Diaspora Leteni Fursa Tanzania,Serikali itawaunga Mkono” - Balozi Kombo
Watanzania Waishio Ughaibuni wamehimizwa kuchangamkia fursa zilizoko katika maeneo yao na Serikali itawaunga mkono pale inapohitajika.
Hayo yamesemwa kwa njia ya Mtandao na Balozi Mahmoud Thabit Kombo,(Mb), Waziri wa Mambo...
Habarini za asubuhi wakuu, mimi niko na swali kuna hizi ajira zinatangazwa na kampuni ya Dangote kila siku tunaomba ila hatupati ata majibu kuna mwanazuoni alishawahi pata hizi ajira au ata kuitwa interview atupe abc za kuomba hizi kazi tufanikiwe wote jamani😄
Ataka busara itumike, kanuni zikae kando kwanza
Adhihirisha kuwa mabaunsa walitumwa na uongozi
Tuendelee kuhifadhi post walizoweka mwanzo mwanzo, zitasaidia kujua kilichopangwa na kilichofanywa.
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki amewaasa Wanawake wa Mkoa wa Katavi kutumia vyema fursa ya utoaji mikopo ya Halmashauri ya Asilimia Kumi (10%) inayotolewa na Serikali ili kujikwamua kiuchumi
Mbunge Martha Mariki ameyasema hayo katika kilele cha Maadhimisho ya Siku...
Nimewahi shiriki shughuli za kisiasa directly 2015, 2020 kama Msafirishaji, uchaguzi ni mchakato wenye hela sana.
Nimeiuliza CHATGPT namna gani unaweza tengeneza kipindi cha uchaguzi huu wa 2025. Pitia kama kuna namna itakufaa.
Ni kweli kwamba mwaka wa uchaguzi huleta fursa nyingi za...
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi (PPPC), David Kafulila amesema kitendo cha Rais wa Marekani, Donald Trump kuja na sera za kusitisha baadhi ya misaada kwa nchi za Afrika, kimefungua fursa mpya kwa Tanzania na kwamba serikali iko mguu sawa kuzitumia fursa hizo...
Hawa vijana wa singeli uenda bongo ndio tuna vijana wa hovyo kutwa kutumia bando kuangalia ujinga mda hauendi mtu analia connection connection connection haikufuati umelala kitandani ukiwa unapambana bongo usiache na kupambana nje pia nje hapa hitaji connection ili kupata kazi kule ni cv na...
Binafsi me ni msomi na Kwa Sasa nimejiajiri katika kilimo.
Kama kawaida kilimo Kuna kipindi tunapata Kuna kipindi hali inakuwa mbaya mno
Kuna fursa au taaluma zinalipa Kwa vijana, Ile kijana kusomea kupasua miamba, sijui doctor wa ubongo, sijui ualimu wa physics umalize ukose kazi au ulipwe...
Tanzania ina maeneo mengi yenye shughuli nyingi za kiuchumi na fursa za biashara. Hapa chini ni orodha ya maeneo 13, yenye fursa nyingi za kiuchumi:
1. Dar es Salaam: Jiji kuu la kibiashara nchini, lenye bandari kubwa inayohudumia nchi nzima na majirani. Shughuli za kibiashara na viwanda ni...
Tanzania kuchangamkia fursa ya ufadhili wa masomo kutoka Umoja wa Ulaya
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), katika mwendelezo wa ziara yake nchini Hungary, amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. György Hölvényi, Mbunge wa Bunge la...
biashara nyingi zinahitaji frem..sio zote ila nyingi....na sio frem tu...ni frem iliyo location muhimu..sio iliyojificha ficha...
kuna frem inapangishwa
SIFA ZA HII FREM
**frem iko barabarani, main road kabisa
**frem ni kubwa sana pana na imeingia ndani
**frem ina ubaraza mkubwa sana kiasi...
Nchi yangu Tanzania imejaa fursa nyingi ambazo bado hazijachunguzwa kikamilifu. Kutokana na rasilimali tulizonazo, kuna maeneo mengi ambapo fursa zinaweza kupatikana, kutoka kwa kilimo, nishati mbadala, teknolojia, na utalii. Lakini, fursa hizi zipo wapi na tunawezaje kuzichangamkia ili kukuza...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda leo Jumatatu Februari 17, 2025 amekutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) akihimiza suala la Ujenzi wa viwanda na ufufuaji wa Viwanda vilivyokufa Mkoani Arusha kama sehemu ya Mkakati wa kukuza dhamira njema ya...
Wakuu mimi ni mwalimu natamani nikafundishe kati ya Nchi tajwa hapo juu tafadhali mwenye miongozo anipatie hapa jukwaani mimi na wanajukwaa wenye shida kama yangu tutashukuru sana
Ahsanteni
Habari za jioni wana JF.
Katika kutafuta fursa za kimaisha baada ya kustaafishwa rasmi na Trump 😃😄😁😀.
Niliwasiliana na jamaa yangu mmoja ambaye naye amestaafishwa na Trump ambaye alikuwa anafanya kazi kwenye shirika moja la Kilimo huko Iringa. Jamaa alinieleza fursa za Kilimo kwenye Kulima...
1: Kutoa virus kwenye computer
2: Usambazaji wa Vifaa vya solar
3: Internet cafes
4: Uzaaji wa vocha jumla
5: Kusomea na kufahamu lugha nyingin (eng, frnc, chinese,etc)
Habari ndugu zangu, naomba kujua kama humu ndani Kuna mtu anafanya kazi au unajuana na mfanyakazi wa MICHAMVI SUNSET BAY HOTEL. Kama yupo namba tuwasiliane DM maana nahitaji kupata fursa ya trainee pale, maana nilienda mwenyewe, walinzi wakanirudisha wananiambia hamna nafasi, wakati watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.