Asikwambie mtu kitu.
Pamoja na mambo mengine, heshima yako na hata majukumu yako kama mtu mzima asilimia kubwa imejikita eneo hilo. Usichukulie POA.
Ulikuwa mtoto ukawa kijana, umepambana na mishe nyingi kujijenga kimaisha.
Unapofikia kuoa ujue maisha yako sasa kwa kiasi kikubwa yatahitaji...
Mzee Wasira ambaye amekuwa waziri katika serikali tangu uhuru mpaka serikali ya awamu ya nne ya JK amesema Kiwango cha furaha kwa Watanzania kimeongezeka. Ameyasema hayo alipokuwa akihojiwa na Azam TV. Aidha amesema baada ya masikitiko ya muda mfupi kufuatia kifo cha Magufuli nchi imerudi...
Inasemwa kuwa. Hizi nchi ambazo kiwango cha furaha kipo chini, huzuni ni kitu cha kawaida. Hata mtu akiwa na huzuni au msongo wa mawazo anaona karibu jirani zake wote wanahuzuni, hilo humfariji sana. Lakini zile nchi ambazo watu wengi wanafuraha ni tofauti. Watu wengi wanafuraha hivyo ikitokea...
Furaha ya watumishi na wahitimu vyuo mbalimbali itarejea siku chache zijazo yaani Mei Mosi. Watumishi walio wengi wanaishi kwa ⅓ ya mshahara baada ya kuingia kwenye mikopo ili kuinua maisha yao.
Tunatarajia kusikia mambo haya kutoka kwa Rais:
Mishahara kupanda
Kupanda madaraja
Kupanda vyeo...
Wapendwa Heri ya Mapumziko ya Pasaka.
Poleni Watanzania wenzangu kwa kumpoteza kipenzi chetu,
Wanawake hongereni kwa kutuongoza,
napendekeza kuanzia Leo na nyinyi fanyeni mageuzi,anzeni kututongoza sisi wanaume,tupeni of mbalimbali na Mambo Kama hayo.
Nauliza hivi ile taasisi ya Kimataifa...
Ewe Mungu uliye Mkuu, Mungu wa mbingu na ardhi ifanye siku yangu ya leo iwe siku ya furaha, Mungu uliye mwingi wa rehema tunayekuabudu rehema zisizo na kifani na zisizo Kwisha.....Nineemeshe na kunibariki.
Amin
Toka kuumbwa ulimwengu,. Leo hii Mkoa wa Kigoma umekwenda kutoa Kiongozi Mkubwa, Msomi, makini nchini. Heko wana-Kigoma kwa kuaminiwa.
FUNZO: Marufuku kukata tamaa maishani.
SIMULIZI FUPI - CHOZI LA FURAHA
Nilishuka garini nikiwa na furaha,hii baada ya kutoka likizo baada ya miezi sita ya kukaa chuoni.Mtu wa kwanza kumuoana alikuwa ni mama yangu ambaye alikuwa amemshika mkono mdogo wangu ambaye alikuwa darasa la kwanza.Nilimkumbatia mamangu huku nikiwa siamini...
Uganda has overtaken Kenya to become the happiest country in East Africa in the 2020 World Happiness Report released in March 2021.
The survey conducted in 2020 placed Uganda at position 83, followed by Kenya at 86 which is a drop from the previous year, and Tanzania ranking at position 94...
Asaalam alaykum eko tu kama mumeshinda biyee,
Mie kwangu ni afuheni bwana yesu na asifiwe..
Nikaona nipitie kwa babu
Nikapate kikombe,
Mana ligi bado kubwa mpinzani anahitaji kombe..
Kinachofata dua niombe,
Huko ushindi ligi ya mbuzi mganga kaagiza ng'ombe
Achana na hayoo comrade!!
MIMI...
Habari wanabodi
Mimi ndugu yenu naishi maisha ya kawaida tu, ashukuriwe muumba nina kipato cha kuweza kubadili mboga na kadhalika, naamini nimependelewa kuliko wengi wanaonizunguka, sitaki kujikweza lakini si haba (ashukuriwe aliye juu).
Naishi maisha ya kawiada (common man life), tatizo...
Habari Jf,
Hapa unaruhusiwa kucomment matukio ya furaha ulio wahi shereke kipindi fulani either na mchumba, mke, wazazi, marafiki na jamii kwa ujumla.
Tuambie ni tukio gani lililowahi kukufurahisha sana na hauta sahau.
Twende kazi.
Binafsi ni mtumishi wa umma. Nimewahi kukopa mara 1 na kufanya top up mara 2. Kwa lugha nyepesi ni kwamba nimekopa mara 3.
Kwakweli hali ni mbaya, topup ni wizi wa wazi kabisa. Hata hii mikopo ni unyonyaji ila tu watumishi hukopa kwa aidha shida ya haraka au kukosa maarifa. Muda mwingine...
Kabisa kabisa hatupo mbali, kwa muelekeo na Gia tuliyoondoka nayo baada ya Uchaguzi uliolalamikiwa na Vyama vya Upinzani.
Yaani kama mheshimiwa baba wa Taifa JPM utamfananisha na gari sijui awe gari gani kama ni ndege labda za kivita kama ni treni ni haipa lupu. Ila huyu ni binadamu mwenye...
Habari wadau..!
Kiukweli waTanzania tunahitaji furaha sababu maisha yamekuwa magumu sana huku mtaani ,japo tunafikiri sana nje ya box mpaka mabichwa yanaongezeka upana lakini bila bila kama mithiani ya maisha wengi tunapata zero.
Tuwakumbushe tu viongozi maamuzi wanayoyafanya yasiwe ambayo...
Habari wadau..!
Kiukweli wa Tz tuna mzigo wa mambo mengi yanayotafanya tukose furaha mpk mda mwingine unatamani utoweke hapa duniani.
Mfano siku kama ya leo au kipindi kama hiki unakuta kijana kamaliza chuo miaka inaenda hana mchongo ,kijana huyo huyo unakuta ni mshabiki wa mpira wa miguu...
Mungu ni mkuu, hakika anastahili heshima, utukufu na adhama. Katikati ya miungu hakuna kama wewe BWANA nitakutukuza wewe, nitalifu jina lako siku zote, nitakuabudu wewe tu.
Kamwe sito abudu wala kuyasifu matendo ya mikono ya watu iliyojaa udhalimu na damu zisizo na hatia.
Pesa kwangu daima...
Inasikitisha kuona nchi yangu pendwa iko kwenye orodha za juu ya nchi zisizo na furaha kabisa duniani. Nina maswali machache ya kujiuliza na kuulizana:-
1. Je ni kweli hatuna furaha
2. Nini kimepelekea kuondoka kwa furaha yetu
3. Tufanyeje ili tuwe wenye furaha?
"Taarifa ya furaha duniani inasema Tanzania ni nchi ya 4 kutokea chini katika orodha ya nchi zinazokosa furaha na sisi CUF tumekuja na sera ya Tanzania yenye furaha inawezekana" - Prof. Ibrahim Lipumba.
-
"Unaposema uchumi wa nchi unakua na wakati wananchi mifukoni hawana kitu ni kitu ambacho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.