furaha

  1. MAHANJU

    Ni kazi kwako Mtanzania, uamue kurudi kwenye majonzi tena au furaha moyoni

    Ni kazi kwako Mtanzania, uamue kurudi kwenye majonzi ya utekaji, uonevu, kupotezwa na kufilisiwa mali au kubomolewa nyumba zako kinyume na sheria ya nchi au uishi katika Tanzania ya furaha chini ya nguli wa sheria Tundu Lissu anayejua haki yako? Ni kazi kwako kuamua watoto wako waendelee kukosa...
  2. B

    Uchaguzi mgumu sana, nashauri watu wafuate mioyo yao

    Watu wengi wanachanganyikiwa na uchaguzi unaotegemewa kufanyika hivi karibuni,kiukweli Sera huwa ni tamu kila upande has a kwa vyama vya CCM na CHADEMA,unatakiwa ujue kuwa wrote hao wapo kwa ajili ya kupata kitu nasema kupata kitu kikubwa unatakiwa kuangalia moyo wako sio Sera zao pale unapooona...
  3. K

    Nje ya dhuluma na upendeleo, daima wana CCM wanakosa furaha ya chaguzi

    Mada inahusika. Fanyeni survey kote nchini uone namna ya baadhi ya wana CCM walivyojengeka kiburi linapokuja suala la haki na chaguzi huru. Ndivyo walivyo mara zote na kote si Bara wala Zanzibar. Kupitia kunufaika na Dola kwa njia mbali mbnali wanajiona wana haki zaidi ya watanzania wengine...
  4. MakinikiA

    Mtunzi wa wimbo uliovuma zaidi miaka ya nyuma wa ‘Tanzania yetu ndio nchi ya furaha’, Mzee Stephen adai kuzurumiwa Vyombo vya Mziki

    Mtunzi wa wimbo uliovuma zaidi miaka ya nyuma wa ‘Tanzania yetu ndio nchi ya furaha’, Mzee Stephen Hizza amwemwambia mtangazaji wa kipindi cha zilipendwa wiki iliyopita TBC Chacha Maginga anasikitika licha huo wimbo kuwa maarufu radio Tanzania lakini Serikali ya Awamu ya Nne pekee ilimpa ahadi...
  5. Mwamuzi wa Tanzania

    Mpenzi ni yule ambaye mnaweza kufanya tendo la siri kisha mkatawanyika kwa furaha hata kama mmoja hajapewa fedha

    Kuna watu wajinga sana kwenye suala liitwalo mapenzi. Anamwita demu mpenzi huku K anaipata kwa kutoa fedha. Unaweza kutoa fedha lakini isiwe ndio mchezo kwamba usipotoa pesa demu hakuelewi. Mwanamke ambaye mnaweza kukutana kimapenzi kisha mkatawanyika bila mmoja kupewa pesa then akatoka...
  6. Erythrocyte

    Pamoja na kukandamizwa sana kwanini wanachama wa upinzani nchini Tanzania bado wamejawa na furaha tele?

    Hili ni jambo linalonishangaza sana ! na kwa kweli naomba mwenye kujua siri ya hili anifahamishe. Wanachama na viongozi wa upinzani kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita wamenyanyaswa kuliko miaka yote ya ukoloni nchini Tanganyika enzi zile, wameteswa , wamepotezwa, wamepigwa risasi...
  7. S

    Kesho kuna watu watalia kwa furaha na kuna wataohuzunika na kuumia pia

    Kibinadamu, kumuona Lissu akiwa hai lakini anachechemea, kutosababisha mixed reaction kubwa sana kwa wataofika kumpokea na popote atapokwenda kwa kipindi cha muda fulani mpaka watu wazoee kumuona katika hali mpya aliyonayo. Lissu mwenyewe, kama anavyoonekana katika clips zilizoko mitandaoni...
  8. J

    Spika wa Bunge la JMT siyo lazima awe Mbunge. Mnaoshangilia anguko la Makonda angalieni furaha ya nyani isije kuishia jangwani

    Tunakumbushana tu kwa sababu siasa ni sayansi. Kwa sasa Job Ndugai bado anataka kuendelea kuwa Spika na Dkt. Tulia Ackson anautamani uspika. Ili kuepusha shari CCM ina utamaduni wake kama huujui angalia Dkt. Kigwangalla aliingiaje bungeni kwa mara ya kwanza. So wale watani zangu wa Ufipa...
  9. Wakala

    Uchaguzi 2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

    Habari, Naomba kupata Taarifa ya mshindi wa kura za Maoni Jimbo la Kawe ndugu Furaha Dominic ni nani haswa? Imekuwaje akawashinda vigogo wengine kwenye kura za maoni ndani ya CCM katika Jimbo la Kawe? Je, ni mpinzani sahihi kwa Halima Mdee kwenye uchaguzi wa Oktoba?
  10. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020

    Haya kumeshakucha tena La mgambo likilia ujue kuna jambo. Kwa mujibu wa ratiba ya CCM, leo na kesho ni siku ya Mikutano Mikuu ya CCM ya Majimbo/Wilaya kupiga kura za maoni za wagombea wa ubunge na ujumbe wa baraza la wawakilishi Kwa Mujibu wa Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Magufuli waliochukua...
  11. CUF Habari

    Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba: Watanzania wengi hawana furaha, sisi CUF tunakuja na ajenda yetu, furaha kwa watanzania wote inawezekana

    Amesema chama chao katika uchaguzi wa 2020 kinakuja na agenda ya “Furaha kwa Watanzania inawezekana” Pia Professa Lipumba amewaomba CCM kuwa na siasa za ustaarabu kitapoanza kipindi cha kampeni akisisitiza kupambana kwa hoja Ameyasema hayo Leo Mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba. #2020CUFMwakaWetu.
  12. Mzukulu

    Usiku huu Liverpool FC inanianzishia Furaha yangu, ila Siku ya Jumapili Simba SC itanikamilishia Burudani ya Mfululizo wa Ubingwa

    Asanteni sana Chelsea FC kwa Kuturahisishia Kazi baada ya Miaka 30, ila Prisons FC Jumapili mtatusamehe mno Simba Sports Club kwa Kichapo.
  13. Babu Kijiwe

    Vijana wa UVCCM tunaongoza kwa furaha Tanzania, hatutazeeka mapema

    Habari ndio hiyo, yaani hata huku jukwaani nyuzi za vijana wa BAVICHA ni zakinyonge mno, mara hawaiamini tume hii iliyowatangaza Sugu, Mbowe, Lema, Msigwa na wengine kuwa wabunge. Mara hawawaamini polisi wanaolinda raia na mali zao mara wanadai katiba😂😂😂😂 Kwakifupi hawa machalii wa BAVICHA...
  14. WilsonKaisary

    Furaha yetu sisi wanaume ni nini haswa?

    Kwa upande wa wanawake furaha yao ni kuolewa na kuzaa basi. Na endapo mwanamke atakosa hivi wanawake hupata maumivu makali na hujisikia kasoro kwenye jamii. Ni maumivu gani aliyonayo Wema Sepetu au Lady Jay Dee kwa umri huo kukosa mtoto au watoto? Kutokana na maumivu haya hupelekea wanawake...
  15. Nigrastratatract nerve

    Kama hauna furaha na Tanzania yetu unaweza usirudi kabisa baki huko huko lawama kila siku baki huko huko

    Kila siku ww kulaumu una negative mindset hauoni madaraja yanayojengwa baki huko huko tu usije kutuharibia nchi yetu Hauoni mabarabara yanayojengwa unalaumu tu kila kitu baki hukohuko . Hauoni ufufuaji wa shirika LA ndege baki huko huko Hauoni faida ya Reli inayojengwa tunakuomba ubaki huko...
  16. Naanto Mushi

    Kushuka bei kwa mafuta sio furaha ya kudumu na sio juhudi za serikali ya awamu ya tano

    Kwanza niwapongeze EWURA kwa ‘at least’ kuonesha kwamba wanamjali mwananchi wa chini. Bei ya mafuta (petrol) imeshuka karibu kwa asilimia 28% kutoka wastani wa Tzs 2,100 iliyokuwepo kuanzia mwanzo wa mwaka huu (Pre-Corona Crisis) mpaka bei ya sasa ya Tzs 1,500 kwa lita. Katika kipindi hicho...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    Nini ufanye ili uwe na furaha siku zote unapotumia mitandao ya kijamii, hasa JamiiForums?

    Mwanadamu yeyote kitu anachotarajia kabisa maishani ni furaha na amani. Utataka upate mpenzi mzuri, mrembo kuliko wote ili akupe furaha. Mwanamke atataka mpenzi mwenye hela, mcha Mungu, mpole, etc akitarajia furaha. Utataka gari Kali sio kwamba likusafirishe tu, Bali pia likubebee jina lako...
  18. CUF Habari

    Furaha na haki sawa kwa wote

    FURAHA NA HAKI SAWA KWA WOTE Waasisi wa The Civic United Front(CUF-Chama Cha Wananchi) walikutana katika Ukumbi wa Starlight Hotel, Mjini Dar es Salaam tarehe 20-21 Novemba 1992 walitoa Tamko ambalo ni Utangulizi wa Katiba ya Chama Chetu. Katika Tamko hilo walieleza kuwa:- "Sisi Watanzania...
  19. N'yadikwa

    Tanzania ni nchi yenye furaha sana

    Siku za hivi karibuni baada ya ujio wa mitandao ya kijamii; nchini Tanzania kila kitu kimekuwa utani na hivyo kufanya mambo kuwa mepesi na msongo wa mawazo kupungua. Kwa ufupi tunapeana burudani ya kutosha humu online. Nadhani zile takwimu za kuwa hatuna furaha sasa ziwe reviewed tuwemo...
  20. FRANCIS DA DON

    Naomba tupate maelezo ya kina ya kisayansi, hivi inakuwaje mtu anashangilia na kupata furaha kali pale nchi yake au wenzake wanapopata matatizo?

    Mfano hai kabisa ambao nimeshuhudia kwa macho yangu mitaani na pia katika mitandao, ni ile hamu na shauku waliyokuwa nayo baadhi ya waTz kuona ugonjwa wa Corona ukiingia Tz, na unamuona kabisa mtu huyo anaumia kila walipoambiwa kuwa ugonjwa bado haujafika. Ile siku yule dada wa huko Kaskazini...
Back
Top Bottom