furaha

  1. W

    Watukaneni, wakashfuni, wadharauni, wazushieni, wadogosheni mnavyoweza lakini walimu wanaishi kwa furaha zaidi kuliko kundi lolote

    Hiyo ni kwa mujibu wa uchunguzi wangu, nawe unaweza kufanya hapo ulipo. Walimu wengi ni watu fulani wasio na stress zilizopitiliza nazungumzia wengi, sijakataa wapo wachache. Utawakuta wakiwa na furaha muda mwingi sana. Sijui kuna uhusiano na ukaribu wa watoto? Wanadumu mnoooo baada ya kustaafu...
  2. Mbunge Furaha Matondo akabidhi viti mwendo 70 Wilaya zote Mkoa wa Mwanza

    MBUNGE MHE. FURAHA N. MATONDO AKABIDHI VITI MWENDO 70 KWA WALEMAVU KWA WILAYA ZOTE, MWANZA Mbunge wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Mwanza Mhe. Furaha N. Matondo katika ziara yake aliyoifanya Wilaya zote za Mkoa wa Mwanza amekabidhi Viti Mwendo 70 kwa watu wenye ulemavu Mkoa wa Mwanza. Hafla ya...
  3. Tanzania ya 8 kutoka mwisho ripoti ya furaha Duniani

    Tanzania yaendelea kuangukia pua world happiness report 2023 baada ya kuwa kundi moja na nchi za Haiti, Afghanstan, Congo, Rwanda, Malawi na Lesotho. Vigezo vilivyotumika ni pamoja na upatikanaji wa haki, Rushwa, Matarajio ya maisha marefu, pato la mtu mmoja kitaifa, Ukarimu, Usaidizi wa Jamii...
  4. Nchi 10 zenye watu wenye furaha Afrika

    Wadau ninaleta kwenu orodha ya nchi kumi 10 zenye furaha Afrika kwa mujibu wa jaribu moja la umoja wa mataifa linalojihusisha na mtandao wa maendeleo endelevu duniani Congo wamo naileta orodha 1. MAURITIUS 2. LIBYA 3. IVORY COAST 4. SOUTH AFRICA 5. GAMBIA 6. ALGERIA 7. LIBERIA 8...
  5. Ripoti: Tanzania yatajwa kwenye orodha ya Nchi zisizo na Furaha Duniani

    Ripoti ya Dunia ya Furaha 2023 imetolewa. Kwa mujibu wa viwango vya Dunia Vya Furaha kwa mwaka 2023, Finland ndiyo nchi yenye furaha zaidi duniani kwa mwaka wa sita mfululizo. Wakati huo Tanzania imetajwa kuwa kati ya Nchi zenye Watu wasio na Furaha duniani. Orodha kamili hii hapa Nchi 10...
  6. Bila ya kumpa mumeo nafasi yake ya Ufalme, ndoa yako haitakuwa na furaha

    Mwanaume ni mfalme ndani ya nyumba, usipompa heshima yake, hiyo ndoa iko mashakani. Hamna mfalme asiyetaka kuheshimiwa.
  7. Je, wewe ni kijana mwenye kipaji cha kuimba, kupiga piano, au kupiga gitaa? Ikiwa ndiyo, tuna furaha kukualika ujiunge nasi katika kuendeleza kipaji

    Habari rafiki! Je, wewe ni kijana mwenye kipaji cha kuimba, kupiga piano, au kupiga gitaa? Ikiwa ndiyo, tuna furaha kukualika ujiunge nasi katika safari ya kuendeleza kipaji chako! Tunayo akaunti ya TikTok inayoitwa B&G Entertainment ambayo inakusudia kuwawezesha vijana wenye vipaji mbalimbali...
  8. J

    Mbeya: Wananchi wa Chimala waonesha furaha yao kwa Rais Samia

    Wananchi wa CHIMALA washindwa kujizuia kuonyesha furaha yao Kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Askofu Dkt. Josephat Gwajima uliofanyika Chimala, Mkoani Mbeya. Mkutano huo umefanyika Tarehe 9, Machi, 2022
  9. Birthday yangu inakaribia, sina amani wala furaha, na sifurahii kitu

    Sina mke licha ya kwamba nina watoto wawili kwa mama wawili. Nina madeni kila idara, biashara haziendi kabisa na sikopesheki tena. Nadaiwa NMB, NBC na Benki ya Maendeleo Bank Bank ya kanisa. Nina msongo mkali sana wa mawazo maana mpaka sasa malI zangu zimepotea kwa kuziweka kama collateral...
  10. Hivi unaweza kupata raha na Furaha ikiwa unaishi hapa Tanzania?

