Kuwa muwazi, Ndoa imekupa amani na furaha uliyotegemea au imekuwa agano la kuvumilia kwajili ya watoto, kuendana na jamii n.k ?

Kuwa muwazi, Ndoa imekupa amani na furaha uliyotegemea au imekuwa agano la kuvumilia kwajili ya watoto, kuendana na jamii n.k ?

wapo wanaofurahia ndoa zao hata wakigombana, mwenzako anakwambia tutaishi hivi mpaka lini ?

Ila kuna wengine ugomvi na kununiana ishakuwa kawaida. Kiburi, kulinganishana na ma ex, kutoficha mahusiano ya nje, kupelekana kwenye vyombo vya sheria, n.k.
 
Unaoa malaya anae penda pesa ... Kwake pesa ndo kila kitu utegemee utafurahia ndoa???.... Sasa hivi watu wanafunga ndoa kwa malengo furani ... Ni ngumu sana ndoa kua na amani utapigwa matukio mpaka ufe ama umteme mgawane mali ambazo hajawahi hata kuchangia sh mia
 
Unaona malaya anae penda pesa ... Kwake pesa ndo kila kitu utegemee utafurahia ndoa???.... Sasa hivi watu wanafunga ndoa kwa malengo furani ... Ni ngumu sana ndoa kua na amani utapigwa mafukio mpaka ufe ama umteme mgawane mali ambazo hajawahi hata kuchangia sh mia
Ndoa biashara na anaingiza faida ni mmoja sio wawili au sio?
 
Watu wanateseka ndani ya ndoa huko hata watoto zao walioishi nao kwa miaka mingi wanaoshea nao mlango na hawajui ndio tuje tujue sisi?

Everything is nice out here, lakini reality ni kwamba most of em' are in Abyss ila hawataki tu kushea personal experience zao huku nje.

Huku nje kila mtu ndoa yake ni tamu na anafurahia maisha na mwenza wake.

Don't feel bad if you haven't found your soulmate yet, even the married ones are still searching.
 
Nyumba tunazokua kwa wazazi wetu na ndugu zetu sio muda wote huwa tunafuraha sembuse mtu mliyejuana ukubwani.

Muhimu nyakati za furaha zizidi nyakati za huzuni.
Upo sahihi sana. Familia zetu tu zenyewe ni headache. Kelele asubuhi, mchana, jioni.
Tutakuja kulaumu ndoa tu kumbe misingi mibovu tunatoka nayo kwenye familia zetu wenyewe.

Product ya toxic family unadhani inaweza kukupa au kutoa furaha kwenye ndoa..? Nadhani ni kwa nadra sana na inshort ni ngumu.

Me kuna muda nikiwaza haya, natamani kulia. Tunajengewa foundation mbovu sana kwenye familia zetu.
 
Back
Top Bottom