furaha

  1. M

    Picha: Wananchi wa kijijini wakisherehekea sikukuu kwa furaha kuliko wa Dar

  2. Gol D Roger

    Mambo haya yakikutokea kwenye maisha yako lazima upate furaha ya ajabu utahisi maisha yako yameanza upya

    1. Ukipata mpenzi mnaependana sana. 2. Ukipata mtoto wako wa kwanza. 3. Ukifunga ndoa. 4. Ukinunua gari lako la kwanza. 5. Ukifaulu form4 au form 6 (vilaza wenzangu watanielewa) 6. Kuhamia nyumbani mwako baada ya kuishi kweny za kupanga 7. Majibu ya kipimo kurudi HIV negative baada ya...
  3. MK254

    Raia Iran wafanya maandamano ya furaha, maana furaha ni haram kwa hiyo nchi inayooongzwa kidini

    Nchi ya Iran inayoongozwa kwa itikadi za dini ya kiislamu huwa imeharamisha vitu vingi sana ikiwemo kucheza kwa furaha, sasa raia wa Iran wameanzisha aina mpya ya maandamano ili kujitoa kwenye utumwa wa kidini, wanacheza kwa furaha nchi yote na kupachika video kwenye mitandao, japo pia...
  4. Mto Songwe

    Watu wote wenye furaha nchini Tanzania hawana akili

    Watu wote wenye furaha katika nchi ya Tanzania hawana akili. Hakuna mtu mwenye akili timamu ataishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania. Ukijiona unaishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania jua fika huna akili timamu. Huu ni utafiti
  5. R

    Niwaombe viongozi wa Tanzania wapunguze picha /selfie kwenye majanga; watofautishe furaha na kilio

    Viongozi wa serikali waliokwenda Hanang hakuna kazi serious waliyokwenda kufanya; Jeshi limetekeleza wajibu wakuokoa Raia viongozi wametekeleza wajibu wakupigwa picha na vyombo vya habari. Picha za viongozi zinazosambaa zimezima kabisa coverage ya uharibifu uliofanyika. Naamini wapo viongozi...
  6. safuher

    Huzuni/furaha tunazitengeneza sisi katika haya maisha, kila unachodhani kitakupa furaha kipo neutral + SULUHISHO LAKE

    Kama kweli furaha inatokana na kitu fulani ambacho unakihitaji jee kwa nini baada ya kupata kitu hiko bado kuna vitu vingine vitakukosesha furaha na kukutia stress ? Yaani utajikuta umepata mtoto tayari,lakini kodi ya nyumba inakunyima raha ,je ni ipi faida ya furaha ya mtoto kama furaha hiyo...
  7. sky soldier

    Kuna watu vyuoni/shuleni walikuwa serious na masomo tu, Makazini wapo walio serious na kazi, Ukiwa serious sana utafurahiaje maisha?

    Mtu anakuwa serious sana mpaka unashangaa. Vyuoni na shuleni enzi hizo unakutana na mtu yeye anachojua ni kusoma tu, Niliwahi kukaa chumba kimoja mwaka wa kwanza na mtu anabukua sio kitoto, yani ni yeye na chuo lakini nikawa nashangaa hata tukiongea ni mambo ya masomo tu, Nje ya kusoma ni kama...
  8. W

    Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

    Umuofia kwenu!! Kama mada ilivyo, nimempeleka kwanza kwao kwa muda usiopungua miezi miwili.....akajifunze kitu (kama ni mwenye kujifunza). Siku moja tu baada ya kutoka kwake; 1. Leo kwa mara ya kwanza, katika kipindi cha mwaka mmoja na nusu, nimefanikiwa kutulia nyumbani saa mbili usiku na...
  9. GreenLight

    Ulimwengu wenye neema na furaha

    Habari wakuu, NIna wazo limenijia na kutafakari binafsi. Nimejiuliza katika maisha ya mwanadamu upi wakati sahihi wa kuipata furaha ile yenye uhalisia wake kwa 100%. Nikaishia kukumbuka miaka nipo mdogo kwa wazazi. Unaaga unaenda shule unasoma na kucheza na marafiki muda wa kuondoka unaondoka...
  10. B

    Asanteni sana Orlando Pirates kwa kunipa furaha siku ya leo

    Orlando Pirates ndio timu ninayo ipenda kuliko timu yoyote ile duniani. Asanteni sana kwa kuwapiga Amakhosi goli moko leo. Credit: Ukurasa wa instagram wa Likudd wa Jamii Forums. Cc LIKUD Kumbe Likud ni shabiki wa Pirates? Sikujua hilo
  11. Mhafidhina07

    Napata furaha sana simba inavyotapatapa kumtafuta mchawi

    Kipigo cha 5G siyo mchezo jamaa wanatafuta mchawi ila wamesahau kulitufunga 5, walipigwa tano tano kwenye CAF pia wamesahau kuwa yanga imekuwa kawaida yake kushinda hizo goli mwisho niseme mjipange isije tena mechi ijayo mkafukuza mpaka mwekezaji (bwana mpata hasara asiye jivua) maumivu yapo...
  12. DeMostAdmired

