Mgombea Udiwani Kata ya Liganga, Fulco Komba aliyekuwa akigombea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya kuvutiwa na sera zake za maendeleo.
Tukio hilo lilijiri jana Septemba 30, 2025 katika mkutano wa kampeni wa Mbunge wa Jimbo la Peramiho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.