Je? mtu anaweza kuwa na furaha bila ya kuwajibika. Hapana. Hiyo haipo kabisa. Kwa nini ninasema hivyo? Kabla sijaanza naomba kuanza na ufafanuzi kiasi;
Furaha inahusianishwa na hisia za utulivu na kutosheka na kile kilichopo (what IS). Utulivu wa moyo unakuja pale ambapo mtu anahisi anao uwezo...
HAMJAMBO WADAU
Leo ni siku ya furaha duniani je wewe unaiazimishaje siku ya leo.
Je ulishawahi kupata furaha maisha mwako? je unayo furaha hata kama ukipitaka hali ngumu.
Je unafurahia kila jambo au kitu upatacho maishani mwako au unakuwa na huzuni?
Shiriki hapa kutuambia unafurahije pale...
Matatizo ya mashine za EFD yapo ya aina nyingi tangu umiliki wake mpaka katika matumizi.
Ukichunguza sana utagundua hizi mashine kama hazifanyi kazi ya kukushanya kodi peke yake bali na kumnyonya mfanyabishara. Hali hiyo ndiyo inayopelekea kufukuzana baina ya watumishi wa TRA na walipa kodi
1...
Watanzania tuachane na mentality za kijamaa zakuwapa majimbo watu wasio na nyumba wala utajiri wowote. Tuwakatae watu wasio na business mind kuongoza nafasi za kisiasa nchini kwetu.
Kuendelea kuwa na viongozi wa kisiasa wanawaza kila saa kwamba wanaibiwa nikukosa exposure. Tuwe na viongozi...
"Ukweli ni kwamba siyo kwamba Watanzania wana Furaha bali wana Amani ambayo inapelekea Wao kuridhika haraka na kila Wanachokikuta na Wanachokipata kutokana na Umasikini wao Waliouzoea ila kiuhalisia wengi Wao wamekuwa Wakikereka na Maisha yao magumu yasiyo na Ufumbuzi hadi wameamua Kuyafurahia...
MAMELODI "TULIITAKA SIMBA SIO YANGA"
Mashabiki wa Mamelodi huko SOUTH AFRICA wamesema waliomba sana wakutane na SIMBA sio YANGA
Baadhi ya mashabiki wamesema hawana furaha kupangiwa Yanga.
Mamelodi watakula mnara ✋
Akiwaapisha wateule Ikulu, Rais Samia Kwa kinywa chake amekataa article ya kitapeli inayosemwa Tanzania ni ya 3 Kwa wananchi wake kuwa na furaha.
Rais Samia amekataa utafiti huo uchwara na kusema Watanzania hawana furaha.
Kwahiyo Wananzengo mpaka Rais anajuwa Watanzania tunaishi kama tupo jela...
Kama kichwa cha Habari kinavyo jieleza hapo juu kwamba Nchi zenye Furaha duniani, basi sisi Tanzania ni inchi ya Tatu duniani yaani DUNIANI.
Source ikiwa ni hii taasisi ina itwa Mental state of the world report ambayo wame kusanya data toka kwa watu laki 4 toka inchi 71 duniani.
Nilipo ona...
Hello!
Hili kila mtu anaweza kulithibitisha kwa kuback up miaka michache nyuma.
Furaha niliyokuwa nayo mwaka 1999 ni kubwa kuliko ya miaka ya 2009, furaha niliyokuwa nayo 2019 si kubwa kama ile niliyokuwa nayo 2009.
Licha ya maisha yangu kuboreka kila mwaka.
Nakiri kuwa maisha ya kulala...
Nampenda sana mke wangu, natamani niwe nae na kifo tu ndo kitutenganishe, kama watoto wetu watakua wakubwa, basi bora tufe pamoja.
Ila nikisikia kesi kua wapenzi wanaachana hata baada ya miaka 20 ya ndoa, huwa naumia sana, naomba mungu Huyu binti asibadilike, niwe nae siku zote.
I real don't...
Hakika nawaambieni Mungu wa kweli hukaa ndani yetu, alisikika mke wa Hayati Billionaire Msuya akiimba baada ya hukumu kumpenda zaidi yeye pale kisutu, yeyote anaejua maana ya kilio na kusifu kuliko na malaika huyo mwanamke alikosa muunganiko wa sauti, kiini cha sauti na Nuru ya mwili hasa uso...
Katika mmoja ya wasanii ambao Tanzania imebarikiwa kuwa nao na wana vipaji vya ajabu ni Rose Muhando hakika hakuna atakaepinga hilo na nyimbo zake kwa miaka mingi zimetubariki na kutusogeza karibu na muumba kwa namna ya pekee kabisa, Mungu aendelee kumbariki.
Wengi wasichokijua ni kuwa Rose...
Jana nimekwenda ibadani nikapata upako wa kutosha. Na nikarudi nyumbani, nikitarajia kuwa furaha hiyo itaendelea hadi usiku wote. Kufika majira ya saa nne za usiku, timu moja, inayoitwa Taifa Stars ikatibua furaha yangu ya kutwa nzima. Hovyo kabisa. Nimesikitika sana. Yaani mnaruhusu goli dakika...
Wakuu nakiri kabisa from heart ya kwamba hii ndoa yangu nilikurupuka sana yapata takribani mienzi minne ya ndoa yangu sina hisia ya mapenzi na nahisi kujuta sana kwenye maisha yangu na sina furaha kabisa.
Yaani sina furaha kabisa wakuu yaani najuta kuoa mwanamke wa chop money yaani yeye ni kula...
Habari za uzima wakuu?
leo baada ya kuwepo mapumziko na mama watoto na mwanangu nyumbani ,jioni nikapokea simu ya sister wangu akiniambia nimsindikize airport anasafiri.
Nikamuambia sawa basi nikatoka na wife na mwanangu mpaka kwa sister, nikamkuta ameshajiandaa akamwita wifi yake chumbani...
Habari za uhakika kabisa zinasema gwiji la kusoma magazeti nchini aka zee la viearphones halina furaha Wasafi redio.
Kitenge yuko kwenye mazungumzo ya awali akijiandaa kuhamia EFM huku ongezeko la mshahara na idadi ya safari za nje zikitajwa kama sababu kubwa kumshawishi kukimbilia EFM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.