furaha

  1. C

    Natafuta Mwanamke wa kuoa ambaye ana hizi sifa

    1. si mpenda pesa 2. si mwenye dharau 3. si mwana wa shetani 4. si muongo na mbabaishaji 5. si malaya / muhuni 6. si mwizi na mchawi 7. si mpumbavu na mnafiki wasifu wangu kiufupi majina: cellulaire mjukuu chirama dini: mkristo wa dhehebu la katoliki kabila: myao kutoka mkoani lindi umri...
  2. sky soldier

    Mbinu nayotumia kumlea mwanangu anayesoma private awe mjanja, awe na furaha, asigeuke kuwa kuku wa kisasa

    TUELEWANE MAPEMA, MAMBO MUHIMU. 1.Mtoto wangu hachezi na watoto wa kihuni mitaan na akienda kijijini ni nje kidogo ya mji na ndiko nlipokulia, watoto anaocheza nao wengi walezi wao nawajua tunafahamiana, pia hakuna watoto wa mitaani huko kama mjini. 2. sifurahi kwamba mwanangu ni mjanja au...
  3. C

    UN Happiness Report 2020: Dar es Salaam yashika mkia kwenye orodha ya majiji yenye watu wenye furaha duniani

    Jiji la Dar es salaam limeshika nafasi ya 181 katika majiji 186 duniani kwenye rank za majiji yenye watu wenye furaha. Dar es Salaam imepita majiji ya Juba (Sudan Kusini), Port -au Prince (Haiti),Gaza (Palestine) Sanaa (Yemen) na Kabul (Afghanistan). Furaha ni kitu kikubwa sana kwenye maisha...
  4. Nyendo

    'Likes na comments' kwenye mitandao ya kijamii imekuwa ni chanzo cha furaha au mfadhaiko kwa vijana wengi. Je, unalizungumziaje hili?

    Mitandao ya kijamii kwa sasa imekuwa sehemu ya maisha ya watu. Baadhi yao watumiaji hao wamepata uraibu wa hali ya juu kiasi ambacho bora akose chakula lakini awe na bando la kuingia kwenye mitandao ya kijamii (hawa ndio wazee wa stress sasa). Mitandao ya kijamii watu wamekuwa wakitumia...
  5. J

    Furaha ya kutoka jela: Nyerere alimpokelea Nelson Mandela Ikulu wakati akiwa ameshastaafu na Rais Mwinyi akiwa safarini

    Najikumbusha tu namna watu mbalimbali wanavyowapokea wapendwa wao wanapotoka jela. Nelson Mandela alipotoka jela alipozuru Tanzania alipokelewa kwa furaha na Rais mstaafu mwalimu Nyerere pale Ikulu ya Magogoni. Na ninakumbuka Rais wa wakati huo mzee wetu Mwinyi alikuwa safarini. Furaha ya...
  6. DocJayGroup

    Ni mradi gani au ndoto gani ambayo uliumia sana sababu haikufanikiwa? Ipi imefanikiwa na kukupa furaha sana?

    Hello JF family, Kwangu binafsi mradi ulioniumiza sana niliufanya nikiwa na miaka 16 wa kufuga kuku. Nilijenga kibanda nikaanza na kuku wawili. Nikawaendeleza hadi wakafika 25. Nikatumwa na mama sokoni siku moja nikaona kuku bei nafuu sana nikamnunua, lakini kumbe alikuwa mgonjwa. Akaja...
  7. G

    Maendeleo bila furaha na amani ni kazi bure. Membe njoo utuokoe Watanzania

    Pamoja na maendeleo ya vitu yanayoendelea TANZANIA, wananchi wake wapo hoi, hawana furaha, hawana amani, tunakuomba Bwana Membe uje utuokoe Watanzania tunateseka ndani ya nchi yetu.
  8. Makirita Amani

    Harakati Zako Za Kutafuta Furaha Ndiyo Zinakuzuia Usiwe Na Maisha Bora

    Kikwazo cha kwanza kwa mtu kuwa na maisha bora ni furaha. Tumedanganywa sana kwamba kuna njia fulani ya kuwa na furaha ya kudumu kwenye maisha yetu. Tumeambiwa ukishapata hiki na kile, ukishafika kiwango fulani cha elimu au cheo fulani, basi utakuwa na furaha. Tukaweka nguvu, tukasahau maeneo...
  9. D

