa ya Chama chake iliyosambazwa kote duniani hii hapa #WATAKE WASITAKE
  10. J

    Mchungaji Msigwa kama Kuna ubaya alikutendea Mbowe mimi Yohana namuombea Msamaha, Unamsema mno nawe ni Mchungaji wa kondoo!

    Mchungaji Msigwa jaribu kuwa Gentleman mambo ya mipasho Siyo poa Sisi ni Wanaume tena ni Wakristo Nimeona baada ya Press ya Freeman ya Jana umemshukia kwa dharau kubwa Ukurasani kwako X Nikukumbushe tu ulikuwa na nafasi ya uwaziri wakati Wenzako akina Katambi, Gekui, Mollel na Waitara...
  11. SI KWELI Mbowe na Mnyika Waisifia TAMISEMI. Lissu atakiwa kuwapisha CHADEMA huku Fedha za Chama zikielekezwa uchaguzi kanda ya Kaskazini kisa chama hakina hela

    Mbowe na Mnyika Waisifia TAMISEMI. Lissu atakiwa kuwapisha CHADEMA huku Fedha za Chama zikielekezwa uchaguzi kanda ya Kaskazini kisa chama hakina hela.
  12. B

    Freeman Mbowe: Aitaka Mahakama ya Rufani Kuzuia Uchaguzi, Demokrasia imenyongwa

    Mbowe Mwenyekiti wa Chama cba Demokrasia na maendeleo amesema pamoja na ubakaji wa demokrasia ambao unaendelea bado ameshangaa kwanini Mahakama inatoa maamuzi ya kukknda chama na bado Mahaka.a ya Rufani i achelewesha maamuzi kuhusu shauri lililoko Mahakamani. Pamoja na mambo mengine amesema...
  13. LGE2024 Freeman Mbowe: Tutanyukana lakini hatutakigawa Chama, Hiki si Chama cha Mbowe, sio cha Lissu wala Mnyika, ni cha Watanzania wengi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amejibu maswali kuhusu madai ya mgawanyiko na mnyukano ndani ya chama hicho, akisisitiza kuwa migogoro ya kisiasa ni jambo la kawaida katika vyama vyenye nguvu. Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya kisiasa...
  14. Ifike mahali Mbowe akae pembeni CHADEMA, aweke hata mtu wake awe anam-monitor kuliko kuendelea kutokuwa relevant

    Ajifunze hata kwa Mandela pamoja na kupendwa sana ila ilibidi akae pembeni mambo mengine yanyooke, Hata Nyerere aliwahi kukiri waliokuwa wanamwambia ukiondoka nchi hii ni changa bado italeta matatizo, alikuja kugundua walikua wanatetea familia zao na sio nchi. Akiwa kama kiongozi imara...
  15. LGE2024 Mbowe: CHADEMA haitajitoa katika uchaguzi Serikali za Mitaa. Wagombea wetu walioenguliwa kihuni warejeshwe

    Wakuu, Saa 5 asubuhi hii Mbowe kutema cheche Makao Makuu ya CHADEMA, Mikocheni, nini kitaendelea? Vuta sofa kwa updates. https://www.youtube.com/live/9kQEVPB0RAk?si=U4fqpWwWOg47j7jV === Kwahiyo CHADEMA hapa ndio anaenda kuongea Mwenyekiti wa Chama? :BearLaugh: :BearLaugh: :KEKWlaugh...
  16. Pre GE2025 Godbless Lema kwa heshima aliyojijengea kwenye Taifa hili hawezi kwenda CCM ila haridhishwi na Uongozi wa kaka yake Freeman Mbowe

    Lema anatofauti za wazi kati yake na Katibu wake wa Kanda za Kichadema ya Kaskazini Bw AMANI Golugwa akimtuhumu kuwa ni fisadi mkubwa ndani ya CHADEMA anayekingiwa kifua na Freeman Mbowe. Amani ambae ni swaiba mkubwa wa Freeman Mbowe wa muda mrefu anatajwa kumpigia kampeni za kuchaguliwa tena...
  17. Freeman Mbowe yuko wapi?

    Ni miezi sasa inakatika mwenyekiti wa Chadema yuko kimya bila kutoa neno wakati 1. Wagombea wa Chadema wanakatwa nchi nzima 2. Rushwa na pesa chafu zimetapakaa kwenye chaguzi za Chadema 3. Kuna ugomvi mkali kati ya Tundu Lisu na Benson Kigaila 4. Kuna ugomvi mkali kati ya Benson Kigaila na...
  18. Viongozi wa CHADEMA jitokezeni hadharani mseme Mbowe alipo ana muda mrefu haonekani

    Toka muda wake wa kukaa madarakani Kama mwenyekiti wa chadema Taifa uishe Mh. Mbowe haonekani popote nchini, huku watu wakisubiri uchaguzi wa Mwenyekiti Mpya utangazwe inje ya Mbowe. Mbowe na chadema wanatumia ruzuku ambazo Ni Kodi zetu kwahiyo tuna haki yakujua ameenda wapi na Kodi zetu...
  19. Bila Freeman Mbowe na Jordan Rugimbana, Tundu Lissu angepoteza uhai siku ile aliyopigwa risasi Dodoma

    Wale walenga shabaha(snipers )baada ya kushindwa kumuua Tundu Lissu ,alipelekwa hospitali ya General kwa matibabu. Mnaidhani wale sio sniper refer Donald Trump alipunyuliwa nywele badala ya kupigwa kichwa na sniper....tuendelee Lengo lilikuwa apelekwe Muhimbili. Mbowe mtoto wa mjini akahisi...
  20. Tundu Lissu ana uwezo mdogo mno wa uongozi ukimlinganisha na Dkt. Slaa au mbowe ambao angalau wana maono

    Ukiachilia mbali hekima na busara za kiuongozi na kimamlaka kumpitia mbali, saikolojia na uzalendo wake ni wa mashaka zaidi ukilinganisha na hao wengine japo nao familia ziko ughaibuni. Hana maandalizi wala mpangilio wa kujieleza. Ni kama analalamika tu kwa kila kitu. Akijieleza binafsi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…