Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 3,003
- 8,385
Mataifa ya afrika ni wakati wetu wa kuamka na kupigana hii vita ya tatu ya dunia iliyobadilishwa upepo na kugeukia kwenye vita ya kiuchumi.
Waafrika hii vita ni yetu na tukicheza vizuri hakika tunatoboa na kusonga mbele na kuacha kuwapigia magoti mabeberu kuwaomba msaada ili hali tuna maligafi nyingi sana..
Waafrika silaha yetu pekee ya kushinda hii vita ni malighafi tulizo nazo , hakika mataifa ya Africa tuamke na sisi tuweke ushuru kwenye malighafi zetu na rasilimali zetu zinazo chukuliwa na kupelekwa kwenye mataifa ya ulaya na marekani.
Waafrika na viongozi wetu tupambane kuweka ushuru maradufu zaidi ya 104% kwenye malighafi zetu zaidi ya waliyoadhibiwa china na marekani