furaha

  1. JamiiForums Tanzania Azim Dewji: Wanasimba hawahitaji kujua Hisa wala thamani ya timu yao,wanahitaji furaha ya ushindi tuu.

    “Kwanza niwaambie Wanasimba hawana haja ya hisa sijui wamenyimwa hisa.. Nachoamini Wanasimba hawataki hisa wanataka furaha, ili ushinde unahitaji Wachezaji ndio maana Mwekezaji anawaleta. Hawa Viongozi wengine Machawa tu, unasema timu inauzwa ilikuwa na thamani gani miaka 10 nyuma?” Azim...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kwa Sasa CHADEMA ni Kama Wajenzi wa Mnara wa Babeli huku CCM ikiendelea kuchanja Mbuga Mioyoni Mwa Watanzania. Furaha Yangu ni CHADEMA Ikifarakana

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Sasa CHADEMA ni kama Wajenzi wa Mnara wa Babeli. Wanaruka na kukanyagana utafikiri Walevi wa gongo . Kila mtu anaruka kivyake na kutoka kivyake . Kila mtu anapuyanga kivyake ,kila mtu na njia yake . Chama kimeota Mapembe na kila mtu ana ndevu utafikiri Mabeberu...
  3. JamiiForums Tanzania Kadi za mwaliko: Usiruhusu usimamizi wa wageni uharibu siku yako ya furaha

    Usiruhusu usimamizi wa wageni uharibu siku yako ya furaha. Fikiria siku ya tukio lako: wageni wanafika, kamati inahangaika kuthibitisha kadi, orodha za wageni hazieleweki, na hakuna uhakika wa nani amehudhuria. Huo si mpangilio unaoutaka kwenye tukio lako. KADI EXPRESS inabadilisha namna...
  4. JamiiForums Tanzania Ndoa nyingi zinazodumu kwa furaha ni zile ambazo hakuna ndugu na marafiki hasa wa kutembeleana nyumbani

    NDOA NYINGI ZINAZODUMU KWA FURAHA NI ZILE AMBAZO HAKUNA NDUGU WALA MARAFIKI HASA WA KUTEMBELEANA NYUMBANI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Jasusi Sabato imeshaingia. Leo sitakuwa na maneno mengi. Wala maneno ya kero, kashfa na kejeli. Nitatumia lugha ya kisabato Sabato. Kilokole lovelorn...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania nchi ya kwanza barani Africa kwa watu wake kuwa na kipato kikubwa na furaha

    Utafiti uliofanywa na indepemdent firm kutoka marekani waonesha Tanzania imepanda viwango vya hali ya juu kwa gdp pet capita kuwa kuwa kuwa na uwekezaji kuongezeka sana kwa sera stable na predictable za awamu hii. Kipindi cha nyumba yaani cha JPM nchi ilitaka kudumbukia shimoni na sasa...
  6. JamiiForums Tanzania Karne ya 21; kanuni 10 za kuwa na furaha.

    1. Usiwe na wasiwasi. 2. Usihofu. 3. Usivuke daraja kabla hujalifikia. 4. Pambana na tatizo pale linapokukabili. 5. Usibebe matatizo yako mpaka kitandani. 6. Usiazime matatizo ya wengine. 7. Usifikirie jana kwa mema wala mabaya maana imeshapita zingatia sasa. 8. Uwe msikilizaji mzuri. 9...
  7. JamiiForums Tanzania kizazi before gen Z Utoto wetu ulikuwa na furaha ya vitu vidogo sana

    Sisi wa kizazi chetu before gen Z tulienjoy maisha kwa vitu ambavyo watoto wa leo wanaweza wasivielewe. Tulikula zambarau na maapera ya mtini, tukachezea magari ya plastiki, na sikukuu tuliisubiri kwa hamu kana kwamba tunasubiri matokeo ya mtihani. Siku ya sikukuu ukipata nguo mpya, hata...
  8. JamiiForums Tanzania Utajiri hauwezi kununua furaha je umaskini unanunua nini?

