Aisee habarin Wapamabanaji
Siku chache nyuma nilifanikiwa kutembea kijiji kimoja kipo Wilaya ya Kaliua kinaitwa Uliyankulu umbali wa KM 80 kutoka Tabora mjini njia ni ya vumbi lkn inapitika vizur tu, kule kuna fursa nyingi sana wanakijiji wamelala sana, fursa za biashara za mazao, maduka...