Katika siasa za ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), jina la Fulgence Lwiza limezidi kupewa uzito mkubwa katika Kata ya Yombo Vituka, Wilaya ya Temeke, jijini Dar es Salaam. Kwa sasa, hakuna anayeweza kupuuza nguvu, ushawishi na mvuto wa mwanasiasa huyu kijana ambaye amekuwa akigusa karibu kila...