furaha

  1. K

    Ninatafuta furaha naipata kwa hila

    Nimeeleweka vzr tu acha muhangaike
  2. Nyani Ngabu

    Nimeshindwa kujizuia kuificha furaha yangu kwa haya yanayoendelea nchini dhidi ya CHADEMA na wafuasi wao.

    Initially I was low-key loving it. Not because it’s the right thing to do [what’s happening to them]. As a matter of principle, I don’t countenance it. But, just out of spite, I’m Mickey D’s lovin’ it. Walizidi mno kuchonga midomo yao kana kwamba hayo mambo yalianzia wakati wa Ngosha tu...
  3. GENTAMYCINE

    Mutale akiachwa Simba SC ili Mpanzu aingie nitakuwa ni mwenye Furaha kubwa ila kwa aliyemsajili Mutale Simba SC atuombe Radhi upesi

    Mchezaji huwezi kuwa Mfupi kama Mutale halafu hapo hapo Umenenepa hovyo na una Kichwa Kikubwa ukawa mzuri.
  4. Nehemia Kilave

    Ninachokiona katika hili kongamano ni kama watanzania hatuna furaha ,kuna shida mahala

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki Kilele cha Kongamano la Nne la Uhuru wa Kidini la Afrika lililofanyika katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 21 Septemba 2024. . Naona matabasamu kwa viongozi tu
  5. L

    Maneno haya ya Rais Samia yamenibubujisha Machozi ya furaha kuwahi kutokea

    Ndugu zangu Watanzania, Tembeeni vifua mbele,tembeeni kwa maringo,tembeeni kwa Madaha,tembeeni bila hofu,tembeeni bila wasiwasi,tazameni mbele kwa matumaini ,tazameni mbele kwa furaha kwa sababu kwa hakika na kiukweli Tanzania tuna Rais kwelikweli. Tuna kiongozi mbele yetu Watanzania,tuna...
  6. G

    Muarabu Muislamu wa Israel alietekwa na Hamas arejea kwenye familia yake baada ya wanajeshi wa Israel kuhatarisha maisha kumuokoa ukanda wa Gaza

    Jina: Kaid Farhan al-Qudi, Baba wa watoto 11 Dini: Muislamu Alitekwa October 7 mwaka jana Uraia: Israel Asili:Muarabu Kikosi cha Shayetet 13, Brigedi ya 401 kilidiriki kufanya maamuzi magumu yenye kuhatarisha maisha yao kwenda Gaza ili kumuokoa Kaid Farhan al-Qudi kwenye maeneo hatari...
  7. L

    Paul Makonda Awabubujisha watu machozi ya furaha utafikiri wamepigwa na mabomu ya machozi

    Ndugu zangu watanzania, Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda,Kijana Jasiri kusini Mwa jangwa la Sahara, Field Marshal,jabali la Siasa. Mwamba Mwamba Mwamba Mwenyewe Makonda Hatimaye kwa mara nyingine tena atikisa ,atetemesha,Awabubujisha watu Machozi utafikiri watu waliopigwa bomu la machozi...
  8. proton pump

    Umeshawahi kufanya uchunguzi kuwa kadri umri unavyozidi kwenda ndivyo unavyokosa furaha?

    Isiwe ni maneno dhahiri kwako lakini ninavyochunguza na kupitia uzoefu kwa wengine ni kuwa kadri umri unavyozidi kuongezeka ndivyo wengi wetu tunakosa furaha. Hii huweza kuchangiwa na mambo yafuatayo; 1. Ukosefu wa kipato maalumu kinachoweza kukidhi mahitaji yako muhimu. Ukikosa sehemu yenye...
  9. Pfizer

    Benki ya Tanzania (TCB) inayo furaha kumkaribisha Bi Lilian Mtali kuwa Mkurugenzi wa Biashara za wateja

    Benki ya Tanzania (TCB) inayo furaha kumkaribisha Bi Lilian Mtali kuwa Mkurugenzi wa Biashara za wateja Wadogo na wa Kati. Bi. Mtali ana uzoefu wa miaka 26 katika sekta ya huduma ya kifedha akibobea katika usimamizi na uongozi wa huduma za biashara za wateja wateja wadogo, wa kati na wakubwa...
  10. L

    Wazazi wa mtoto huyu watakesha wanabubujikwa machozi ya furaha na kumuombea maisha marefu Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Kila nikikaa nikawaza na kufikiria makubwa na mazito anayoyafanya Rais Samia katika Taifa letu kugusa maisha ya watanzania.Nabakia kusema Mama yetu Mpendwa na Rais wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Alizaliwa katika ardhi ya Tanzania kuja kuwafuta...
  11. GENTAMYCINE

    Kwanini wakati RC Chongolo anatambulisha Mawaziri leo Songwe ni Mmoja tu Mchengerwa alitajwa nae kwa Furaha, ila Wengine waliishia Kutajwa tu na RC?

