Wairani wengi wameendelea kujitokeza barabarani wakishangilia na kutoa shukrani kwa Trump na Netanyahu

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
"Donald Trump, THANK YOU!"
"Benjamin Netanyahu, THANK YOU!"

Huko Iran wananchi wamefungiwa majumbani lakini wanaendelea kushangilia, watawala wamepanik wanawafyatulia risasi

Nchi gani apo mkuu
wanashangilia kwa kiingereza, hapo ni Marekani au Ulaya wanakoruhusu watu kutoa maoni yao

Iran wananchi wanashangilia majumbani, wanafyatuliwa risasi

Propo ganda
😀😀

Wairani wengi hawaipendi serikali yao, huo ndo ukweli, hapo juzi tu timu ya wanawake ya mpira iligoma kuimba wimbo wa taifa, wakirudi tu Iran wanafungwa jela

serikali inalazimisha sana mambo ya kidini, wairani wamechoka, zaidi ya misikiti elf 50 imefungwa, serikali inatumia mabavu haipendwi wameua wananchi zaidi ya elf 40 kwenye maandamano wiki chache zilizopita,

wairan wanaitaka nchi yao, kinachoendelea kwao ni ukombozi sio vita
 
MADHARA YA SERIKALI ISIPOKUBALIKA NA WANANCHI WAKE..

nakumbuka vita ya Kagera ,wananchi wa uganda walikuwa hawaikubali serikali ya Idd Amini..

Serikali inabidi kwanza itokane na wananchi iwe kwa ajili ya maslahi ya wananchi...by the people for the people...KUWAONGOZA watu ambao hawajakuchagua na hawakutaki hawakupendi...madhara yake ni kama haya.
 
Wairan wengi ndio maana wanakimbilia nje ya nchi; na wakifika huko hufanya mambo makubwa. Kwa mfano, Marekani na Ulaya kuna wengi wao wamefanikiwa sana katika biashara na elimu, wamekuwa maprofesa, madaktari, wanasheria na wataalamu wengine mbalimbali.

Siku ambayo Ayatollah alibamizwa mitaa ya Iran na Diaspora wa nchi za nje walifurahi sana, hofu yao kubwa kwa sasa ni Marekani na Israel kuishia katikati halafu utawala ule ule uendelee
 
😀😀

Wairani wengi hawaipendi serikali yao, huo ndo ukweli, hapo juzi tu timu ya wanawake ya mpira iligoma kuimba wimbo wa taifa, wakirudi tu Iran wanafungwa jela

serikali inalazimisha sana mambo ya kidini, wairani wamechoka, zaidi ya misikiti elf 50 imefungwa, serikali inatumia mabavu haipendwi wameua wananchi zaidi ya elf 40 kwenye maandamano wiki chache zilizopita,

wairan wanaitaka nchi yao, kinachoendelea kwao ni ukombozi sio vita
Nimetoka kutizama Aljazeera jana mamilioni ya raia wa Iran wamebeba bendera na kumshangilia Mojtaba Khamenei.
Wewe kaa endelea kujidanganya hapo.
 
WaIrani wengi zaidi wanaopinga utawala hawaruhusiwi kutoka nje, wapo ndani lakini haiwazuii kushangilia Israel na Marekani licha ya kutishwa na risasi

Hata Iddi Amini alikuwa na supporters wengi walioingia barabarani kumuunga mkono kupumbaza watu wa nje kwamba waganda wote wanamkubali

Wewe endelea kuropoka.
Huko raia kibao wameweka bendera hadi kwenye magari na picha za Mojtaba Khamenei.
Kama asilimia kubwa ya raia wangekua hawaupendi utawala wa Kishia basi wangeupindua kama 1979.
Unadhani mwaka 1979 serikali ya Pahlavi haikufyatulia risasi watu kama unavyodai!??
Ila nchi nzima haikuupenda ule utawala ndio maana ikaupindua.
mkata uzi endelea KUOTA.
SHIA ARE THERE TO STAY.
 
MADHARA YA SERIKALI ISIPOKUBALIKA NA WANANCHI WAKE..

nakumbuka vita ya Kagera ,wananchi wa uganda walikuwa hawaikubali serikali ya Idd Amini..

Serikali inabidi kwanza itokane na wananchi iwe kwa ajili ya maslahi ya wananchi...by the people for the people...KUWAONGOZA watu ambao hawajakuchagua na hawakutaki hawakupendi...madhara yake ni kama haya.
Sio kweli mbona Waisrael wengi wako marekani kwa hiyo hawaikubali
 
Back
Top Bottom