Niliandika kama mara 4 hivi kuhusu COVID-19 sasa wanaiita Delta Variant. Nikaandika kiufupi tu kuwa hatuishi kwenye dunia ya peke yetu, nikaendelea kuhusu ugonjwa huu kuingia nchini kutoka Uganda, hakuna aliyejali.
Sasa leo ITV wametangaza upungufu wa oxygen Bugando. Niliomba Serikali yetu...
Kijana upo na Maisha yako , una uchumi wako yaan sio mpaka uwe na uchumi mkuuuubwa , kwaufupi wee ni Binadamu !!!.
Acheneni na Masuala ya Pesa sijui nn, acheni nayo hayooo yote HAYAWEZI MFANYA MWANAMKE ASITAMAN KUACHANA NAWEWE. Hii mbinu ni mbinu ambayo kama ni Mpenzi au mke ATAENDELEA KUKUONA...
Moja ga jambo kubwa nililojifunza tokea nije huku ni kuwa na nidhamu ya kazi. Watu wengi wana nidhamu kubwa ya kazi.
Mimi pia tokea nipo bongo nilikuwa nna same character kama za watu wa huku hivyo ndio maana inakuwa rahisi kwangu kuishi kwa raha.
Tuachane na hayo, nimerudi Norway nikitokea...
Je mwanaume aliyekomaa ni yupi? Je ni mwenye miaka zaidi ya 18? Kwa kawaida kuna makundi makuu mawili ya wanaume, wanaume wachanga na wanaume waliokomaa.
Kama kulivyo na tofauti kubwa kati ya mtoto mchanga na mtu mzima au aliyekomaa ndivyo ilivyo pia kwa makundi haya mawili ya wanaume...
Waziri Mkuu wa Tanzania akionyesha nakala za Mpango wa tatu wa Maendeleo wa Taifa wa 2021/22 hadi 2025/26 leo wakati wa uzinduzi wake Mjini Dodoma
Nimefurahi kuona luninga ya TBC1 leo asubuhi ikizindua Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa kwa ajili ya kipindi cha 2021/22 hadi 2025/26.
Wakati...
mimi mutwa mukulu nawakilisha kizazi cha dot com. nikiwa shule ya msingi ilembula njombe kwa mzee nyimbo, nilibahatika kusoma baadhi ya vitabu vya zamani kwani kijiji kile watu walianza kusoma mwaa 1945. nilipata kusoma kitabu cha abunuwasi, kisiwa chenye hazina na jamaa hodari kisiwani...
Kama kichwa cha habari kisemavyo anatafutwa life partner
Awe mwanaume matured na mtu mzima ki umri kama miaka 40 na kuendelea
Awe stable financially, nikiwa namaanisha awe na uwezo wa kuamua, kupanga na kueteleza mipango ya maisha
Awe mkristo kiimani
Awe either single, mgane au mtalaka...
Nianze kwa kumshukuru Mungu hadi kufika hapa.
Kesho ni 40 ya kifo cha mwanangu my boy, tangu kufariki my first child my queen rest well my angel [emoji1431][emoji1431] lakini nimepata tena a health baby boy na kesho ndio 40 yake. Karibuni sanaaaaaaaa location Mwanza[emoji12][emoji12]
Niko na...
Kwa mara ya kwanza sasa waTanzania wanaweza kujifunza wao wenyewe kupitia mfumo wa kisheria wa kidijitali unaopatikana simu janja za kiganjani.
Hatua hii imefikiwa kupitia msaada mkubwa wa Mfuko wa Uwezeshaji wa Haki yaani LSF About LSF – Legal Services Facility kupitia app inayojulikana...
UKITAKA NDOA YAKO IWE YA FURAHA, ZINGATIA KANUNI YA MFANANO
Kwa Mkono wa Robert Heriel
Andiko hili nimeliandika kuisaidia jamii hasa kuponya fikra za wale ambao bado hawajaoa/kuolewa. Bila shaka andiko hili litakusaidia kwa sehemu kubwa ikiwa utalizingatia.
Moja ya makosa makubwa yanayofanywa...
Ninakumbuka kuwa huwa kuna Taasisi zinapima furaha ya wananchi kwa kila nchi. Kuna wakati yule Makamu Mkuu wa Chuo cha Dar-es-Salaam aliyepita Prof. Mukandara aliwahi kuongea kwenye Kongamano la Mwl. Nyerere kuwa furaha kwa wananchi wa Tanzania imepungua kwa kiasi Fulani.
Sasa hizo Taasisi za...
Habari ya leo wakuu.
Binafsi kwa bahati mbaya sijaanza kuunga juhudi za kunywa pombe.
Lakini huwa napenda sana kwenda maeneo ya BAR, PUB NA HOTEL.
Nikifika maeno haya huwa naagiza soda nyama choma na maji nikimaliza basi mdogo msogo najikunyata nasepa home.
Lakini huwa naona ni tofauti na...
Hakika ni shangwe iliyojaafuraha kwa upande wa Palestina huko Gaza, Kinachosherekewa hapa ni "Thanks to God, some of us are still alive"
Wananchi wa Gaza waliishi kwa hofu sana maana kifo kilikuwa nje nje pale maisha yao yalipofanywa kuwa ngao, Hamas waligeuza mitaa na nyumba zenye raia wema...
Mheshimiwa Rais.
Awali ya yote nakutakia Amani ya Mwenyezi Mungu BWANA wa Majeshi na Nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nipende kuchukua fursa hii kukupongeza kwa uchapakazi makini, kwa uongozi thabiti na serikali inayosikia na kuzingatia maoni, matakwa na maslahi ya...
UKIBADILI NAMNA UNAVYO TAZAMA VITU NA VITU UNAVYOTAZAMA HUBADILIKA
Kinachotokea sio tatizo ila tafsiri unayoweka juu yake ndio inaweza kuuwa tatizo
Kikwazo chochote kinachotokea huwa kinakuja kuboresha sehemu ya maisha yetu
Usitazame vikwazo kwa ubaya wake tazama vikwazo kwa mazuri yake...
Mabibi na mabwana kumekuwa na shamra shamra nyingi hasa kutokea kwa wale makada nguli wa chama mboga mboga kuwa bwana Nyalandu katoka Chadema.
Ajabu ni kuwa furaha zimeelekezwa kwenye kuwa bwana huyu asiyekuwa na jina ndani ya Chadema, ametoka Chadema wala si kuwa kajiunga na CCM!
Maajabu...
Tayari hata kauli mbinu ya Mei Mosi ya Mwaka huu inaashiria kuowepo na nyongeza ya mshahara. Ukiacha wale ambao mishahara yao ilikuwa ikiongezeka hata wakati wa awmu ya tano - yaani kwa kupanda vyeo na kwa sifa za muda wa utumishi wao, matumaini makubwa ya Mei Mosi ya leo ni nyongeza ya mshahara...
Nimejaribu kutafakari sana hili swala, je mfano mtu anaweza kufurahia haya maisha pasipo kufanya AINA YOYOTE YA MAPENZI Na akaishi peacefully life? Nimejikuta najiuliza hili swali sana mara kadha wa kadha
Yaani mtu akafurahia maisha kwa kufanya starehe zingine ambazo hazikinzani na sheria za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.