    Maisha ya miaka mitatu, Mtusi na Mnyaturu mkoani Morogoro

    TRUE STORY Hello members nipo hapa kushare true story inayonihusu mimi na mrembo wangu tuliopendana sana na jinsi tulivoishi kwa miaka mi3 morogoro mjini na mpka tulipoishia. Karibuni. Nitakuwa natumia codes za aina tofauti kulingana na ambacho nitatakiwa kuhide na mm nitatumia jina Camavinga...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Ndoa na Familia yenye furaha na amani ina Mungu. Yenye mafarakano huzuni na chuki ina shetani

    NDOA NA FAMILIA YENYE FURAHA NA AMANI INA MUNGU. YENYE MAFARAKANO, HUZUNI NA CHUKI INASHETANI. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Ukiona Mkeo/mumeo mnapendana, mnafuraha na amani. Mnataniana. Ni marafiki. Mnashrikiana kwa karibu kila kitu. Mnakula pamoja. Yaani ninyi maisha yenu kwa asilimia 80%...
  14. Tlaatlaah

    Tanzania yetu ndio nchi ya furaha

    Nae Baba Nyerere ndie wetu muhifadhi nae ndie alieleta Uhuru, Tanzania Yetu Ndio Nchi Ya Furaha. Huu wimbo sijui ni nani waliimba haichuji aise, unaishi na maana yake ileile. Wimbo una historia pana ya nchi yetu kwa ufupi. Leo hii tuna Demokrasia siasa ya vyama, tuna fedha yetu wenyewe na...
  15. Determinantor

    Ukweli ni kwamba CCM wengi hawana furaha na Uteuzi wa Makonda ila hawana nguvu ya kusema hapana!

    Kama kwenye hii dunia Kuna genge la wanafiki basi niamini Ndugu yangu, CCM ni baba wa Hilo Genge. Leo baada ya kutangazwa Kwa Uteuzi wa Makonda nimewasiliana na Wana CCM wengi Tena very influential wanasema hawajapendezewa, unawauliza mbona Sasa mko kimya? Wanakosa majibu! CCM wameshindwa...
  16. Arnold Kalikawe

    Ishi maisha yako, usifiche hisia zako

    Katika maisha yangu hakuna kitu ninachomuomba Mungu wakati mwingine kama kunipa roho ya kuweza kusimamia kitu ninachokiamini. Kusimama na kusema kwamba mimi nasimamia hapa. Watanzania wengi hatuna mambo haya. Sisi tumejaza unafiki mkubwa sana mioyoni mwetu, tena mkubwa mno. Tupo radhi kusema...
  17. GENTAMYCINE

    Kwanini tarehe za 21 hadi 4 Wanajeshi wanakuwa na Furaha tele, ila kuanzia tu tarehe 5 hadi 20 Wanatia mno Huruma na kuwa na Usununu / Hasira?

    Na hapa GENTAMYCINE nawaongelea / nawalenga zaidi wale Non Commissioned Officers ( Wanajeshi wa Ngazi za Chini ) na wala sina shida na wale Wakubwa ( Commissioned Officers ) kwakuwa sijawahi kuwaona wakiwa na hali ambayo huwa naiona kwa hawa Wenzao ninaowajadili wa Vyeo cha Chini wakiongozwa na...
  18. M

    Ni jana tu walikuwa wakishangilia kuvamia Israel. Vilio vimeshaanza furaha imetoweka

    Ni jana tu wapalestina walishangilia na kufurahi uvamizi kwenye ardhi teule na kuua wateule na wengine kuwateka. Sasa hivi ni vilio husikii tena nderemo. Licha ya vipondo vimekatiwa umeme na maji vimebaki kulialia. Allah naye kala kona na kuzama chaka. Safi sana Benjamin Netanyau. Settle the...
  19. GENTAMYCINE

    Hongereni kwa Kuitafuta Furaha ya Makundi CAFCL kwa Miaka 25, ila msidanganyane kuwa huku ni Kwepesi kama mlikokubahatisha CAFCC Final

    Huku kunahitaji Uzoefu mkubwa mno na hapa wala msione Aibu kujifunza kutoka kwa Simba SC hata kama huishia Robo CAFCL mara kwa mara. Na kuna Uwezekano hata katika Pot yenu ya Makundi mkapangwa na Mamelodi Sundown FC, Esperance Du Tunis na Pyramids FC hivyo hapa sijui mtatokea wapi japo mnatoa...
  20. B

    Dkt. Samizi atua shule ya wenye uhitaji maalum kushusha furaha

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Dr Florence George Samizi, Jana tarehe 26/9/2023 ametembelea shule ya Msingi Nengo iliyopo Kata ya Biturana Wilaya ya Kibondo yenye watoto wa Mahitaji Maalum akiongozana na diwani viti maalum tarafa ya Kibondo Mwanne Kihemo, diwani Barinabas Shedrack Baranzila na...
Back
Top Bottom