gambo

  1. U

    Mbunge wa Arusha Mjini kupitia CCM,Mrisho Gambo aanza kazi kwa kishindo kwa kununua nondo zenye thamani ya milioni 25 kwa ajili ya ujenzi wa sekondari

    Mrisho Gambo amekabidhi Nondo hizo zitakazotumika kujenga Sekondari ya Ghorofa maeneo ya Unga Limitedi Jijini Arusha Tuliahidi Tunatekeleza
  2. U

    Mbunge Mteule Arusha Mjini, Mrisho Gambo(CCM) awashukuru wapiga kura kijiwe cha kahawa soko kuu Arusha

    Tushukuru kwa kila jambo.
  3. jingalao

    Kutoka Arusha: Mrisho Gambo atimiza ahadi ya kuchimba kisima Soko la Kilombero

    Hakika CCM imedhamiria haswa. Mbunge mteule wa Jimbo la Arusha ndugu Mrisho Mashaka Gambo ameanza kutekeleza mojawapo ya ahadi zake alizozitoa jijini humo hususani katika soko kongwe na maarufu la watu wa kipato cha kati na chini ,SOKO LA KILOMBERO. Mheshimiwa Gambo amewezesha uchimbaji wa...
  4. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 Arusha: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Arusha. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Arusha una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7 ambayo ni; Arusha Mjini: Mrisho Gambo (CCM) - Kura...
  5. J

    Uchaguzi 2020 Rais Magufuli: Gambo sikumfukuza Ukuu wa Mkoa bali aliniomba akagombee Ubunge baada ya kuona Arusha inakwama

    Rais Magufuli amesema kuna watu wanadai anamchukia Mrisho Gambo na kwamba alimfukuza kazi ya mkuu wa mkoa wa Arusha lakini hiyo siyo kweli. Gambo alinifata akaniomba agombee ubunge ili aiokoe Arusha ambayo inaonekana kukwama, amesema Dr Magufuli. Ningekuwa namchukia ningempitisha kugombea...
  6. Analogia Malenga

    Siasa sio Uadui, Gambo na Lema wapiga picha pamoja

    WAGOMBEA Ubunge Arusha Mjini, Mrisho Gambo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Godbless Lema wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamekutana katika mgahawa wa Safari Bistro jijini humo. Wawili hao ambao wamekuwa na mchuano mkali kuwani jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika...
  7. A

    Uchaguzi 2020 Mrisho Gambo, Arusha unapwaya. Lema awasikilizisha Wananchi Audio ya Magufuli akieleza sababu za kutenguea uteuzi wa Gambo

    Nimehudhuria mkutano wa Mgombea Ubunge Arusha Mjini kupiti CHADEMA, Godbless Lema leo, amekuchafua sana, amemwambia DJ aweke sauti ya Rais Magufuli akieleza sababu za kutengua uteuzi wa Gambo Baadae tukamsikia Bashiru wote wamekuuleza wewe kama mtu mchonganishi na hufai kuwa kiongozi. Lema...
  8. thetallest

    Uchaguzi 2020 Mechi kali nne za Uchaguzi Mkuu wa Wabunge ni majimbo ya Arusha Mjini, Kawe, Mbeya Mjini na Tarime Vijijini

    1: Mwita Waitara Vs John Heche - Tarime Vijijini 2: Tulia Acskon Vs Sugu - Mbeya Mjini 3: Askofu Gwajima Vs Halima Mdee - Kawe 4: Mrisho Gambo Vs Godbless Lema - Arusha Mjini Hizi ni mechi kali sana za kukata na shoka . Nategemea wote wafanye kampeni za kistaarabu, wakinadi sera zao ili...
  9. Ngongo

    Uchaguzi 2020 Mrisho Gambo kuangukia pua asubuhi na mapema

    Wakuu heshima sana. Leo niliamua kufanya tathmini yangu isiyozingatia vigezo wala kibali kutoka mamlaka husika. Nimefanya mahojiano na makundi mbali mbali na sehemu tofauti tofauti katika viunga vya Jiji la Arusha lilotamalaki kwa uchafu na magenge yanayozua magari kupita kwa urahisi. Ni hivi...
  10. SN.BARRY

    Uchaguzi 2020 Tamaa za Wateule wa Rais kutia nia Ubunge zitawaponza wengi. Ushahidi huu hapa wa Rais Magufuli na Humphrey Polepole

    KUNA FUNZO LOLOTE KWA SASA? Aprili 2019 Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na aliyewahi kuwa pia RC Tabora ndugu Ludovick Mwananzila kwa kumwita mwenye tamaa nyingi sana. Mwananzila alishika nafasi ya...
  11. C