    Zitto Kabwe; Wananchi hawana furaha

    “Wananchi hawana furaha, hawana amani, wamejaa hofu, hawawezi kukaa kwa kukosa furaha muda wote, ndio maana tunasema kazi na bata, watu wafanye kazi wale na bata” @zittokabw
  10. Analogia Malenga

    Fahamu sababu zinazowafanya vijana kukosa furaha wanaponyimwa simu

    Karibu robo ya vijana wamejenga tabia ya utegemezi wa simu zao na tabia hiyo imekuwa kama uraibu, utafiti umebainisha. Utafiti uliofanywa katika chuo cha King kilichopo London, unasema kuwa watu wanakuwa na hofu na kukasirishwa kama wakinyimwa mwanya wa kuwa na simu. Vijana wamekuwa...
  11. Jaji Mfawidhi

    Furaha yatoweka CCM, ushindi kama msiba, wapinzani washangilia. Rais ageuka kauli zake za awali kanisani Dodoma

    Katika hali ya kindumilakuwili, RAISI akiwa kanisani Dodoma, kanisa katoliki lile linalomwimbia nyimbo za sifa na kuabudu, baada ya kusali alikabidhiwa kipaza sauti aseme neno, alizungumza siasa japo huwa yeye anasema siasa na dini zisichanganywe tena huenda mabili zaidi na kukutanisha wanasiasa...
  12. Makirita Amani

    Sababu nne (4) kwanini huwezi kuwa na furaha ya kudumu na kwanini hilo ni jambo jema kwako

    Rafiki yangu mpendwa, Unazikumbuka zile hadithi za utotoni, zile hadithi ambazo zinaanza na mtu akiwa kwenye mazingira fulani magumu, anayashinda na hadithi inamalizia kwa kusema; wakaishi kwa raha mustarehe maisha yao yote! Rafiki, leo nina habari za kusikitisha kidogo kwako, hicho kitu...
  13. Apollo

    Uhalisia wa Furaha na Mateso katika Maisha

    Maisha ni fumbo kwa kila mmoja wetu, na kila mwanadamu anaishi kwenye ulimwengu wake katika maisha yake. Fumbo la maisha ni kubwa na haijawahi kutokea mwanadamu ambaye ameweza kutoa mwanga kuhusiana na fumbo la maisha na jinsi ambavyo falsafa mbalimbali zimekuwa zikielezea. Ni fumbo ambalo tangu...
  14. Ack

    Hii inanigusa sana kutoka moyoni, sijui wewe ni ipi

    Kwa kawaida wimbo mzuri ni ule ambao huburudisha nafsi yako, na sio fulani akiupenda lazima na mimi niupende, mfano kuna mtu anapenda nyimbo ya U.S kwa sababu fulani anaipenda au anaona kupenda nyimbo za ulaya ndo ujanja, Kila binadamu na hata wanyama kuna vitu hupenda kulidhisha nafsi yao...
  15. Ack

    Hii inanigusa sana kutoka moyoni, sijui wewe ni ipi

    Kwa kawaida wimbo mzuri ni ule ambao huburudisha nafsi yako, na sio fulani akiupenda lazima na mimi niupende, mfano kuna mtu anapenda nyimbo ya U.S kwa sababu fulani anaipenda au anaona kupenda nyimbo za ulaya ndo ujanja, Kila binadamu na hata wanyama kuna vitu hupenda kulidhisha nafsi yao...
  16. Ack

    Hii inanigusa sana kutoka moyoni, sijui wewe ni ipi

    Kwa kawaida wimbo mzuri ni ule ambao huburudisha nafsi yako, na sio fulani akiupenda lazima na mimi niupende, mfano kuna mtu anapenda nyimbo ya U.S kwa sababu fulani anaipenda au anaona kupenda nyimbo za ulaya ndo ujanja, Kila binadamu na hata wanyama kuna vitu hupenda kulidhisha nafsi yao...
  17. GAZETI

    Nchi Zinazoongoza Kwa Amani na Furaha Duniani

    Niliamua kutafuta orodha hii kwenye mitandao mbalimbali duniani baada ya kile nilichoamini kuwa Tanzania ni nchi ambayo inaongoza katika orodha hiyo au kuwemo kwenye 10 bora. Niliamini hivyo kutokana na ngonjera za viongozi wetu kuwa Miongoni mwa vitu ambavyo Tumejaliwa ni amani ambayo...
Back
Top Bottom