Kila mtu ana lake la kusimulia maishani mwake. Laweza kuwa jema au baya; la kufurahisha au la kusikitisha na kuhuzunisha. Langu ni la kufurahisha na kufundisha. Lahusu maisha yangu binafsi. Nimeona vyema kuliweka hapa kama sehemu ya kujifunza katika kutekeleza azma ya Mtandao huu wa JamiiForums...
Miaka 4 iliyopita nilikutana na huyu jamaa. Ilikuwa ndani ya basi la kutoka kwetu huko nyanda za juu kusini magharibi ambako kwa wakati ule nilienda kumzika babu yangu mzaa mama (Rest in peace Grandpa). Tulipofika Morogoro, abiria wengine walishuka na kupanda wapya ili tuimalize safari ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.