Nje ya mji kuna fursa ya biashara, nikiweka dogo akapige kazi nitanufaika?

Nje ya mji kuna fursa ya biashara, nikiweka dogo akapige kazi nitanufaika?

nipo online

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
1,509
Reaction score
3,429
Naishi mjini, lakini hapa nilipo kuna kitongoji hakina kabisa library ya kuingiza movie katika flash, dogo yupo mkoani vip nikimwita akapige kazi hiyo nitanufaika?

Usafiri wa kwenda na kurudi sababu haiwezi lala kule kukwepa garama za kukodisha chumba.

Usafiri upo daladala 2500 ila kuna baiskeli hapa nyumbani nawaza aje atumie hiyo ili kuepusha gharama za nauli. naombeni ushauri juu la hili
 
Ndio ,Utanufaika....!

Utakuwa umeongeza ajira kwa kijana hivyo utakuwa umempunguzia Mama Samia katika tatizo La uhaba wa ajira Tanzania.

Pia utapiga hela iwapo kijana atakuwa Mwaminifu.

Lingine,utakuwa umeanza kuwa mjasiria Mali, kina Bakhresa na GSM walianzaga hivyo hivyo.
 
Rich people doubt their fear, poor people fear their doubt.

# Never fear your doubt.
# Starve your doubt
 
Ndio ,Utanufaika....!

Utakuwa umeongeza ajira kwa kijana hivyo utakuwa umempunguzia Mama Samia katika tatizo La uhaba wa ajira Tanzania.

Pia utapiga hela iwapo kijana atakuwa Mwaminifu.

Lingine,utakuwa umeanza kuwa mjasiria Mali, kina Bakhresa na GSM walianzaga hivyo hivyo.
Shukrani
 
Pale wazo lilipojaa kichwani ndio ilibidi uanze michakato.
Ukihisi wazo la manufaa linakujia kichwani ujue hapo MUNGU anaongea na wewe.
USIOGOPE
 
Pale wazo lilipojaa kichwani ndio ilibidi uanze michakato.
Ukihisi wazo la manufaa linakujia kichwani ujue hapo MUNGU anaongea na wewe.
USIOGOPE
nashukuru kwa kunitia moyo
 
Back
Top Bottom