Ahlan wa sahlan
Wakamaria aka (gamblers) ,ni miongoni mwa watu wasio na furaha hapa ulimwenguni. Mwanadam ameumbwa akiwa na sifa ya kupenda umiliki na anachukia sana kitu ambacho amekimiliki kikimtoka.
Uchezaji wa kamari ni jambo ambalo limeharibu maisha ya watu wengi sana hapa duniani.Kamari...
Tundu Lissu kwenye maria space ameulizwa anaamini Mhe. Rais atafanyia Kazi Yale waliyojadiliana? Kwa majibu yake ni kwamba, kipimo kinaanza na kesi ya Mbowe. Asipomtoa tarehe 18/02/2022 ni shauri yake. Picha amepata ila furaha iliyotokana na hiyo picha itaondoka Kwa zaidi ya 50%.
Wakimnyima...
Ni kawaida sana kwa hapa nchini wanyama kuteswa, kunyanyaswa, kupigwa, n.k na hii iaonekana kawaida sana, hata kesi yake faini ni laki moja ama kifungo cha mwezi.
Hawa wanyama nao ni viumbe kama sisi licha ya tofauti tulizonazo lakini nao wana hisia, nao wanasikia maumivu, hawapendi...
Umeshawahi kujiuliza kwa nini kuna jamaa mke wake unamuona wa kawaida sana lakini wanaishi kwa amani kabisa na wanapendana?
Ni kwa sababu wamekuwa marafiki ndani ya ndoa, siri ya rafiki hata awe mbaya kiasi gani hauwezi kuchagua sura yake akiwa mshkaji ndio mshkaji huyo.
Kuna watu wana...
Kwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham.
Kwa kweli Gwajima amekuwa Muongo kwa siku nyingi sana...
Furaha Dominic ambaye ni mpwa wa hayati Magufuli aliyegombea ubunge jimbo la Kawe na kushika nafasi ya kwanza huku Pascal Mayalla akiwa wa 162 amesema siku atakayokutana na Rais Samia atampa orodha ya Wafitini wote waliomzunguka.
Furaha anadai CCM kumejaa siasa chafu za kupakana matope...
Wapo wanadani wapo na amani waishi maskini lakini wawe na uzima wa akili,mwili na nafsi. Lakini wapo wanadamu wanatamani waishi bila amani ila wawe na fedha.
Wapo wanadamu wameridhika na kile wanachopata Cha haki, wapo wanadamu wanakwenda Kwa waganga wapate Cha ziada bila kujali masharti...
Kiufundi nawaogopa zaidi Azam FC kuliko hata Yanga SC kwani Azam FC wana Wachezaji wenye Vipaji Asilia huku Yanga SC wakiwa na Wachezaji wenye Ushindani na Morali ya Juu.
Hakuna Mechi ambayo inaniumiza Kichwa Kuiwazia mpaka kuwa na Hofu nayo kama hii ya leo kati ya Simba SC yangu dhidi ya Azam...
Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika
Joyce anaonekana mwanamke anayejali sana pale anapopenda, ila huwa kile kinachotokea baadae huwa nje uwezo wake. Sababu ya uwazi wake Mahusiano yanapoanza kuyumba huwa hakuna siri. Na sio kwamba...
Nikiwa njiani najisomea na kusikiliza habari tofautitofauti za kijamii, kisiasa, kiuchumi toka mataifa tofauti; nimejikuta nikimshukuru Mungu kuwa mtanzania.
Hakika Tanzania yetu ndio nchi ya furaha.
Tumebarikiwa kuwa na waasisi bora wa taifa waliotuachia misingi imara isiyotikisika...
Wanadamu tusipozibiti haya mambo matatu basi lazima utakuja kushangaa,kujilaumu na mengineyo.
Mambo matatu yenyewe:
( 1) Unapokuwa na furaha usitoe "ahadi"
ijalishi furahaa hupo sehemu gani kwenye mapenzi, urabuni, sherehe, starehe, mafanikio n.k. Hapa watu wengi hutoa ahadi wasizotegemea kwa...
Watu walishangilia na kugongeana bia..
Wapo waliocheka kwa sababu sasa wanaaenda kupumua kidogo...
Wapo waliofurahia hela kurudi mitaani aka "mzunguko wa fedha kuongezeka"...
Wapo waliosema "sasa hatufokewi foreign tena" ..na kuwa "nchi ina tabasamu".
Furaha imerejea tena, kicheko kimerudi...
Wakazi wa Mbeya wanaishi maisha mazuri na yenye furaha kuliko wa wakazi wa Dar es Salaam.
1. Wanaishi kwenye nyumba zao wakati wakazi wa Dar wanaishi kwenye nyumba za kupanga.
2. Asilimia kubwa ya wakazi wa Mbeya wanamahali pakulala wakati wenzangu namimi wa Dar wengine wanalala kwenye mataili...
Siku moja kundi la watu 50 walikuwa wakihudhuria semina moja.
Ghafla mwezeshaji akaacha kufundisha na kutoa zoezi ambalo walitakiwa kulifanya kwenye makundi aliyoyagawa.
Baada ya hapo akampa kila mtu puto na kumwambia alipulize lijae hewa na kuliandika jina lake kisha wakayakusanya na kuyaweka...
They say money can't buy happiness, money can't buy love. Okey fine, I agree
But, what can poverty buy?
Ukiona mtu anasema bora yeye na Umaskini wake ila anaishi kwa amani..huruma kubwa inamhusu maana hajui alinenalo wala alitendalo hakuna maskini mwenye amani Dunia hii.
Hapa duniani hakuna...
Afande Rashid wa kituo cha polisi Mpwapwa, amepoteza maisha baada ya timu yake ya Yanga kuifunga Simba jana kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii.
Afande alishikwa na furaha iliyopitiliza hali iliyosababisha kukutwa na mauti huko Mpwapwa, Dodoma!
Poleni sana wafiwa, kwa kupoteza mpendwa wenu, hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.