Kiongozi wa kijeshi wa Gabon, Jenerali Brice Oligui Nguema, ametangazia nia yake ya kugombea urais katika uchaguzi ujao wa mwezi ujao (April, 2025).
Nguema alishika madaraka mwaka 2023 kupitia mapinduzi ya kijeshi ambayo yalikomesha utawala wa muda mrefu wa familia ya Bongo. Wakati huo...
Libreville, Gabon
Rais mpya wa Gabon anashtua kila mtu, Nitawaua Nyote Mnaohusika na mgao wa umeme ...
https://m.youtube.com/watch?v=aBdYmZ54h9A
Rais wa Gabon , Jenerali Oligui Nguema ametishia kuua wale wote wanaohusika na mitambo ya kuzalisha umeme 14 mzalishe umeme bila mgao nchi nzima...
Benki ya dunia imesimamisha haki ya Gabon kupewa mikopo na ruzuku kuanzia Julai 1 kutokana na kushindwa kulipa madeni yake ya zamani, barua ambayo Reuters imeiona imethibitisha hilo Jumatano.
Taifa hilo la Afrika ya kati kwa sasa linalipa takriban mikopo 11 ya Benki ya dunia, kulingana na...
Rais Joe Biden amesema Nchi hizo zitaondolewa katika Mpango wa Ukuaji na Fursa Afrika (AGOA) ulioanzishwa mwaka 2000 kutokana na ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu pamoja na Kutopiga Hatua za kuelekea katika Utawala wa Kidemokrasia.
Biden amesema "Licha ya majadiliano makubwa kati ya Marekani...
Ameandika John heche,
Afrika ina viongozi wengi wajinga mno. Na matokeo ya ujinga huo unaambukizwa mpaka kwa Wananchi.
Gabon ni Nchi yenye kilometa za mraba 267,667 ina idadi ya watu milioni 2,349,000. Yaani hata mkoa wa Kagera una watu wengi kuliko wao. Gabon ni Nchi tajiri kwa rasimali ni...
Kiongozi huyo wa Kijeshi ametangaza rasmi kuwa hatochukua Mshahara huo kwa muda wote atakaokuwa Madarakani isipokuwa ataendelea kupokea Mshahara wa Kamanda wa Jeshi, nafasi ambayo alikuwa akiitumikia kabla ya Mapinduzi yaliyomuondoa Ali Bongo.
Msemaji wa Serikali amesema Jenerali Nguema...
Uchunguzi uliofanywa na Kituo cha BBC wakizungumza na zaidi ya Waathirika 30, umebaini kuwa kuna mtandao mkubwa unaohusika na matukio ya unyanyasaji kwa wachezaji wa mpira wa miguu wenye umri mdogo kwa zaidi ya miaka 30.
Kupitia Kipindi cha BBC Africa Eye waathirika wamenukuliwa wakisema...
tua hiyo inakuja wiki 3 tangu aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Ali Bongo kupinduliwa Kijeshi muda mfupi baada ya Tume ya Uchaguzi kumtangaza kushinda Urais kwa muhula mwingine
Noureddin Bongo Valentin ambaye ni Mtoto mkubwa wa Ali Bongo na washirika wao wakiwemo Msemaji wa Rais na waliokuwa...
Uamuzi huo umechukuliwa wakati huu Gabon ikiwa chini ya utawala wa Kijeshi ambao ulimtoa madarakani Rais Ali Bongo.
Uamuzi huo umetolewa na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Madola huku wakitoa hoja kuwa Gabon inatakiwa kufanya uchaguzi haraka iwezekanavyo.
Jeshi lilimwondoa Bongo...
Jenerali Brice Nguema ambaye ni kati ya Wanajeshi waliohusika katika kumuondoa Madarakani Rais Ali Bongo, ameapishwa kuwa Rais mpya huku akiweka ahadi za kurekebisha Sheria za Uchaguzi, Sheria za Adhabu na Katiba.
Nguema amesema uamuzi wa kumuondoa Rais aliyekuwepo ulikuwa muhimu kwa manufaa ya...
