"Tumeshampata!’ – Yombo Vituka Yamlilia Fulgence Lwiza Kabla ya Kura za CCM"
Na Mwandishi Wetu – Dar es Salaam
Kata ya Yombo Vituka, Wilaya ya Temeke, imeingia katika hekaheka za uchaguzi wa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku jina la mgombea mmoja likianza kung’ara kabla hata ya kura...
Katika siasa za ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), jina la Fulgence Lwiza limezidi kupewa uzito mkubwa katika Kata ya Yombo Vituka, Wilaya ya Temeke, jijini Dar es Salaam. Kwa sasa, hakuna anayeweza kupuuza nguvu, ushawishi na mvuto wa mwanasiasa huyu kijana ambaye amekuwa akigusa karibu kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.