ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Hali ya uwanja wa Taifa na ukarabati wake unaenda Kwa kasi ya kunyonga ambapo walitengewa kiasi cha billions 31 ambapo ni pesa ndefu inayoweza kujenga kiwanja kipya
Ujenzi wa uwanja huko Arusha upo kimya na huko Dodoma
Najiuliza Waziri Kabudi na Mwana FA wanafanya Nini ofsini hadi Leo
Tanzania Kwa uzembe wetu binafsi tutapoteza fursa ya kuandaa AFCON na nafasi yetu atauichukua Rwanda ambaye Miundo mbinu yake ya viwanja ipo vizuri hasa uwanja wa kisasa wa Amahoro stadium
Kuchezwa AFCON ni nafasi adimu mno, hii ingesaidia kukuza uchumi wa Taifa hata Kwa watu binafsi kuanzia Kwa watu wa usafirishaji, vyakula, malazi, mavazi na utalii ungeongezeka
Nina uhakika hii fursa tutakayoipoteza itachukuliwa na majirani zetu hasa Rwanda au Zambia
Sijui Tanzania tunaweza nini?
Kwa siku zilisalia hazitoshi kukarabati na kujenga viwanja vingine