Generali Brice Oligui Nguema Jenerali huyo anatarajiwa kuapishwa leo, Septemba 14, 2023 ataapishwa kuwa Rais wa Mpito akichukua madaraka kwa muda usiojulikana baada ya kupindua Utawala wa Familia ya Bongo uliodumu kwa miaka 55 nchini humo
Jenerali Brice Oligui Nguema, aliongoza Maapinduzi ya...
MAPINDUZI YA NIGER YANA MASILAHI MAPANA KWA URUSI NA HASARA KUBWA KWA NCHI ZA MAGHARIBI.
Yawezekana ukawa miongoni mwa wanaojiuliza ni kwanini ECOWAS, Ufaransa na Marekani wanatolea macho mapinduzi ya Niger?
Leo nitakupatia madini. Kumbuka makala hii ni ndefu hivyo usiwe mvivu. Jitahidi usome...
Mzuka Wanajamvi!
Jitu kakamavu, limepanda hewani ana sura ngumu. Isitoshe ni jitu la mazoezi linahudhuria Gym kila siku na kabla ya kunyanyua vyuma linapiga push ep 100 iyo ni kupasha.
Kwenye mkono yuko njema. Yuko vizuri kwenye martial anatembeza ngumi balaa.
Ni msiri na mkimya sana. Pia ni...
Hizi ndiyo silika za viongozi wetu.
Hawana uchungu na nchi.
Serikali zao zimesheheni ndugu zao.
Mali zetu wamejimilikisha wao kwa maslahi yao binafsi.
Viongozi hawa hawaaminiki.
Tudai katiba mpya itakayotuwezesha sote kuwajibika.
Katiba zenye kuhakikisha usawa wetu sote mbele ya sheria...
Kwa mujibu wa video ilisambazwa mtandaoni kutoka Nchini Gabon, imedaiwa kuwa Upekuzi uliofanywa na Vikosi vya Usalama nyumbani kwa Ian Ghislain Ngoulou ikiwa ni muda mfupi baada ya mapinduzi ya Kijeshi, vimebaini kiasi hicho cha Fedha zilizofichwa katika Mabegi makubwa.
======
Videos quickly...
Haya kumekucha Gabon, Brice ambae ndo alikuwa mkuu wa ulinzi wa Rais ndo kawa Rais.
Kwa uchunguzi wangu ,huyu Nguema ni binamu wa Ali Bongo. Na Ali Bongo alimpa kazi maalum ya kumuandaa mtoto wa kwanza wa Ali Bongo anaeitwa Valentin ili aje kuwa Rais.
Naona Brice kaamua, no way kwanini aandae...
Kikundi cha Wanajeshi 12 kimechukua uamuzi huo ikiwa ni siku chache tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza kuwa Rais Ali Bongo ameshinda tena Kiti cha Urais
Wanajeshi hao wametangaza kupitia Televisheni ya Taifa kuwa wanafuta matokeo yaliyoyangazwa na kuzifuta Taasisi zote za Umma pamoja na kulinda...
Kumekuwa na utata mwingi kuhusu utaifa wa Rais wa Gabon wa sasa Ali Bongo Ondimba. Hapo awali wanasiasa nchini mwake walimtaka Rais huyo kuwasilisha kipimo cha DNA ili kuthibitisha kuwa kweli yeye ni mtoto wa marehemu Rais wa nchi hiyo Omar Bongo Ondimba. Inadaiwa Rais Ali Bongo Ondimba alikataa...
Mchezaji wa timu ya taifa ya Gabon Guélor Kanga Kaku atakutana na kamati ya nidhamu ya CAF kueleza kwa nini mama yake alifariki mwaka 1986 lakini yeye alizaliwa 1990. [emoji20]
Kiongozi huyo aliyeingia Madarakani mwaka 2009 akichukua nafasi ya Baba yake, Omar Bongo aliyetawala kwa zaidi ya miaka 40, atawania nafasi hiyo tena katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 2023.
Bongo alishutumiwa na Kiongozi wa Upinzani Nchini Gabon, Jean Ping akwa Wizi wa Kura katika Uchaguzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.