Hiyo ni kwa mujibu wa uchunguzi wangu, nawe unaweza kufanya hapo ulipo. Walimu wengi ni watu fulani wasio na stress zilizopitiliza nazungumzia wengi, sijakataa wapo wachache.
Utawakuta wakiwa na furaha muda mwingi sana. Sijui kuna uhusiano na ukaribu wa watoto?
Wanadumu mnoooo baada ya kustaafu...
MBUNGE MHE. FURAHA N. MATONDO AKABIDHI VITI MWENDO 70 KWA WALEMAVU KWA WILAYA ZOTE, MWANZA
Mbunge wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Mwanza Mhe. Furaha N. Matondo katika ziara yake aliyoifanya Wilaya zote za Mkoa wa Mwanza amekabidhi Viti Mwendo 70 kwa watu wenye ulemavu Mkoa wa Mwanza.
Hafla ya...
Tanzania yaendelea kuangukia pua world happiness report 2023 baada ya kuwa kundi moja na nchi za Haiti, Afghanstan, Congo, Rwanda, Malawi na Lesotho.
Vigezo vilivyotumika ni pamoja na upatikanaji wa haki, Rushwa, Matarajio ya maisha marefu, pato la mtu mmoja kitaifa, Ukarimu, Usaidizi wa Jamii...
Wadau ninaleta kwenu orodha ya nchi kumi 10 zenye furaha Afrika kwa mujibu wa jaribu moja la umoja wa mataifa linalojihusisha na mtandao wa maendeleo endelevu duniani Congo wamo naileta orodha
1. MAURITIUS
2. LIBYA
3. IVORY COAST
4. SOUTH AFRICA
5. GAMBIA
6. ALGERIA
7. LIBERIA
8...
Ripoti ya Dunia ya Furaha 2023 imetolewa. Kwa mujibu wa viwango vya Dunia Vya Furaha kwa mwaka 2023, Finland ndiyo nchi yenye furaha zaidi duniani kwa mwaka wa sita mfululizo. Wakati huo Tanzania imetajwa kuwa kati ya Nchi zenye Watu wasio na Furaha duniani.
Orodha kamili hii hapa
Nchi 10...
Habari rafiki!
Je, wewe ni kijana mwenye kipaji cha kuimba, kupiga piano, au kupiga gitaa? Ikiwa ndiyo, tuna furaha kukualika ujiunge nasi katika safari ya kuendeleza kipaji chako!
Tunayo akaunti ya TikTok inayoitwa B&G Entertainment ambayo inakusudia kuwawezesha vijana wenye vipaji mbalimbali...
Wananchi wa CHIMALA washindwa kujizuia kuonyesha furaha yao Kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Askofu Dkt. Josephat Gwajima uliofanyika Chimala, Mkoani Mbeya. Mkutano huo umefanyika Tarehe 9, Machi, 2022
Sina mke licha ya kwamba nina watoto wawili kwa mama wawili. Nina madeni kila idara, biashara haziendi kabisa na sikopesheki tena.
Nadaiwa NMB, NBC na Benki ya Maendeleo Bank Bank ya kanisa.
Nina msongo mkali sana wa mawazo maana mpaka sasa malI zangu zimepotea kwa kuziweka kama collateral...
Kwa sisi watu wenye upendo ule wa ndani Kabisa
Je unawezaje Kupata Furaha huku umezingukwa na watu masikini wanaokosa mpaka kula yao ??
Binafsi Mimi Sina Furaha
Furaha ya kweli nikuzungukwa na watu wenye Maisha mazuri , walfare nk mbaya zaidi ninapoishi kwa nyuma kama mita 200 kuna wadada...
Kuna kitu wauaji huwa wanajihisi"Upweke"sababu hakuna furaha kwenye kutoa roho ya mtu hasa pale mnapokutanisha macho kwa ghafla wakati wa tukio husika.
Anakutazama kwa macho ya kukuuliza "Kwanini mimi"? Hata unapomvizia kwa ghafla pale mwili wa binadamu anapoanguka chini unajihisi hatia...
Mtume Muhammad (s.a.w) anatujulisha mambo mawili muhimu yanayofanya siku ya ijumaa iwe bora miongoni mwa siku za juma. Kwanza ni kwamba, hii siku ya Ijumaa ndiyo aliyoumbwa Adamu. Pili ni kwamba siku hii ya ijumaa, baada ya Adamu kumkosea Mwenyezi Mungu aliomba msamaha na toba yake ikapokelewa...
Kwaheshima kubwa ,nawasalimu Watanzania wote habari za asubuhi!!!
Let me go direct to my point , hii nchi ilipoteza mwelekeo miaka mitano iliyopita, mambo yake yalikuwa hayatabiriki Sana hata kama mambo mengine yalikuwa kisheria.
Mfano, suala la ajira Kwa watumishi wa serikali, watumishi...
Za ndani nilizozipata kutoka kwa Chawa Wako zinasema leo Jioni utakutana nao mahala na Mzinywe na Wale sana kwani Mtu aliyekuwa akikunyima Usingizi Wakili Albert Msando aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro uliyoko amehamishwa na Mkeka mpya wa Mama.
Ila kwa DC Msando alivyowekeza hapo Wilayani...
Kwa wale wanaoona tarakimu za makato ya mkopo wa elimu ya juu wanaelewa faraja ya kumaliza mkopo juu.
Kwakeli wale waliochelewa kujiunga na elimu ya juu wanaulipa mpaka miaka ya kukaribia kustaafu. Infewezekana kusamehe wa miaka 50+ iliwaanze kujiandaa na maisha ya kustaafu.
Kuna wana aga...
Ndugu zangu watanzania,
Maisha Ni pamoja na kuwa na furaha Moyoni,Ni pamoja na kufurahia uwepo wako Duniani,Ni pamoja na kufurahia aina ya maisha unayoishi,Ni pamoja na kufurahia aina ya uongozi uliopo madarakani kwa namna unavyogusa maisha yako ya kila siku.
Serikali na uongozi uliopo hasa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuondolewa kwa zuio la mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa zuio hilo lililodumu kwa miaka 6 baada ya kauli hii watanzania wazalendo tunasema Rais Samia Suluhu amekuja kuikomboa Tanzania zile 4R zinafanya kazi kweli...
Mengi huja kwa njia tofauti tofauti katika haya maisha,Kila kinachokuja na kutokea katika maisha yako kichukulie kama njia moja wapo ya kujifunza kwako.
Maisha mazuri ni yale yakukubaliana na hali uliyo nayo,kuridhika na kile ulichonacho kile ambacho kila ufunguapo macho unakutana nacho na sio...
Sio mpenzi wa jf na hafagilii mitandao mitandao hii so hakuna noma.
Mwamba huyu alikutana na demu wa kishua yaan kishua haswa, mwana ni un employee kwa sasa, kama ujuavyo mjini maisha ni gharama na mapenzi ni gharama haswa, sasa hakujua kama huyu binti ni wakishua yaan mama baba tajiri ni zali...
Watu wengine walitaka kuona hii video wanachadema na vyama vingine walivyoungana kumpokea Rais hii inaonyesha kuwa yale maridhiano yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu yameanza kufanya kazi.
Kuna watu wengine pia wamesema kuwa kutokana na kazi kubwa aliyoifanya Rais Samia Suluhu ile Shahada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.