Fursa: Nafasi 700 za Kazi za Kuangalia Wazee New Zealand (Kupitia Danvast Career Search)
Habari wanajamii,
Nimekutana na tangazo la kazi ambalo naona linaweza kuwasaidia baadhi yetu humu. Kuna nafasi 700 za kazi za kuangalia wazee (Caregiver Jobs) katika nyumba za kulelea wazee New Zealand, kupitia tovuti ya Danvast Career Search.
Kazi hizi zinahusisha huduma kwa watu wazima na wazee, kwa wale waliopo kwenye mazingira ya nyumbani au vituo vya malezi.
Mahitaji yanayojitokeza ni pamoja na:
https://careersportal.danvast.com/jobs/caregiver-jobs-elderly-homes-in-new-zealand-700-positions/
Naomba mwenye uzoefu au anayejua zaidi kuhusu hawa Danvast Career Search, atoe mrejesho ili kuelimishana. Pia kwa waliowahi kuomba kupitia huko, feedback yenu itasaidia sana.
Nawasilisha kwa nia ya kusaidiana.

- Umri wa miaka 21 na kuendelea
- Uwezo wa mawasiliano kwa lugha ya Kiingereza
- Uzoefu katika huduma za afya au malezi ni faida
- Nidhamu, huruma na moyo wa kujitoa kwa huduma
- Nafasi 700 zenye mazingira salama ya kazi
- Mafunzo kwa waombaji wapya
- Msaada wa kupata Visa upo, kupitia waajiri waliopo New Zealand