    Siku hizi napenda sana kutoa Maelekezo ili wale Matomaso ( Wasioamini ) Kwanza wakajiridhishe ndipo waje tena hapa. Naomba kila Mtu atafute Clip ya leo Rais alilpokuwa Mkoani Songwe pale ambapo RC Chongolo alipokuwa akitambulisha Mawaziri kisha akitizame kwa umakini sana hiki nilichokiulizia...
  12. D

    Maisha yanakosa maana pale ambapi hata kile kidogo kinachokupa furaha maishani kinaondoka

    Sometimes unajiuliza maisha yana maana gani? Aisee waliosema "It takes courage to love" hawakukosea. Nilikutana na huyu binti mzuri sana, zaidi ya sana mahala fulani hapa dar. Kuna kitu niliangusha akaniokotea na kuniita kisha akanipatia. Nikampa lift hadi karibu na anapokaa kisha nikachukua...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Watu watatu unaotakiwa úwafurahishe ili nawe uishi maisha ya Furaha

    WATU WATATU UNAOTAKIWA UWAFURAHISHE ILI NAWE UISHI MAISHA YA FURAHA Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Umeshakuwa mkubwa sasa. Hakuna kitu unachohangaikia kila siku kwenye maisha kama kuwa na Furaha. Tafsiri ya furaha kwa sisi Watibeli ni kutokuhisi Upweke. Kutokuhisi Upweke ni kuhisi...
  14. GENTAMYCINE

    Migogoro mingi inayotokea maeneo ya kazi inatokana na wanandoa kutotimiza wajibu wao wa kupeana tendo la ndoa

    Nikiwaambia 'banduaneni' kila wakati kama nifanyavyo ili muwe na Furaha na Wachangamfu muda wote mnaniona Muhuni...
  15. Etugrul Bey

    Mwanandoa tafuta furaha yako mwenyewe

    Mambo ambayo huja baadae kusababisha kuiona ndoa ni chungu ni kuwa na matarajio makubwa kwa mwenza wako,,hii sio sawa hata kidogo,hatuna budi kutafuta namna ya kutafuta raha katika nafsi zetu wenyewe. Kuna wakati hutaambiwa unapendwa kama zamani lkn hii isikufanye ukose furaha na amani katika...
  16. Mjanja M1

    Video: Furaha yatawala ujio wa wimbo mpya wa Harmonize na Rayvanny

    Mashabiki wa kiwanda cha BongoFleva wameshuhudia upendo uliotamalaki kati ya msanii Harmonize na Rayvanny, ambao wanatarajia kutoa wimbo wao mpya (Walioshirikiana) baada ya kuwa na ugomvi kwa muda mrefu. Harmonize ameweka video kwenye mtandao wake wa IG akiwa na msanii mwenzie Rayvanny...
  17. MALKIA WA TABASAMU

    Mwanaume mwenye uhitaji wa wanawake wengi, hana furaha yeye mwenyewe

    Mwanaume mwenye uhitaji na wanawake wengi, hana furaha na yeye mwenyewe. Kwake kuwa na usikivu wa wanawake wengi, kunamsaidia kulisha nafsi yake, kuficha kutojiamini kwake. Huyu mwanamume asiyejiamini, atacheza na hisia za wanawake wengi, huku akidhani ananufaika na kuongeza kujistahi...
  18. Frank Wanjiru

    Kipindi cha furaha kwa mashabiki na wanachama wa Simba.

    Katika misimu hii (3) ya mwisho mashabiki wa Simba huwa na furaha sana wakati wa usajili kuliko msimu ukianza. "Muda wa taarifa kubwa haupo mbali. Pakua (Simba App) na lipia mapema ili uwe wa kwanza kupata taarifa za klabu. #WenyeNchi #NguvuMoja" ©️ Simba Sports Club official page
  19. Webabu

    Rafiki yangu Mahmoud Ahmadinejad ajisajili kugombea uraisi Iran, Ni furaha sana kwa wapigania haki duniani

    Yule mwamba aliyewahi kuwa raisi wa Iran ambaye aliwakosesha usingizi viongozi wa nchi za magharibi wakati wa uraisi wake amekubali maombi ya wapenda haki wa Iran kugombea tena uraisi ili kuliongoza taifa hilo. Tangu kuondoka kwenye cheo cha uraisi baada ya vipindi viwili vya uraisi hapo mwaka...
Back
Top Bottom