Jana tuliambiwa hukumu ya kesi iliahirishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi, Arusha.
kwa kile kilichodaiwa kuwa hakimu alikuwa anatimiza majukumu mengine ya kiofisi,mahali ambapo hatukutajiwa.
Leo asubuhi tunasikia taarifa ya Sabaya kuhamishiwa alfajiri,kutoka Gerezani Kisongo,na kupelekwa...
Hello bosses kwanza kabisa naomba mods msiedit heading ya huu uzi.
Kumekuwa na wimbi la watu kutoheshimu professions za wengine na hili linabackfire mdg mdg.
Watu wengi siku hz wanadhan kila mtu anaweza kuwa investor wakiongozwa na kaka yao fln kule twitter lkn niwaambieni tu hio ni profession...
Vita ya UKRAINE na URUSI imetawala katika vyombo kadhaa vya habari!!
Nina Funzo kubwa kwamba
USIJIWEKE WAZI KWA KILA JAMBO, KWANINI?
Urusi kutokuwa wazi sana na taarifa zake sahihi kutojulikana Kwa Magharibi
Kumesababisha asiingiliwe mipango yake mapema , kwasasa hakuna hasa anayejua Kama...
Wakati Mbowe amefutiwa mashitaka, umekutana na Rais, amepata support mpaka za balozi , makanisa na viongozi wengine wa dini. Kwa upande mwingine Ndugai anajificha hata hataki kuonekana, hakuna mtu ana mjali alipo,.
Hii ni kutokana na Ndugai kushiba cheo na kujiaminisha kama vile ana nguvu...
Sasa ni rasmi tunaelekea siasa za Ulaya na Marekani.
Siasa za maendeleo. Siasa za kistaarabu. Zile siasa za kutafutana kuuana, kutekana, kufungana na kufilisiana mali Mh Rais Samia ameona hazina tija kwa taifa.
Akiongea na Wasikilizaaji ktk Mtandao wa maongezi wa Club House Mh Makamu...
Waandishi wa Habari wa Tanzania mkitaka Teuzi kwa Awamu hii ya Kulazimisha ya Sita ( wakati Kikatiba bado ni ya Tano iliyo katika Muhula wake wa Pili ) hakikisheni mnatoke BBC, Azam Media, IPP Media na TSN tu pekee.
Kuna Msemaji Mmoja ( Bingwa wa Majungu ) Serikalini hakupenda Uteuzi wa Mtu na...
Kuna stahili nyngi za uongozi hasa pale unapokuwa unakabiliana na kundi fulani la watu...Hii stahili ya kuwaondoa wamachinga kwa stahili iliyotumika soko la Karume haikuwa ya akili...sasa angalia jinsi "mlivyolamba matapishi yenu." mnaleta na siasa ndani yake...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wazalendo wote nchini na Duniani kwa Ujumla
Nimeambatanisha Waraka Kutoka kwa Profesa Anna Tibaijuka kuhusu uduni wa Maendeleo kwa Mkoa wa Kagera
---
KAGERA ,TWAFA
Anaandika Profesa Anna Tibaijuka
Kagera. TWAFA. Tumuombe Rais Samia...
Ni wazi kuwa Spika Ndugai imejiuzuru uspika wa bunge la Tanzania kwa shinikizo la chama chake cha CCM baada ya kutofautiana kimtazamo na Rais Samia Suluhu ambaye ndio mwenyekiti wa CCM taifa.
Upande wa pili pia, utendaji wa Ndugai akiwa spika wa bunge la Tanzania kwa sehemu kubwa ulikuwa...
Huyu binti ni mtoro wa shule, baba yake ilibidi awe ana mburuza shuleni. Siku hii baba akiwa amechoka aliamua kuvaa gauni la mkewe na kumpeleka mtoto shuleni.
Mtoto akilia kwa fedheha aliyoifanya baba yake. Baba alimwambia alirudia tena utoro tukio hili litajirudia.
Ni Upendo Imani na Miujiza tu kuwapata watu wenye roho ya kujitolea ya kuwasaidia wengine. Wakati Msanii wa miondoko ya HIPHOP Chidbenz akihojiwa radio Wasafi FM kipindi cha malavidavi alipata nafasi ya kueleza namna Dr Mwigulu alimtafuta kwa udi na uvumba kumsaidia pale alipopata janga la kuwa...
Wana Jf
Kwa mara nyingi Marehemu JPM alisistiza na kukataa utitiri wa Mikoa, akadai wakati wananchi wanateseka na kodi kuzalisha, wao wanazunguka zunguka tu na matumbo.
Ona wenyewe
Habari Wana JamiiForums!
Poleni na harakati za utafutaji wa riziki, hongereni pia. MUNGU awajalie katika utafutaji wenu.
Hili ni jukwaa la elimu, kama mada inavyojieleza, naomba tupate elimu kidogo kupitia wazazi wetu.
Karibuni
Funzo ni kwamba kumbe akili za kuambiwa tuchanganye na zetu. Tusome vizuri katiba na sheria mbalimbali za nchi wakati wa kutekeleza majukumu yetu ya uteuzi. Hakuna aliye juu ya sheria kama sheria ikifuatwa bila kupindwa.
Mwenzetu akinyolewa sisi tufiche viwembe na mikasi badala ya kutia maji...
Waswahili wanasema majuto ni Mjukuu.
wengine wakaongeza kuwa Mchuma janga hula na wa kwao.
Lakini pia kuna msema wa kisheria unasema Jinai Haifi. Ewe kijana wa CCM unayehendekez siasa za chuki nakusihi achana nazo. Zitakuja kukucost wewe na familia yako siku a muda usio ujua.
Nani...
Viongozi mbalimbali wa Chadema wametupa uwazi na kioo cha kuangalia jamii yetu ya Tanzania ilivyo, ilipo na inapokwenda. Chadema tumeona viongozi wasomi, wavumilivu, watukutu, wabishi, wasiojielewa, majasiri, masikini na matajiri. Hii yote imekuwa kama sampuli ambayo ipo kwenye wanasiasa wetu...
Chuo hiki kikongwe nchini kinatimiza miaka 60 toka kuanzisha Nini changamoto,mafanikio na mafunzo kwa watawala, maprofesa na wanafunzi?
**Cha ajabu chuo hiki pendwa hii. Hakuna midahalo, Wala kumbukizi
**RIP Prof Luhanga.
Kwema wakuu? Naingia kwenye hoja moja kwa moja bila kupindisha maneno. Leo tarehe 31/08/2021 bunge la JMT limetoa adhabu ndogo kwa wabunge wawili wa CCM – ndugu Jerry Silaa wa Ukonga na ndugu Josephat Gwajima wa Kawe. Bunge limetoa azimio la kuwasimamisha mikutano miwili ya Bunge.
Wengi...
Watu wa kanda ya ziwa ni wengi sana nchini na ndiyo maana kila mgombea urais huwa anakimbilia huko kuomba akubalike. Watu wa kanda ya ziwa wanakadiliwa kufikia million 32 kwa mjibu wa sensa ya 2002.
2. Kanda ya ziwa imetawaliwa na kabila la Wasukuma ambao wamejaa mikoa ya Simiyu, Shinyanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.