gabon

  1. Dr Matola PhD

    FT: Fiston Mayele anawainua Wacongo hapa, Gabon 0 DRC 2

    Sasa takwimu za Mayele zinahamia National team, anaifungia Congo goli la pili, goli kama hili linapatika Uefa tu na world Cup. Game is on.
  2. BARD AI

    Kiongozi wa upinzani Gabon atakiwa kutotoka nje ya nyumba yake

    Kiongozi wa upinzani wa Gabon, Guy Nzouba-Ndama, amewekwa chini ya kizuizi cha nyumbani ikiwa ni siku tano baada ya kukamatwa kwenye mpaka wa Congo akiwa na mabegi yenye zaidi ya dola milioni 2. (Tsh. Bilioni 3). Kukamatwa kwake kulirekodiwa na kufunguliwa kwa masanduku hayo kuchapishwa kwenye...
  3. L

    Kutana na mchezaji wa Gabon aliyezaliwa 1990 mama yake alifariki 1986

    Mchezaji huyo ana kesi CAF kutoa ufafanuzi kuhusu umri wake
  4. JanguKamaJangu

    Watoto wa Rais wa zamani wa Gabon (Omar Bongo) wafunguliwa mashitaka Ufaransa

    Watoto wanne wa Rais wa zamani wa Gabon, Omar Bongo wamefunguliwa mashitaka Nchini Ufaransa kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha za umma, matumizi mabaya ya mali za makampuni na rushwa. Watoto hao Grace, Betty, Arthur na Hermine Bongo, wote wakiwa na zaidi ya miaka 50 walifunguliwa mashitaka hayo...
  5. The Genius

    Mungu alivyomjibu mtesi wa Oliver N'Goma, dikteka Omary Bongo

    Mwaka 2008 nguli wa Zouk barani Afrika, Oliver Ngoma aliugua figo na alihitaji matibabu nje ya nchi. Lakini aliwekewa zuio la kusafiri nje. Serikali ya Rais Omary Bongo ilimtuhumu Oliver kwamba anaandaliwa na mataifa ya Ulaya kuwa Rais wa Gabon. Japo Oliver alikanusha madai hayo lakini...
Back
Top Bottom