    Watu wengi wanafikiri umaskini unatokana na udogo wa mshahara, lakini ukweli mchungu ni kwamba unatokana na mlolongo wa makosa ya kifedha unaoyafanya kila tarehe Mosi. Unapokea fedha, unalipia kila mtu mwingine kwanza, kisha unalia huna akiba pindi mwezi unapoisha. Kama alivyowahi kusema...
  9. JamiiForums Tanzania Nahisi furaha itaenda kuniua 🤣🤣

    Picha linaanza nimepiga pesa kwenye mishe mishe zangu😅😅 Halafu leo simba inanipa raha ya kutisha na pira tamu mno🤣 Hizi baraka sijui kwa nini hawapewi wengine ni mimi tu ,mpinga Kristo 😁 kama wanavyodai😊
  10. JamiiForums Tanzania Inafikirisha sana mtu ulieweza kumwambia nakupenda na akakukubalia na ukawa mwingi wa furaha lakini mtu huyo huyo leo unainukua pisto kumchapa risasi

    Yeremia 17:9, "Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha; nani awezaye kuujua?"
  11. JamiiForums Tanzania Unadhani ni couple gani hapa ina furaha?

  12. JamiiForums Tanzania Leo Nina furaha sana, hata kuhisi nimepitiliza

    Siwezi jizuia,nimefurahi Sana Leo,vipo vitu vingi humpa mwanamke furaha ,ni vidogo Sana,kama dressing table &room kushine vitu anavyopenda,kupata vitu Kwa wakati,kujibiwa maswali Kwa wakati lakini kumpata mwenza anayejali na kucare. Oooh tuachane na hayo,furaha yangu Leo ni kuchaguliwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Ninayo furaha kujiunga na JamiiForums

    Kwa takribani miaka 10 nimekua msomaji wa JamiiForums bila kua mchangiaji, sasa rasmi nimejiunga rasmi nitajumuika kuchangia mada mbalimbali Shukrani sana.
  14. JamiiForums Tanzania Watanzania Wamekua na Huruma kwa Afya ya Mzee Warioba, Watanzania hapohapo wamelipuka Furaha kwa Kifo cha Mzee Hafidh. watawala mjitafakari mara moja

    Huruma, Huzuni, Maombi yameelekezwa kwa Mzee Warioba
  15. JamiiForums Tanzania Furaha ya wanayanga ni kumuudhi Simba!

    Roho zetu leo hii ni burudani sana ...Selemani Mwalimu kafunga Goli muhimu sanaa!!
  16. JamiiForums Tanzania Nigerians Djs waanza kuipa airtime a song "Home boy" ya Civilian-Coin kwa furaha kubwa.

    Ona wanacho kufanya hawa madj wa Nigeria kutoka vituo mbalimbali vya Radio nchini mwao kwa kuinua Ngoma Home boy ya Mtanzania Civilian-Coin kwa furaha kubwa. https://youtu.be/YnbAqvz_8h0?si=pMeRg7x9mkGaUNww
  17. JamiiForums Tanzania Furaha ya Siri Kwenye Shida Zako

    Kuna watu ambao hawakudhuru wao wenyewe, lakini wanafurahi kwa siri pindi wengine wanapokudhuru. Hawakushambulii, lakini hufurahia anapokushambulia mtu mwingine. Baadhi ya watu wenye chuki na uadui hawana ujasiri wa kukabiliana nawe moja kwa moja.✍️
  18. JamiiForums Tanzania Vipi watanzania Rais wetu amezindua mradi mkubwa na bado hamna furaha?

    Watanzania wenzangu mbona hamna furaha? Mradi mkubwa kama huu mmeamua kuupotezea?. Sioni zile bashasha za furaha kama kipindi cha JPM, miradi mikubwa ambayo jpm aliizindua ilipokelewa vilivyo na kumpongeza, vipi kwa mama mbona hamfurahi?
  19. JamiiForums Tanzania Kuwa na familia yenye amani, utulivu,upendo na furaha aise ni bonge moja la Burudani 😁

    Kuwa na familia ni jambo la maana na la muhimu sana. Kuona watoto wako /wewe katika version nyingine wakikua na kufurahia maisha aise inaleta faraja sana...huku ukiwahudimia vyema kwanzia chakula,malazi,mavazi,matibabu,elimu pamoja mama yao akipata mahitaji yake. #kataa ndoa wana point ila...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna furaha sana ya kunywa pombe na company ila majuto yake ni makubwa sana siku inayofuata

    Leta kama tulivyo ni kauli nzuri sana sisi wanywaji wa pombe ila ina majuto sana.... Kwanza umekula hela zote hujabakiwa na ela ya supu na kutoa hang over kwenye bank umekomba akiba yote. Umeopoa Malaya asubuhi unashangaa demu ana mabakabaka kama chui na uligonga kavu.. wtf Pombe ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…