1. Wajerumani ndio waliojenga reli ya kati, na ile ya Dar es Salaam, Tanga, Moshi, tukiongea nao vizuri wanaweza kuboresha Dar, Tanga, Moshi, Arusha kuwa SGR.
2. Ujerumani wapo vizuri sana kwenye miundombinu ya majiji, tukiongea nao vizuri wanaweza kutoa ushirikiano au hata ufadhili kwenye...