TANTRADE ni moja ya taasisi ambazo kwa kiasi kikubwa imeweza kuendana na mahitaji ya biashara kwa Dunia ya sasa. Wameondoka kuendesha maonyesho ya sabasaba na sasa wanaangalia fursa za maonyesho nje na kuwapa opportunity hata wale ambao wanashindwa kuvuka mipaka kupeleka bidhaa zao.
Uimara wa...
Jana kulikuwa na mechi Kati ya Genoa na Ac Milan, katika mechi hiyo kipa wa Ac Milan alitolewa kwa Kadi nyekundu wakati idadi ya wachezaji kufanyiwa sub ilishatimia. Ilibidi mshambuliaji wao Oliver Girloud akakae golini Kama kipa, na bahati nzuri akaokoa hatari ambayo ingeweza kuwa goli.
Leo Ac...
WAZIRI DKT. NDUMBARO: MIKUTANO YA KIMATAIFA INAYOFANYIKA NCHINI NI FURSA YA KUTANGAZA KISWAHILI
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema mikutano ya Kimataifa inayofanyika hapa nchini ni fursa ya kutangaza lugha adhimu ya Kiswahili ambayo ni mojawapo ya Lugha Rasmi...
Habari zeni wakuu, kwa heshima na taadhima nmeona nilete jambo langu hapa. kwa maana katika harakati za msoto wa kila siku nmeona ni vyema kuleta jambo langu aidha naweza kupata idea ama kupata fursa yeyote kwani niko tayari kujifunza
So ladies and Gents
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23...
Kwa masikitiko makubwa pamoja na fursa zilizopo Zanzibar hususani utalii wa fukwe na Mali kale. Umaskini umetamalaki. Wengi wa wananchi wanaishi katika Hali mbali kiuchumi.
Ukihesabu ndege zinazotua ABEID AMANI KARUME INTERNATIONAL AIRPORT na hotel za kitalii zilizopo Zanzibar. Usingetarajia...
Diplomasia ya uchumi anaimudu na hii si mara ya kwanza. Kiwanda cha biological pesticide hicho hapo kinakuja Kibaha.
Msikilize hapa kwenye video clip hii
Halafu GENTAMYCINE nikiwa Kutwa naidharau Media ya Tanzania mnaona nakosea au siijui jinsi ilivyo rotten Professionally.
Hivi kweli kama tayari nchi Tatu za Uganda, Kenya na Tanzania zimefanikiwa kwa pamoja kuandaa Mashindano ya AFCON ya mwaka 2027 kuna haja logically media ya Tanzania kuhoji...
Nilikuwa napitia hotuba mipasho ya Mwenyekiti wa CCM Taifa Samia Suluhu Hassan kwa vyama vya siasa. Samia anasema, "ndio maana tumetoa fursa hiyo ili vyama viende kwa wananchi mkajijenge mkue. Hatukutoa fursa hiyo ili mkatukane, kukashifu nakadhalika".
Samia tambua kuwa mikutano ya hadhara kwa...
Wakazi wa Halmashauri ya Songea Vijijini wametakiwa kuchangamkia fursa ya uwekezaji wa makaa ya mawe ambayo inatarajia kuleta tija kwa watanzania kutokana na uhitaji mkubwa wa madini hayo ndani na nje ya Nchi.
Akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Matimila B na Liula...
Ushindi mkubwa wa kishindo walioupata CCM katika jimbo la mabara-Jijini Mbeya, ni ishara njema ya kukubalika, kuimarika na kuaminika kwa chama cha mapinduzi kwa wananchi na uhakika wa kushinda chaguzi zijazo.
Lakini pia uchaguzi huo ni fursa muhimu zaidi kwa upinzani kujipima, kujitathimini...
Tanzania, nchi iliyobarikiwa na utajiri wa maliasili, ikiwemo gesi asilia ambayo kwa ujumla wake ni futi trilioni 57.25 za ujazo wa gesi .
Tanzania imepiga hatua kubwa katika sekta ya nishati kwa kuanzisha Mradi wa Tanzania Liquefied Natural Gas (LNG). Mradi huu una lengo la kuchakata gesi...
Dar es Salaam. Tarehe 11 Septemba 2023: Akizindua Maonesho ya Imbeju ya Wajasiriamali Ilala 2023, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima amewahimiza wafanyabiashara wadogo nchini hasa wanawake na vijana kuchangamkia fursa ya mafunzo, ushauri, na...
MBUNGE AISHA ULENGE KATIKA KONGAMANO LA WANAWAKE NA MANUNUZI YA UMMA NA FURSA ZA KIBIASHARA KWENYE BOMBA LA MAFUTA
Mbunge wa Viti Maalum (Wanawake) Mkoa wa Tanga, Mhe. Aisha N. Ulenge ameshiriki Kongamano la Wanawake na Manunuzi ya Umma na Fursa za Kibiashara kwenye Bomba la Mafuta...
"Asante sana Mheshimiwa Spika kwa kupata fursa ya kuchangia hoja ya Muswada wa Sheria ya Ununuzi wa Umma ya mwaka 2023" - Mhe. Zainab Athuman Katimba, Mbunge wa Viti Maalum
"Ni dhahiri asilimia 70 ya bajeti ya Serikali inaenda kwenye Manunuzi. Ni dhahiri katika kipindi hiki cha hivi karibuni...
Majuzi nilileta uzi wa miji yenye vumbi jingi ambapo Karatu ilikuwa namba moja na hakuna aliyepinga. Baadhi ya comments zilizonekana kugusiagusia kuhusu huu mji ambao hauna mpinzani kwa kiwango cha vumbi jekundu kusini mwa jangwa la sahara. Lakini pamoja na vumbi bado Karatu ni mji mmoja uliokaa...
Wenye side B kwenye sola na nishati nyingine hivi sasa ni muda wa kutumia hizo energy.
Kama nilipo sasa ivi hakuna umeme washakata kurudi ni jioni au usiku kabisa.
Haya yakizingatiwa angalau yatasaidia kuboresa mazoezi ya usaili yanayoendeshwa na Utumishi:
1. Katika upande wa mwombaji Waboreshe utoaji wa taarifa kama kuitwa, matokeo, ratiba na mabadiliko yoyote kupitia sms kwa sababu taarifa wanazotoa kwenye website na mifumo inaweza kukwamishwa na mtu...
Elimu ni msingi wa maendeleo na fursa binafsi. Hata hivyo, kupata elimu bora kunaweza kuwa changamoto kubwa kwa makundi mbalimbali katika jamii. Lakini kwa miaka ya hivi karibuni, teknolojia imeleta mapinduzi katika uwanja wa elimu na kuwapa wengi fursa mpya.
Kuthibitisha hili, Ripoti ya...
digital inclusion
digital rights
digital rights 2023
digital technology
elimu
elimu na teknolojia
fursa
haki za kidigitali
social justice 2023
teknolojia
teknolojia ya digitali
ujumuishaji wa kidigitali
vikwazo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.