    Kwa sisi watu wenye upendo ule wa ndani Kabisa Je unawezaje Kupata Furaha huku umezingukwa na watu masikini wanaokosa mpaka kula yao ?? Binafsi Mimi Sina Furaha Furaha ya kweli nikuzungukwa na watu wenye Maisha mazuri , walfare nk mbaya zaidi ninapoishi kwa nyuma kama mita 200 kuna wadada...
  11. Hakuna furaha kwenye uuaji, damu ya binadamu ina roho

    Kuna kitu wauaji huwa wanajihisi"Upweke"sababu hakuna furaha kwenye kutoa roho ya mtu hasa pale mnapokutanisha macho kwa ghafla wakati wa tukio husika. Anakutazama kwa macho ya kukuuliza "Kwanini mimi"? Hata unapomvizia kwa ghafla pale mwili wa binadamu anapoanguka chini unajihisi hatia...
  12. Jumaa Kareem, Ijumaa ni siku ya furaha kwa Waislamu wote, Hakikisha leo unafika Msikitini

    Mtume Muhammad (s.a.w) anatujulisha mambo mawili muhimu yanayofanya siku ya ijumaa iwe bora miongoni mwa siku za juma. Kwanza ni kwamba, hii siku ya Ijumaa ndiyo aliyoumbwa Adamu. Pili ni kwamba siku hii ya ijumaa, baada ya Adamu kumkosea Mwenyezi Mungu aliomba msamaha na toba yake ikapokelewa...
  13. Rais Samia umeleta furaha nchini

    Kwaheshima kubwa ,nawasalimu Watanzania wote habari za asubuhi!!! Let me go direct to my point , hii nchi ilipoteza mwelekeo miaka mitano iliyopita, mambo yake yalikuwa hayatabiriki Sana hata kama mambo mengine yalikuwa kisheria. Mfano, suala la ajira Kwa watumishi wa serikali, watumishi...
  14. Tajiri wa Morogoro Abood najua leo una Furaha kwa Adui yako mkubwa DC Msando Kuhamishwa

    Za ndani nilizozipata kutoka kwa Chawa Wako zinasema leo Jioni utakutana nao mahala na Mzinywe na Wale sana kwani Mtu aliyekuwa akikunyima Usingizi Wakili Albert Msando aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro uliyoko amehamishwa na Mkeka mpya wa Mama. Ila kwa DC Msando alivyowekeza hapo Wilayani...
  15. Furaha ya kumaliza malipo ya mkopo wa elimu ya juu

    Kwa wale wanaoona tarakimu za makato ya mkopo wa elimu ya juu wanaelewa faraja ya kumaliza mkopo juu. Kwakeli wale waliochelewa kujiunga na elimu ya juu wanaulipa mpaka miaka ya kukaribia kustaafu. Infewezekana kusamehe wa miaka 50+ iliwaanze kujiandaa na maisha ya kustaafu. Kuna wana aga...
  16. L

    Chini ya uongozi wa Rais Samia viwango vya furaha kwa Watanzania vyaongezeka mitaani

    Ndugu zangu watanzania, Maisha Ni pamoja na kuwa na furaha Moyoni,Ni pamoja na kufurahia uwepo wako Duniani,Ni pamoja na kufurahia aina ya maisha unayoishi,Ni pamoja na kufurahia aina ya uongozi uliopo madarakani kwa namna unavyogusa maisha yako ya kila siku. Serikali na uongozi uliopo hasa...
  17. N

    Watanzania Democrasia imerejea, nimetokwa na chozi la furaha leo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuondolewa kwa zuio la mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa zuio hilo lililodumu kwa miaka 6 baada ya kauli hii watanzania wazalendo tunasema Rais Samia Suluhu amekuja kuikomboa Tanzania zile 4R zinafanya kazi kweli...
  18. Watu wengi hawana furaha na maisha yao

    Mengi huja kwa njia tofauti tofauti katika haya maisha,Kila kinachokuja na kutokea katika maisha yako kichukulie kama njia moja wapo ya kujifunza kwako. Maisha mazuri ni yale yakukubaliana na hali uliyo nayo,kuridhika na kile ulichonacho kile ambacho kila ufunguapo macho unakutana nacho na sio...
  19. Namna mshikaji wangu anavyoishi ukweni kwa furaha na amani tele

    Sio mpenzi wa jf na hafagilii mitandao mitandao hii so hakuna noma. Mwamba huyu alikutana na demu wa kishua yaan kishua haswa, mwana ni un employee kwa sasa, kama ujuavyo mjini maisha ni gharama na mapenzi ni gharama haswa, sasa hakujua kama huyu binti ni wakishua yaan mama baba tajiri ni zali...
  20. N

    Tazama video za wana CHADEMA wakicheza kwa furaha huku wakisubiri kumpokea Rais

    Watu wengine walitaka kuona hii video wanachadema na vyama vingine walivyoungana kumpokea Rais hii inaonyesha kuwa yale maridhiano yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu yameanza kufanya kazi. Kuna watu wengine pia wamesema kuwa kutokana na kazi kubwa aliyoifanya Rais Samia Suluhu ile Shahada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…