Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda akifanya utambulisho wa wabunge wa mkoa huo amemuuliza, Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo huku akisisitiza huenda amekaa jukwaa la wananchi wa kawaida.
Makonda, amefanya hivyo wakati akitoa utambulisho kwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ambaye ni...
Kuna habari za chini chini kwamba Mrisho Gambo yuko katika maongezi ya ngazi ya juu ili kuona uwezekano wa kuhamia ACT Wazalendo.
Tetesi hizo zinatokana na upepo mbaya kisiasa jimboni ambao unachochewa na mahusiano mabaya aliyonayo na viongozi wote wa mkoa mzima wa Arusha katika chama na...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ameuteka uwanja na kuufanya kuwa 'busy' wakati akimuulizia Mbunge wa Arusha Mjini mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika kitaifa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Makonda alimtaja...
Baada ya mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda kuele mbunge Mrisho Gmbo ahojiwena TAKUKURU kuhusu upotevu wa Ths. Milioni 400 zilizochangwa na wadau kwa ajili ya kusaidia bodaboda.
Hatimaye viongozi wa boda boda na wao wamaeeleza kuwa wana mashaka na Gambo kwenye upotevu wa pesa hizo na kwamba...
Kuna wakati unajiuliza mbona kama hatuko serious? Inawezekanaje viongozi wakawa wanafanya mambo ya kipuuzi na hawawajibishwi? Hili ni tatizo. Inasemekana Ulega aliwahi kuwaita akawapatanisha, lakini kwa hatua iliyofikia ilitakiwa hatua zichukuliwe ili huu ugonjwa tusiendelee kusambaa. Wapo...
Kawahi kuwa DC
Kawahi kuwa RC
Kawahi kuwa Mwenezi Taifa
Kawahi kuwa RC.
Hii profile ni kubwa sana na kila ashikapo nafasi yoyote hutolewa watu wakiwa na kiu nae. Huwa hawataki aondolewe.
Soma Pia: Gambo ajibu mapigo ya Makonda "mimi nimeenda shule"
Fuatilia wakati akiwa Itikadi na Uenezi...
Nina Marafiki kadhaa huko Arusha na GENTAMYCINE huwa sipendi kuwahi Kumhukumu Mtu bila ya Kwanza kufanya Uchunguzi wangu wa Kinjagu (Kimosadi) ili Kujiridhisha. Nilichogundua ni kwamba Mbunge Mrisho Gambo amefanya mazuri kadhaa na yanaonekana ila mengi ambayo ameshindwa Kuyatekeleza ni kwasababu...
Kwa sasa, ni wazi kabisa kwamba Mheshimiwa Paul Makonda hana mpinzani wa kweli kwa ushawishi alionao hapa Arusha Mjini.
The undeniable truth is that the regional commissioner of Arusha possesses exceptional administrative ability and an innovative mindset, always bringing tangible development...
Kimsingi hapa duniani huwezi fanya uovu halafu usilipie gharama za huo uovu wakati ukiwa hai. Moto anaopitia Gambo kwa sasa ni gharama za uovu alioufanya wakati akiwa RC. Kwa msiojua ni kuwa kuna mambo mengi mabaya hayakufika kwenye media yaliyofanywa na Gambo, Sabaya na Makonda enzi wakiwa...
Ni dhahili kuwa wote wawili wana makundi makubwa ndani ya CCM
* Kundi la Makonda pekee halitoshi kuipa ushindi CCM;
Lkn pia kundi la Gambo pekee halitoshi kuipa ushindi CCM.
* Kundi lolote litakalojibagua na kuunga mkono upinzani ni wazi kuwa CCM itakuwa na hali ngumu sana;
* Kwa msingi...
Mimi nafuatilia sana Siasa za Jimbo la Arusha Mjini, Jana nimemsikiliza sana diwani mmoja akimuomba radhi Mkuu wa Mkoa wa Arusha akijifanya analilia kama mtoto wa kike aliyenyimwa Kodi ya pango na bwana wake akidai kuwa Gambo amekuwa mtu wa mizozo na migogoro na madiwani wenzake.
Eti amemuomba...
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo amesema Chama cha Mapinduzi na wanachama wake wameshafanya maamuzi ya kumteua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mgombea wa Urais hivyo wanaopiga kelele wanapaswa kukaa kimya kwa sababu wao sio wanachama wa Chama hicho.
Soma, Pia: Wajumbe...
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, amesema kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya "No Reform, No Election" inaonesha dalili za woga, akisisitiza kuwa CCM ina uzoefu wa kushinda hata pale upinzani unapogomea uchaguzi.
Akizungumza Februari 4, 2025, katika maadhimisho...
Wapo watu ambao Gambo aliwavunjia heshima na hivyo kuwadhihaki au kuwafanya wataabike mbele ya umma japo ni watu wasio na mawaa.
1-Mhe.Felix Ntibenda -alikuwa mkuu wa mkoa wa Arusha.(alimfitini tu hadi akaondolewa)..
2-Mganga mkuu mmoja mkoani Tanga(alimpiga kibao kisa kunywa maji wakati Yeye...
Kumekucha kumekucha
Gambo
Mkuu Gambo kaambiwa maneno machache tuu, ‘Hudhuria kwenye vikao’ almanusura adondoke chini kwa shambulizi la moyo. Nikagundua kumbe alikuwa yupo mbele ya wateja wake a.k.a wapiga kura. Maneno ya RC yamemchoma sana mwanaume huyu; chupa ya chai ya wanawe imepokea mguso...
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema vikao vya Kamati ya Fedha na Mipango vya Manispaa, Baraza la Madiwani na Baraza la Ushauri Mkoa (RCC) ni vikao vya kisheria hivyo utetezi wa Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo wa kutohudhuria vikao hivyo hauna mashiko.
Kupitia...
Siku moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kudai mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo haudhurii vikao, mbunge huyo amesema suala hilo linahitaji elimu kwa sababu yeye ni mbunge na ana vikao vya Bunge.
"Mimi sio ofisa tarafa, siyo mtendaji wa mtaa wala kata, mimi ni mbunge wa...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda akiambatana na Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa barabara ya kiwango cha Lami ya Mianzini-Olemringaringa amemtaka Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo kuwa anahudhuria vikao mbalimbali vya maendeleo ndani ya...
Heshima sana wanajamvi.
Mkuu wa Arusha Mh Makobda aka Bashite na Mbunge wa sasa Arusha Mjini Mrisho Gambo wapo katika vita kubwa ya kuomba ridhaa ya chama ya kuwania ubunge wa Arusha Mjini kupitia CCM.
Makonda kupitia harakati mbali mbali ikiwemo kuandaa utatuzi wa kero za kisheria hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.