Sio furaha tu, kuna watu ni kichomi balaa humu duniani hawabebeki, yaani wao ndo wanakuwa chanzo cha kulia na kutoa machozi kila siku na hawana noma wala hawastuki kabisa wanadunda tu barabaran mithili ya wale askari wa mauaji ya mo29.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.