Na mimi huwa natumia hizi njia kama naona nna mawazo sana. Kwaiyo nawe zinaweza kukusaidia.
Stress huanzia pale unapokubali kuendeshwa na mawazo yanayokujia.
Bongo zetu ni mashine za mawazo, bila kujali ni mazuri au mabaya. Yenyewe inachapisha tu.
Sasa pale ubongo unapochapisha mawazo mabaya...
Waraka kwa mtoto wa kike mwenzangu,
Tambua kuwa hapo Mwanzo Bwana Mungu hakuweka uadui kati ya mwanamume na nyoka yaani shetani, hivyo kinachoendelea kati yao Bwana ndiye anajua. Kwani wapo wanaume ambao ni marafiki wa Mungu lakini pia wapo wanaume ambao ni marafiki wa nyoka yaani shetani...
Baada ya kuiona habari hii nikaona acha nivae uhusika. Ya watuhumiwa wa ugaidi kuachiwa huru baada ya miaka tisa ( 2014-2023).
Katika hali ya kawaida tu mtu anapotoka kwenye matatizo basi roho yake na nafsi yake usawajika.
Tokea 2014- 2023 ni miaka 9 imekatika wale walioingia gerezani kwa...
Haijalishi unajishawishi kichwani kiasi gani kwamba we ni wa tofauti.
Haijalishi unajiona we ni wa tofauti na unaotumia nao muda mwingi.
Lazima mwisho wa siku uwe kama wao, kama unavoendelea kuwa nao.
Sababu binadamu tumeumbwa kufanana na watu wetu wa karibu.
Ndo mana utasikia familia ile...
Haijalishi unajishawishi kichwani kiasi gani kwamba we ni wa tofauti.
Haijalishi unajiona we ni wa tofauti na unaotumia nao muda mwingi.
Lazima mwisho wa siku uwe kama wao, kama unavoendelea kuwa nao.
Sababu binadamu tumeumbwa kufanana na watu wetu wa karibu.
Ndo mana utasikia familia ile ipo...
Nipo hapa kuueleza umma kwamba mimi nisiwe mnaa. Furaha yangu kwa Utopolo kula kichapo haiwezi kufichika kwa uzalendo uchwara.
Nawaombea mkienda huko Algeria mchakazwe kama mbwa koko mkirudi msitamanike kabisa. Mna midomo sana
Nimefurahi sanaaaaaa
Huwaga najiuliza sana, lets say wazazi wawili walitengana, sasa imefika kipindi mtoto yupo na miaka mitatu hivi analilia baba kila siku, baba akatoa sharti kwa kusema au kimafumbo kwamba ili kufanya hivyo inabidi awe anapewa penzi walau kwa lisaa, Mwanamke anaweza kuchomoa hapa ?
Na hapo...
Sijawahi jihusisha na ulevi wa aina yoyote hivyo siwezi linganisha ila kuna raha unakua unaipata ni kali sana pale unapomsaidia mtu, akatatua tatizo pake,
Hua najiuliza wale wabahili wa pesa hua hawajui hilo jambo? Nadhani ni zaidi ya pombe au uraibu mwingine
Binafsi natoa pongezi nyingi kwa Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa uamuzi wao walioufanya hivi karibuni, inawezekana ukaonekana kama wamekosea lakini siku zote binadamu huwa si rahisi kukubali mabadiliko.
Mabadiliko yoyote yale huwa yanaambatana na changamoto kadhaa...
Hello JF!!
Katika Maisha mwanadamu aweza kuwa ni mwenye kufurahia ama kufurahishwa, hivyo kwa minajili hio basi Raha na Furaha si vitu ama hali inayoweza kununuliwa ama kununulika kwa namna yoyote ile.
Mwenye kukufurahia anakupenda na mwenye kufurahishwa ni mnafiki.
Ni hayo tu kwa uchache...
Ni furaha kila kona wapinzani wamejaa furaha CCM wamejaa furaha watanzania wote tumejaa furaha. Mama katangaza mchakato wa katiba mpya uanze. Aliyenuna sisi hatuna cha kumsaidia.
Mwisho wa siku wawakilishi wetu bungeni watatupatia katiba iliyo bora. Hatutegemei wasiotutakia mema nchi yetu...
Hope ni wazima Wana JF,
Maisha ni fumbo, nilijua kuwa na unafuu wa maisha moyo wangu utakuwa na amani na furahi, lakini imekuwa sio hivyo. Nina kazi nzuri, ambayo inanipa mshahara wa kuweza kumudu gharama za maisha lakini sifurahii chochote kwa sasa.
Chazo sio familia nina mke na mtoto mmoja...
Usiache kufurahi leo. Leo ndiyo yote tuliyo nayo. Kesho ni ahadi.
Kama wimbo unavyoenda... "Jana imepita, na kesho inaweza isiwe yako."
Maandiko pia yanasema, "Furahini katika Bwana SIKU ZOTE" - Wafilipi 4:4.
Kuwa na furaha ni uamuzi tu.
Hakuna kitakachokufurahisha hadi uchague mwenyewe kuwa na furaha.
Una furaha kwa kuwa umeamua kuwa na furaha. Usitegemee wengine kukufanya uwe na furaha.
Unawajibika kwa furaha yako. Zipo siku unaweza kuwa na dhiki ila unaweza kuchagua kuwa na furaha ili...
Wana Yanga SC wote walijaa hadi Pomoni kwa Mkapa wakijua kuwa kama Ugenini mlishinda Goli 2 basi leo kwa Mkapa Wanaijeria wangekufa / wangefungwa Goli nyingi kuanzia 3 kwenda mbele matokeo yake imeisha Suluhu ( 0 - 0 )
Najua mnashangilia Shingo upande tu huku mkiwa Wanafiki kwani matokeo...
Huu ni ujumbe kwenye wenye visoklokwinyoooo na vijiba vya rohoo kwa simba.
Simba ni team kybwa sana hapa Africa na duniani na tunatambua ili tuwe mabigwa africa lazima tucheze na mabigwa.
Wanasimba hatuogopi team yoyote ile maana hao mnaosema watashinda sisi tulishawashinda teyariiiii...
Mwanamke anataka ajisikie unamjali.
Yaani unajali hisia zake za upendo kwako. Ila drama zake unaweza kupotezea.
Utamuonesha kujali hisia zake kwa kutenga muda kwa ajili yenu. Mkatengeneza kumbukumbu mbali mbali kwa kwenda sehemu tofauti au kucheza pamoja na kufurahi pamoja. Na kumpa mapenzi...
Upweke ni tatizo kubwa hususani vijana, unashangaa upo online masaa 24 kwenye mitandao ya kijamii.
Lakini...
Huna muda wala ukaribu na mtu wa karibu yako pengine majirani zako, kwa kisingizio unaishi maisha yako hivyo wasikufate fuate, Kumbuka maisha bila watu hayana ladha.
Mitandao ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.