Habari wakuu, jana nilileta bandiko hapa kwa wale wasio na kazi au wenye kupata japo masaa mawili kwa siku kuwa kwenye mtandao kutengeneza pesa kupitia simu zao wengi walibeza, lakini nilichokigundua kuwa wengi humu mmekaririshwa kuwa yeyote anayekuja humu na tangazo la fursa ni tapeli kitu...