Habari za asubuhi waungwana!
Nimeamka salama nimekutana na habari moja ya ugunduzi wa madini katika Kijiji fulani huko Mtwara a.k.a Ntwala.
Nikajisemea moyoni kuwa bado hayataleta impact kwa taifa ingawa wananchi wachache watanufaika kwa kupata vibarua huko.
Nimebahatika kufanya kazi kwenye...
1. Nimefungwa na Timu Bora mwenzangu na ambaye ameshakuwa Bingwa wa CAF CL mara Tano tofauti na Zanaco FC au Rivers United FC.
2. Nimefungwa na Timu yenye Uzoefu mkubwa wa Kimpira kuliko Zanaco FC au Rivers United FC.
3. Nimefungwa na moja ya Timu si tu Kubwa bali ni Tajiri pia barani Afrika...
Aliyekuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya Simba, Hans Pope amefariki usiku huu katika Hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu.
Marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya UVIKO-19 na alinukuliwa na kituo cha E-FM akisema alikuwa ICU akipambana na maradhi hayo.
Marehemu Hanspope...
Hivi unakumbuka mara ngapi ulishawahi kumwambia maneno mazuri mwenza wako na yakamkosha hadi akafurahi? Hakuna Siri ya kwanini fulani amedumu na ana furaha katika maisha yake ya mapenzi.
Unaweza kufanya vitu mbalimbali ili kuhakikisha unakuwa na unaishi kwa furaha na kudumu katika mapenzi...
Tulishuhudia na kusikia shangwe za wabunge, Bodaboda na wamiliki wa pikipiki wakati bajeti inasomwa na mheshmiwa Wazili Mche.
Naomba kufahamu, hali ya sasa katika Hilo nchini kwakuwa, nimeona idadai ya pikipiki inaongezeka katika vituo vya polisi. Mbaya zaidi, nimeona askali wetu wakizisaka...
Habari wakuu,
Kwa uzoefu nilioupata kutokana na kupitia mahusiano mbalimbali hatimae leo nimeona nilete hitimisho kuwa kudate na mabinti hakuna furaha kabisa, yaani hawa watoto maisha yao katika mahusiano yamejaa vioja na mateso chungu nzima, yaani ni mahusiano ya wasiwasi tupu, Kwanza haupati...
Habari wakuu,
Leo nawaletea mbinu ya kivita ambayo unaweza kuitumia kwa mkeo ili akusamehe kiulaini, mfano kama kakufumania, kakukuta na SMS za michepuko, au kosa lolote kubwa ambalo limeleta ugomvi na linatishia uhai wa ndoa au mahusiano yako,
Tumeambiwa Tuishi nao kwa akili,
Njia nzuri ya...
Je umewahi kujiuliza Furaha ni nini? Je umewahi kuwa na furaha? Ilikuaje ukawa na furaha? Je unakumbuka nini siku ile ulipopata matokeo yako ya kidato cha nne ? Bila shaka ulihabarishwa kuwa umefaulu na unatakiwa kujiunga na chuo au kuendelea na kidato cha tano, bila shaka ulipata Furaha kubwa...
Leo ni siku muhimu katika historia ya Maisha yangu, ndiyo siku ambayo Mwenyezi Mungu alinileta duniani kupitia wazazi wangu Bi. Asteria Kapela na Mzee James Bukumbi (wote marehemu).
Napenda kumshurku Mungu kwa kuendelea kunipa uhai, afya, nguvu na maarifa ili kuendelea kutimiza dhumuni lake la...
Watu wengi wanaingia kwenye ndoa kwa matarajio kuwa maisha ya ndoa ni raha mustarehe. Mnaelewana na mwenza wako nae atakua rafiki yako.
Ukweli ni kuwa, ndoa ni box tupu, unahitaji kuwekeza ili uvune. Hakuna mapenzi kwenye ndoa bali ni watu wawili wanaopendana wanaingia kwenye ndoa. Ingiza...
Mama amezaa watoto7 lakini hana hata wa kumjulia hali, tena katika maradhi yanayomsibu.
Hivi kweli waafrika wa Tanzania tumefikia hatua ya kushindwa kulea wazazi wetu!?
Yaani hii ni kinyume kabisa na mila na desturi zetu. Mgonjwa kiasi hiki kutelekezwa na watoto wake wa kuzaa! Inaumaaaa...
Haya ni maneno aliyoyatamka Linda, binti wa pekee kwa wazazi wake. Baba yake alikua mlinzi wa majengo ya serikali kwa miaka mingi. Mama yake alikua mama wa nyumbani aliyejishughulisha na biashara ya vitafunio vya asubuhi kama chapati, maandazi, sambusa na vitumbua.
Linda na wazazi wake...
Lamborghini, Hummer, na Cadillac. Lakini kwa kipindi chote nilichokaa Tottenham nlishindwa kununua FURAHA.
Furaha pekee ndo ilinifanya niondoke Tottenham na kwenda kuitafuta sehemu nyengine.
Swali kwako how far can you go for find of happiness and what cost u can pay for your happiness?
Leo ni siku ya furaha kuwa chanjo ya Corona inazinduliwa. Hatimaye pana Nuru tena katika maisha yetu.
Baada ya uzinduzi huu na kutupa maelekezo ya wapi kila yeyote alipo anaweza kwenda kuchanjwa kwa raha zake, tutakuwa tunaifunga rasmi sehemu kubwa ya mijadala kuhusiana na ugonjwa na yote...
Nchi zilizopo kwenye kumi bora kwa kuwa na furaha duniani kwa mwaka 2018 - 2020👇
Nchi zilizopo kwenye kumi bora kwa kukosa furaha duniani kwa mwaka 2021👇
Sources:Happiness, trust, and deaths under COVID-19
Tunapofikia umri wa kustaafu tunatakiwa kujua tumefikia ukomo wa kipindi cha kuanzisha mambo mapya na tuko kwenye kipindi cha kuishi na kuyafurahia yale tuliyoyafanya tukiwa makazini, tukiwa na nguvu, tukiwa na nguvu na umri unaoturuhusu kurekebisha makosa.
Niseme tuu kaka yangu Antony ameongea...
Natanguliza shukrani wasomi Evelyn Richard, University of Dar es Salaam Business School Pamoja Eliamringi Mandari, Bank of Tanzania
Katika utafiti (study) uliochapishwa na chuo kikuu cha dar es salaam juu ya umuhimu wa mobile banking na lengo la kuanzishwa kwake.
Katika utafiti wao walichukua...
Naita furaha ya maiti kwakua sasa jamii iliyoumia na kukaa kiunyonge kwa miaka mingi inafurahia namna mpya ya maisha yasiyo ya vitisho lakini ukweli ukibaki palepale kuwa bado jeneza na kaburi ni lilelie ila sanda pekee ndiyo imebadilishwa.
=> Kwanini makato ya miamala yaongezeke
=> Kwanini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.