    Uchaguzi 2020 Mrisho Gambo achukua fomu kuomba ridhaa kuwakilisha CCM uchaguzi mkuu jimbo la Arusha mjini

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
  12. G

    UTABIRI: Mrisho Gambo kuingia kwenye baraza la Mawaziri

    Utabiri wangu, Moja ya vijana wachapa kazi wa CCM uwezi kuacha kumtaja Mrisho Gambo, Arusha ameacha alama kubwa sana kwa uongozi uliotukuka, changamoto za uongozi alizokutana nazo zitakuwa ni funzo kubwa sana kwa nafasi kubwa atakazo kujua kuzipata. Namtabiria kwa serikali inayokuja ataingia...
  13. Suley2019

    Arusha: TAKUKURU yakanusha kumshikilia na kumhoji Mrisho Gambo

    Zaidi soma; Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ahojiwa na TAKUKURU
  14. kenzi

    Kupigwa Marufuku Makanisa ya Kilokole, Gwajima amjibu mkuu wa mkoa wa Arusha, ni mtoto wa Dawa

    Baada ya mkuu wa mkoa wa arusha kusema kuwa makanisa ya walokole yadhibitiwe kwa kuwa wanapiga kelele (Makanisa ya kilokoke kudhibitiwa) Gwajima ameamua kumjibu mkuu huyo Amesema kuwa Tanzania ni nchi huru kila mtu ana haki ya kuabudu, muda wowote na wakati wowote Amesema kuwa waumini wa...
  15. AbuuMaryam

    Mrisho Gambo ameonewa kwa makosa ya wengine

    Na watanzania walivyo wanafki... Wanashangilia tu na kumpongeza rais kwa kumtumbua... Tuseme ukweli tu jamaa alikuwa bonge la mchapakazi na mbunifu.. . Katika mazingira yoyote huwezi shirikiana na jitu linalokudharau kwa kibri tu. .. Bila kujali nafasi uliyo nayo wala haiheshimu... Mtu...
  16. Kawe Alumni

    Ikulu: Rais Magufuli awataka watendaji kufanya kazi kwa kuzingatia viapo vyao. Awaasa kuridhika na nafasi walizo nazo, siyo kukimbilia Ubunge

    Tunasubiri tuone atasema nini Rais Mzalendo Magufuli ------ UPDATE---- Rais Magufuli leo amemwapisha Idd Kimanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha anayechukua nafasi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Mrisho Gambo baada ya kutenguliwa Juni 19, 2020. HOTUBA YA RAIS MAGUFULI (KWA UFUPI) Nami niungane...
  17. R

    Napinga kutumbuliwa kwa Mrisho Gambo

    Mheshiwa mkuu wa Nchi, umemtumbua Mrisho Gambo kimakosa sana. Na hapa ninaona kama ameonewa sana. Gambo alikuwa mkuu wa mkoa. Mkuu wa mkoa ndio top say ya mkoa wa Arusha, iweje Mkurugenzi na DC wasimheshimu? Tofauti zao kubwa ni za kimadaraka. CED na DC ndio walistahili kumsikiliza Mkuu wao wa...
  18. Influenza

    Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

    UTEUZI WA RC ARUSHA NA DC ARUSHA WATENGULIA Rais Magufuli, leo ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na nafasi yake imechukuliwa na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Idd Kimanta Pia ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqarro na nafasi yake imechukuliwa...
  19. J

    Mrisho Gambo: UVCCM kumejaa vijana wanafiki ambao wakizeeka watakuwa Wachawi!

    RC Gambo amewaomba vijana wa CCM washirikiane na kupendana. Gambo amesema UVCCM kumejaa vijana wanafiki ambao kazi yao kubwa ni kupiga majungu na kuendeleza fitina. Hata RC Makonda alipokuwa anashambuliwa na wapinzani hapa DSM vijana hawakujitokeza kumtetea. Gambo amesema vijana wanafiki...
  20. B

    RC Gambo aumbuka. Vijana wa CCM Arusha wamshambulia mitandaoni, aamua “ku left “

    Rc Gambo aumbuka,vijana wa Ccm Arusha wamshambulia mitandaoni aamua “kuleft”. Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo amejikuta akiumbuka katika mitandao ya kijamii hali iliyomlazimu kujiondoa huku baadhi ya vijana wa Ccm Arusha wakimshauri aache jeuri na awe karibu na vijana. Tukio hilo lilitokea...
Back
Top Bottom